Search results

  1. Ubuntuwize

    Tanzania inafanya kile kinachofanywa na raia wa Afrika Kusini kwa Waafrika wenzao kutoka Mataifa mengine

    Mkuu unatakiwa uwe unasoma vizuri , Ni wapi nimesema kuna waturuki wanafagia??" Nimesema kuna wanaosimamia hao wafagiaji wa kibongo" Mimi naufahamu huo mradi vizuri (Wewe unasimuliwa na rafiki). Nimekuwa kwenye camps zote hizo kuanzia ILALA,SOGA,KILOSA,GULWE,IHUMWA Na Sasa Zuzu na Bahi. I know...
  2. Ubuntuwize

    Tanzania inafanya kile kinachofanywa na raia wa Afrika Kusini kwa Waafrika wenzao kutoka Mataifa mengine

    Huu upuuzi nimeushuhudia hata kwenye miradi yote ya ujenzi hapa Tanzania inayo tekelezwa na makampuni kutoka nje... Eg. SGR nenda pale kama haujakuta hadi anae simamia wafanya usafi kama sio Mturuki??
  3. Ubuntuwize

    Uchaguzi 2020 Wakazi wa Dar es Salaam kweli na nyie mtamnyima Magufuli kura?

    Hakuna watu washamba nchi hii kama wakazi wa dar es salaam. HUwa wanajifanya wajuaji lakini ki uhalisia ni washamba kiwango kikubwa sana. Unafiki wa kiwango cha Lami.
  4. Ubuntuwize

    Uchaguzi 2020 Lissu aungwe mkono kwa vitendo si maneno tu

    Hivi watu wengine wanafikiria kwa kutumia nini jamani?? au unafaidika nn na mfumo uliopo? WW jaribu kuangalia hata CCM wenyewe hawamtaki wamebaki wapiga mapambio wacahche sijui wa wapi?
  5. Ubuntuwize

    Uchaguzi 2020 Lissu aungwe mkono kwa vitendo si maneno tu

    Nahisi kwa hali ya maisha watu walio yaona kipindi hiki cha miaka mitano ya bwana huyu kwamba hakuna ajira kwa miaka 5 na biashara kudorola kwa miaka yote hiyo watakua wamejifunza jambo..
  6. Ubuntuwize

    Ukitazama picha ya kisiasa, Elimu imekuwa si mkombozi tena kwa Mtanzania

    Shukrani sana Mkuu, Basi tujikite kwe content, wewe umetosha kurekebisha, hahah
  7. Ubuntuwize

    Ukitazama picha ya kisiasa, Elimu imekuwa si mkombozi tena kwa Mtanzania

    Kwa mujibu wa takwimu za sasa ni kwamba, elimu inapanda mara dufu kutoka mwaka 2015 mpaka hivi sasa 2020. Kwa mtazamo huo ningetarajia kabisa watu wawe na uwezo angarau wa kuona mapungufu makubwa yaliotokea katika utawala wa miaka 5 ya bwana JPM. Tofauti na hilo wengi mamegeuka kuwa washabiki...
  8. Ubuntuwize

    Bosi kanilengesha kwa binti yake sasa nashindwa kuamua

    ahhahahahaaaa,,..... nimecheka kwa sauti mkuu kajamaa kanaonekana kana tamaa
  9. Ubuntuwize

    Mke na mchepuko wawa marafiki bila kujua

    Hii kuna wakati ilisha wahi nitokea. Nilikua mkoani Tabora wakati flani, sasa nikaanzisha uhusiano na Mdada msusi wa Saloon moja pale mjini.Baada ya Muda kidogo nilihamisha majeshi kwa manzi mwingine niliekua nae jirani mtaani kwangu. Huyu msusi alifuatilia akwa anajua kila kitu kisha...
  10. Ubuntuwize

    Mwanamke anapomtaka mwanaume kimapenzi na kumwambia hivi, wewe unamchukuliaje?

    hahahahhaaa....Asije mchezea jamaa bhana aka mpotezea muda sio mkuu?
  11. Ubuntuwize

    Baba Mlezi Mtaani Kwetu...

    Kasie bhana..kweli matata
  12. Ubuntuwize

    Sababu za kumbwaga mpenzi wangu Mwanasheria

    Mimi hii juzi imenikuta naifanay kumuhack binti kwa kutumia whatsap web dk 5 nyingi aka logout hata sikuona nilichotaka nifukunyue huko..hahha wadada sikuhizi ni wadadisi sana wa vijimambo
  13. Ubuntuwize

    Kama huwezi kufungua brazia/sidiria ya lock tano kwa mkono mmoja bado wewe ni mvulana

    Mkuu huyu mimi kabisa kuna wakati unahisi kama vidole na vyenyewe vina macho yani
  14. Ubuntuwize

    Dah yamenikuta wadau naombeni ushauri juu ya huyu manzi

    Hakuja kwenye kikao huyu jamaa
  15. Ubuntuwize

    Sipendi uongo

    Mkuu Mbona unaongea kama mmetoka kwenye kikako na hayo ndio maadhimio yenu?? nilidhani hii ni issue yako binafsi
  16. Ubuntuwize

    Baharia unayejitambua usizoee kwenda kulala kwa mwanamke wako, iwe nyumbani kwake au sehemu aliyopanga

    Mapenzi upofu. Nakumbuka siku moja nikiwa Kikazi Nchini Kenya nikawa na ujirani na mthudumu wa hotel nilio fikia, sasa kwakua nilikua nakaa pale kwa muda mrefu nikamtongoza. Kwa wao kama wahudumu hawaruhusiwi kufanya kulala pale kwakua ni eneo lao la kazi, mzee tukatoka mpaka home town kwake...
  17. Ubuntuwize

    Msichana mrembo 23-29 yrs

    Bila shaka
  18. Ubuntuwize

    Msichana mrembo 23-29 yrs

    Hahahaa.. kwani wanaume wafupi wamekosa nini mkuu...ubaguzi huo sasa??
Back
Top Bottom