Search results

  1. kalamu ya chuma

    UN iingilie haya yanayotokea Tanzania, wasingoje mambo yaharibike

    kwani Tanzania kuna tatizo gani mpaka waingilie kati wakubwa? hapana tuko shwariii kabisa mengine ni ukomavu tuu
  2. kalamu ya chuma

    Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

    demokrasiaaaaaaaaaaaaaaaaa aiseeee macho yanaumaaaaa
  3. kalamu ya chuma

    Msimamo wa Mtaka wawakuna CCM,CHADEMA

    Bwana azidi kumuinua maana ana hofu ya MUNGU ndo maana anayafanya haya,wasio na hofu ya MUNGU hata hapa watamzodoa nakuukataa ukweli, UKIMPENDA MUNGU,HAKI YAKE ITAKA NDANI YAKO,kudos RC MTAKA
  4. kalamu ya chuma

    Tanzania yakumbwa na uhaba wa wanaume zaidi ya milioni moja

    hahaha tafiti hizi mhhh hapa wadada lazima waumie wakisoma haya,please ipite mbali nao,uzi huu
  5. kalamu ya chuma

    Kama siasa zingeruhusiwa,wabunge na madiwani wangehama kweli?

    kuna mtu alikuwa ananiuliza kwa haraka haraka jana na ikanifikirisha sana,eti kweli kama siasa na makongamano yake ukiachilia mbali 'amshaamsha' kama ilivyokuwa enzi za Mh Kikwete hivi hawa wanaohama sasa wangeendelea na kuhama na kujisifu saana kama ilivyo sasa? kama hamuamini zilruhusiwe muone...
  6. kalamu ya chuma

    Fanya yafuatayo ukigundua kuna majambazi nje ya Nyumba yako

    Safi sana aisee nimeipenda hii mhhh tunaelimika sana
  7. kalamu ya chuma

    Mtatiro aanza 'kufaidi mafanikio' hata kabla ya kujiunga rasmi CCM

    sisi asilia tunawaona mnakuja kuchukua nafasi zetu please,njooni lakn nafasi zetu tuachieni aisee
  8. kalamu ya chuma

    Vituko vya Bibi Fisi: Mchawi aliyetikisa Kanda ya Ziwa

    nilikuwa naishi bugarika kipindi hicho na baadae igogo napafahamu sana hapo maana tulikuwa tunapita hapo pembeni mwa kijumba chake na lami iliikwepa hicho kijumba aisee ilishangaza sana sana,ni kweli bibi fisi story zake zinatisha lakn sisi wenyeji tulimzoea kawaida kabisa na wakati tunaenda...
  9. kalamu ya chuma

    Nafasi za kazi Baylor college

    watu wako kazini sasa
  10. kalamu ya chuma

    Kwanini Watanzania hatuamini na hatutaki kuwekeza kwenye kilimo ?

    jaribu kilimo uumie siyo nchi hii,meengi ni maneno siyo vitendo katika kilimo
  11. kalamu ya chuma

    Tcra mnawaona continental na tigo lakini?

    hawa ndo sitaki kabisa kuwasikia nawadai sh 6000 toka 2012 mpaka leo najua ishagonga 100,000 mpaka wanilipe ndo narudisha line,kampuni hoi sana iliniudhi sana
  12. kalamu ya chuma

    Tcra mnawaona continental na tigo lakini?

    imekata moto na na haioneshi japo inaonekana kama iko ok kabisa
  13. kalamu ya chuma

    Tcra mnawaona continental na tigo lakini?

    nihamie wapi sasa jamaniiii
  14. kalamu ya chuma

    Iringa: Hongera Mbunge Msigwa, nakutakia safari njema ukimpisha Balozi Mahiga

    kwa sifa hizi za iringa ulizotoa,basi Msigwa toshaaaaa kabisa maana iringa sasa yapendeza na hakuna wa kupinga,tuacheni na msigwa wetu teheteheeeee
Back
Top Bottom