Search results

  1. M

    CCM Kuondoa Alama ya Nyundo Kwenye Bendera Yao?

    Nadhani siku ambayo watanzania walimpa huyu Mkwere nchi ndo walifanya kosa kubwa, hope jana angekuwa mzee Ben a.k.a Chinga boy angetema biti bila kucheka cheka au angetoa suluhisho la mgogoro uliopo kwa sasa, nilidhani ni ngonjera kumbe ni Head of State anaongea na Wazee ambao ni Ma-layman...
  2. M

    Msemakweli kasema ukweli kuhusu mafisadi wa elimu?

    naona bwana Msemakweli ameamua kijtafutia umaarutu kwa gharama ya kuandika zile pumbas bila kufanya tafiti za kisomi na kutoa reference, kuna spelling mistake nyingi sana sijui alikuwa ana haraka gani bila ya kufanya proof reading. lakini ameonesha njia wengine tuige kwa kuto ogopa. Next time...
  3. M

    Filamu za kitanzania: Mazuri na mabaya

    So anunue hata kama ni pumba? kisa vijana wetu wasiwe wezi au vibaka mtaani? Nadhani kuna mambo mengi kufanya si lazima kufanya Filamuz. wakajifue katika soka ili kaka Mziray akichukua timu baada Maximo anaweza kuwaita Taifa Staz kwenye Neema.
  4. M

    Filamu za kitanzania: Mazuri na mabaya

    Ndugu Wana JF, ni wakati wa kuwanyoshea vidole hawa waigizaji wetu a.k.a Celebrities wetu. Kwanini hawajifunzi kwa Wanigeria au Ghana? Nimecheki filamu moja ya Ndugu Richard wa BBA ni Uoza mtupu, inaitwa Another Wife nilitegemea kwamba Richard angeleta mabadililko coz ametembea tembea huko...
  5. M

    Ni aibu kwa JK kuendelea kuwa kimya kwa malalamiko yote haya ya wananchi

    KAKA NADHANI WEWE UPO KUNDI LA AKINA LOWASA, HAKUNA HAJA YA TAFITI KUJUA KAMA JK a.k.a Mzee wa Bembea KUWA NCHI IMEMSHINDA. ANGALI HATA MFUMKO WA BEI, THAMANI YA FEDHA YETU. NADHANI INATOSHA MWAKANI AKACHEZE NGOMA KWAO BAGAMOYO AU APEWE UWAZI WA UTALII.
Back
Top Bottom