Wakuu!
Nina sarafu za kizamani za watawala mbali mbali...., kabla sijawa nazo niliambiwa ni dili sana. Leo nimezipata (angalia baadhi ya picha), hivi soko lipo wapi? Mwenye idea aje DM tuongee
Ujuaji sitaki
Karibu
Njaa
I think your intention is to show us that Qur'an is a perfect and complete holly book! It could be true, but there is no need to compare it with other books! So, which one do you trust the most? Qur'an or Science? They go in the opposite direction in so many aspects, in fact, a lot
Njaa
Wanajamvi naomba msaada:
Nahisi kuna mtu alijaribu ku-login kwenye account mara kwa mara kwa kutumia wrong password.....! Matokeo yake facebook waka-lock account yangu. Sasa ili niweze ku-unlock account hii ni lazima nipokee code kupitia simu ambayo niliiweka kwenye account ya facebook, bahati...
Thanks for the nice fabricated story. However, I won't take your MORAL of the story. I think you did good initiatives to position yourself three times to increase your chances of getting something from the event. But you were so unfortunate (at least at this event). Life is full of try and...
Mate! Asante kwa mchango wako japo ume-mix vitu vitatu, (science, fiction, na imani). Nitaisoma tena ili nikuelewe vizuri hasa kwenye kuganda kwa maisha! Sijaelewa kama maisha ndo yanaganda, au ukuaji wa mwili ndo unaganda (kutokuzeeka), au muda ndo unaganda.
True! Hii ndo maana ya specific noun. hata kwenye uandishi, kama nomino inaandikwa kwa mara ya kwanza basi hutanguliwa na A, baada ya hapo THE itaendelea kutumiwa.
Mfano, nikisema 'Let read the book", hapa msomaji au msikilizaji lazima awe anajua ni kitabu gani kinazungumziwa, kama hawakijui...
Matumizi sahihi ya 'a' na 'the' ni kama ifuatavyo:-
the = definite article (specific noun)
a/an = indefinite article (non-specific noun)
For example, if I say, "Let's read the book," I mean a specific book. If I say, "Let's read a book," I mean any book rather than a specific book.
"A/an" is...
Ishu ni kwamba, mtoto kulia ni dalili njema..., pia kwa umri huo kuwa hajawahi kulia si dalili nzuri. So kuambiwa hana tatizo ni kitu kimoja, lakini kwa nini hajawahi kutoa sauti ni jambo lingine.
Kwa wazazi/walezi wengi tungehangaika kama yeye. Pole mkuu, naamini kitengo cha watoto Muhimbili...
Thanks for the advice, this too shall pass as you said! However, we must keep gathering more information and statistics of COVID-19 either for precaution or just for awareness. As for now, we don't have any updates (statistics and new initiatives) from the Ministry of Health, Community...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.