Search results

  1. Mayala masuka

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Prince Mpumelelo Dube Mudathir Yahaya Abasi
  2. Mayala masuka

    Ni ipi siri ya Yanga hata ikiwa mbovu haijawahi kumaliza ligi nje ya nafasi ya tatu?

    Mkuu ebu Jaribu kurejea msimu 2017/2018 Kisha uje tuweke sawa rekodi
  3. Mayala masuka

    Msaada tutani; Nina hali ngumu sana, nisaidieni kazi niweze kujikwamua

    Ukiangalia michango ya wachangia mada utagundua ni kama watu wawili tu hivi ambao wameonesha mwelekeo kuchangia anachohitaji mtoa mada, Kuna mmoja ameonesha nia kuchangia fedha Elf 2'hadi Elf5, na kuna yule anaulizia ujuzi wa mtoa mada, na hiki ndicho naona haswa anahitaji mtoa mada. Kitu...
  4. Mayala masuka

    Hafiz Konkon Leo hii hii ilifaa alipwe kiinua Mgongo chake na aombewe Lifti aondoke na Medeama

    Ki ukweli jamaa anaudhi sana,hata Mimi natumaini medeama watapewa waondoke naye,hawezi badilika huyu hata akipewa mda zaidi Never, "If you know you know"
  5. Mayala masuka

    Kuna ukweli kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora kwenye ligi kuu?

    Nimekuwekea hapo misimu iliyomaliza ikiwa ya tatu , hata tu kujiridhisha kwa ku-google kabla ubishe nayo huwezi?
  6. Mayala masuka

    Kuna ukweli kwamba Yanga haijawahi kutoka nje ya tatu bora kwenye ligi kuu?

    Hapana ishawahi kuwa nje ya namba two. Mfano wa hivi karibuni ni msimu wa 2017/2018 Pamoja na msimu wa 2011/2012 ilimaliza ikiwa namba 3 misimu hiyo miwili, ila nje ya top 3 haijawahi inyeshe mvua lije jua.
  7. Mayala masuka

    Tapeli kaja kama Mwalimu

    Kanuni gani hiyo muhimu mkuu?
  8. Mayala masuka

    Tapeli kaja kama Mwalimu

    Aisee tatizo la hawa matapeli ,wanaibuka na mbinu mpya kila iitwapo leo
  9. Mayala masuka

    Bingwa wa CAF Super Cup katokea kombe la shirikisho ni ujumbe tosha ya kwamba Yanga wapewe maua yao

    Club Africain USM Alger Marrumo Gallant Tp Mazembe Wote walipigwa nyumbani kwao
  10. Mayala masuka

    Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

    Watu wanaongelea Mtfe brother Siyo mfte
  11. Mayala masuka

    Mara yako ya mwisho kuangalia movie za kihindi ilikuwa lini?

    Umenikumbusha kuna movie siijui jina, Sterling alikuwa amezungukwa na raia kama 10 +, akawa akiwapiga wanapaa juu wanaenda kuanguka meter 20 mbele ,huku anaendelea kuwatandika wote kwa mtindo huo, mwisho ikawa siyo kukwepa ngumi za sterling ikawa kukwepa kuangukiwa na hawa wanaopaishwa kwa...
  12. Mayala masuka

    Msimamo wa Ligi msimu ujao 2023/24 uko hivi

    Tangu mashindano hayo yaanze yanga haijawahi kumaliza ikiwa zaidi ya nafasi za tatu za juu yaani 1,2,3.
  13. Mayala masuka

    Twaha Kiduku apigwa ubingwa wa mabara WBF;nilinyofoa video zangu zote YouTube Ili Twaha Kiduku hasizione-Bondia Asemahle Wellem.

    Vip kama hiyo ya kutoa video zote YouTube isingefanya kazi(work out)? "If you succeed every mistakes become legendary but if you fail it's just garbage" Jack ma.
Back
Top Bottom