Search results

  1. Lukolo

    Maneno haya kutoka maandiko matakatifu yatufundisha nini juu ya tukio la tarehe 17/03/2021?

    Mkuu unaandika kana kwamba mlikata kikao na Mungu kuamua kuhusu maisha ya Magufuli. Ukasahau kama na wewe unakufuru. Soma Isaya 55:8-9, nafikiri kama unamwamini Mungu, baada ya kusoma misitari hiyo kutafuta hii post.
  2. Lukolo

    Maneno haya kutoka maandiko matakatifu yatufundisha nini juu ya tukio la tarehe 17/03/2021?

    Oooh Kumbe ndiyo maana ya Mwendazake? Sisi tunamshukuru tu Mungu kwa matendo yake makuu.
  3. Lukolo

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Mimi ni Muislamu wa ukweli tu, lakini siamini kwamba Mwislamu ndiyo mtu bora kumshinda binadamu mwingine. Waislamu tunaamini kwamba sisi ndiyo tunastahili kila lililo jems kushinda wanavyostahili makafiri.
  4. Lukolo

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Kwani vyuo vikuu na shule zote zina makanisa na misikiti?
  5. Lukolo

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Kama kuna makosa makubwa ambayo waislamu wa UDOM mmeyafanya, basi ni ile albadili mliyomsomea Prof Mubofu ili afe, na akafa kweli. Nawahakikishieni maisha ya Mubofu mtayalipia kwa damu na jasho. Hizi ni rasharasha tu, bado mvua yenyewe. Si tu mtaikumbuka ile Albadili, bali mtaijutia.
  6. Lukolo

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Tatizo kubwa tulilonalo waislamu ni kupenda favour. Tunapenda kubebwa na kudhani kwamba tuna haki zaidi kuliko dini nyingine. Wakristo wa hspo UDOM wanasali wapi? Kwanini wao hawakulazimisha kujenga makanisa? Iweje waislamu tujione tuna hski zaidi kushinda wenzetu? Sitamlaumu Mbofu kwa maamuzi...
  7. Lukolo

    Polisi wa usalama barabarani msitugombanishe na serikali

    Kwa sasa polisi ni department ya TRA
  8. Lukolo

    Polisi wa usalama barabarani msitugombanishe na serikali

    Upo sahihi nchini nyingi sana za wenzetu, tayari wana huu mfumo wa taa zenye sensor, zinaweza kujua upande upi una magari mengi Zaidi kuliko upande mwingine. Sisi bado tunatumia analogue.
  9. Lukolo

    Polisi wa usalama barabarani msitugombanishe na serikali

    Nakubaliana kabisa na wewe, kuna wakati kwa kweli hawa watu wanakuwa frustrated, na ukizingatia hilo agizo la kukamata na kutoza faini angalau magari kumi kwa siku naona kama limewachanganya kabisa, kwa hiyo wanakomaa tu hata kama wanajua kosa siyo la msingi. Kuna mmoja aliwahi kunikomalia...
  10. Lukolo

    Polisi wa usalama barabarani msitugombanishe na serikali

    Nalazimika kuja na post hii kutokana na matukio kadhaa ya hivi karibuni ambayo yanayojitokeza tukiwa barabarani tunakimbizana na mkate wetu wa kila siku. Nashindwa kuelewa kama matukio haya yanatokana na uwezo mdogo wa polisi wa usalama barabarani kuongoza magari au ni maelekezo maalumu ya...
  11. Lukolo

    Ansbert Ngurumo: Kikao cha siri ofisini kwa DCI kiliamua Mbowe na Wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne wanyimwe dhamana

    Inasikitisha sana kuona nchi ambayo iliitwa kisiwa cha amani hivi sasa inabadilika kuwa bonde la uvuli wa mauti.
  12. Lukolo

    Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Kwanini unataka Mtoto wa miaka sita asimamishe. Muhangaikie ukiona hadi miaka kumi tatu bado hasimamishi
  13. Lukolo

    Kwanini wanawake wa siku hizi wagumu kufika kileleni?

    Kwani wewe ndiyo Bhahressa? Kama siyo Bhahressa, INA maana na wewe unafanya jitihada kama za jamaa????
  14. Lukolo

    Dr. Lwaitama apewe uenyekiti CHADEMA na kugombea Urais 2020

    Anayeweza kuivusha CHADEMA kwa sasa ni Tundu Lissu pekee.
  15. Lukolo

    Hali tete: BOT yashusha viwango vya uwekezaji wa Dhamana & Hati fungani kuanzia Februari 21,2018

    Ukwasi ni kitu gani? Benk kuu inatumia lugha za mtaani?
  16. Lukolo

    Milton Mahanga: Naomba niweke wazi, nilikuwa sitaki lakini mmezidi CCM. Acheni kunirubuni kwa fedha nirudi chama chenu

    Kwani hili nalo ni jipya Kwako? Jiulize ushahidi wa Nassari Uko wapi? Zaidi sana mtuhumiwa amepandishwa cheo.
  17. Lukolo

    Swali Korofishi: Ni jambo gani limetokea Uchaguzi Mdogo ambalo halikuwahi kutokea kabla?

    unasema kama.... huyu ni Zaidi ya Idd Amini Dada!! Subirini mtakapoona anabadili katiba na kubaki madarakani milele... yangu macho.
Back
Top Bottom