real it painfull pole sana nadhani kama sio figo zone angalia uwezekano kwa kupitia ushauri wa madaktari kama wanaweza kutoa au kubadilisha moja kabla haijasambaa sana kweli nimeguswa sana
KWA wapenzi wa muziki watakumbuka kuwa bendi ya Empire Bakuba ilianzishwa na watu watatu, marehemu Joseph Kabasele Yampanya 'Pepe Kalle', Papy Tex na Dilu Dilumona miaka ya 1970.
Lakini, pamoja na bendi hiyo kuasisiwa na watatu hao na baadaye kupewa nguvu na Jojo Ikoma, ni vigumu kutaja...
TANZANIA ya sasa sio ile tuliyoizoea yaani hii serikali tuliyo nayo imeprove failure bora hata kipindi cha mkapa hakukuwa na ujinga huu nitawalaumu daima serikali ya CCM ndiyo chanzo cha yote haya mbona kipindi cha awamu ya tatu hakukuwa na wakina PONDA wala habari zao kila kiongozi...
tatizo letu na Rwanda si kauli za JK hapana naona kama ni ile hali ya kupeleka majeshi kongo kupambana na M23 ambao asili yao ni waasi kutoka Rwanda hivyo tumemzibia kagame mianya ya Uchumi ndio maana anatapatapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.