Unaweza kutueleza kwa ufupi CV yako kuhusu masuala ya sheria na jinsi ya kuendesha kesi ya ugaidi kama hii inayoendelea? Baada ya hapo tutajadili hoja zako za msingi.
Akiwa kwenye tume ya Warioba aliwahi kusikika akisema kuna chama bila msaada wa polisi hakiwezi kushinda uchaguzi. Je ameshafikia hiyo topic kwenye shule yake?
Naona wale maadui watatu aliowaainisha Mwalimu Nyerere miaka ya 1960 bado wapo imara 50 years later na sasa wamekuwa nguvu kuliko wakati ule wa uhuru. Hasa adui ujinga.
Good Leadership! Cheupe kiitwe cheupe na cheusi kiwe cheusi. Kama watumishi wa kanisa wanaokutana na waumini wengi ni busara mapadri wachanje ili wajikinge wao wenyewe na waumini wao. Baba Askofu yuko sahihi. Una hiyari ya kuchanja ila huna hiyari ya kuambukiza wengine.
Mfate 42 sijakasirishwa nilieleza tu mtazamo wangu. JF ni sehemu ya kupunguza stress siyo kusababisha mtu akasirike. Kama unaweza kuwa unakasirishwa na comments za JF basi utakuwa na matatizo makubwa zaidi yanayohitaji ushauri nasaha.
Uko sahihi! Kuna tatizo sehemu mtu anahoji chanjo lakini aliuhua anakwenda hospitali ambako madawa yote yanatoka kwa hao hao wazungu wanaosemekana kuwa hawatupendi.
Sema wewe ndiye hujielewi siyo dunia. Dunia imeshagundua chanjo kadhaa na iko kwemye hatua ya kuchanja watu na kulegeza masharti ya kujikinga na Corona.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.