Search results

  1. klorokwini

    babu DC......

    heheh fello tablet Asprin acha nikusalim bana halaf wasalimie wanachit chat woooooooooooooooote. Mzembe nimepata jimama la ki ukraine wala msitegemee kuniona karibuni hapa JF, jimama limejifunga uzazi kabisa ili kunikomoa. Nyambaaf zangu loya. gud night, hapa ukraine kesho tunashelehekea mwaka...
  2. klorokwini

    Kipima joto cha leo.....

    Hehehe mie nimepita kuwasalimu tu na ujumbe wangu ni kwamba "msinitafuteeee mwenzenu niko bizeeee, msinitafute mwenzenu niko bizeeee" Mzembe nakamilisha makabrasha ya mwisho mwisho nilambe share yangu Zimbwabwe Airlines. Erotica na sweetlady anzeni kufanya mazoezi ya kutumia pafyumu za...
  3. klorokwini

    Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

    hehehe naelewa honey bana, wewe ndio kwanza sheria hata haikuruhusu kuendesha gari, infakti umepishana na lulu kwa miezi tu. Sasa acha nilog out nikakamilishe ule mpango wetu wa weekend. si unajua sherehe ni mipango? na mipango ni matayarisho? luv is all I have for you kich kich beibe. tchao...
  4. klorokwini

    Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

    sio umri mdogo tu honey, halaf wananiita young billionaire. Si unakumbuka siku ile nikakuchkua red capeti hollywood?
  5. klorokwini

    Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

    huyo bibi kiroboto ni memba wa JF? seriously natafta kibibi kinilee maisha yamekuwa magumu kaka
  6. klorokwini

    Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

    hehehe ina maana hela ya pensheni ndio anaingilia kefu?
  7. klorokwini

    Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

    Kabisa, nywele za kwapa zenyewe hazijachanganya. Yaani mpaka sasa kwa miez sita natumia viwembe 2 tu. Vizee mstubague lakini, tunahitaji busara zenu
  8. klorokwini

    @SweetLady kidogo avunje Ndoa yangu

    Sasa unanitaftia mada kesi, mleta mada wenyewe tayari hana meno ya mbele sasa mi nikimtwanga nimng'oe nini?
  9. klorokwini

    Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

    kibabu ni Erickb52 bana, mzembe anakimbizana umri na joseph warioba. Kulaleki. JF bana
  10. klorokwini

    Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

    Nilifanya besdei last week nimeingia 24. Siku zinakimbia kweli walahi yaani nimezaliwa juzi tu leo tayari niko 24 khaaa!
  11. klorokwini

    @SweetLady kidogo avunje Ndoa yangu

    am vere vere gud honey, nani kakuuzi leo nimalizane nae. Sjawahi kutukana JF lakini niko tayari kutukana na kulambwa ban kwa ajili yako. mapenzi yangu kwako hayapimiki. siku ukizimia tu basi mi najiuwa kabisa.
  12. klorokwini

    Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

    Waifu wa jirani yangu pia alitaka kudai talaka nimuowe mimi nikamjibu kwa kiingreza impossibo, ametishia kujiuwa. Nazani sasa imetosha. Mambo vipi honey?
  13. klorokwini

    @SweetLady kidogo avunje Ndoa yangu

    khaaa! yaani mimi muuza ustomach? hii lazima niripoti kwa mods, vijana ageni kabisa ban yenu inatayarishwa
  14. klorokwini

    Platozoom ndivyo nilivyo...hebu na wewe sema ulivyo

    Mzembe nina six pack la kufa mtu, halaf nikiongea stoi harufu ya mdomo, niko kopi to rait na walcott wa Arsenal, samtaimu hata toilet naenda na suti, sjawahi kuishi uswahilini, wala sjawahi kutongoza, wadada wakiniona tu basi wanajileta wenyewe na vijimaneno vyao kama "super star kloro naomba...
  15. klorokwini

    Baba bora wa JF

    kura yangu inakwenda kwa kaka zubeda mchuzi hehehehe
  16. klorokwini

    KATIBA: OPEN MARRIAGE. It’s Motto – SEX is not an issue, It is a Pleasure!

    Ukimwaga mapwenti ya kutosha na kunishawishi basi nitarudi kwenye close marriage tena nakuowa wewe halaf nabaki na wewe tu mpaka kifo cha mende kitutenganishe
  17. klorokwini

    KATIBA: OPEN MARRIAGE. It’s Motto – SEX is not an issue, It is a Pleasure!

    heheh Erotica hii ndio ile katiba mpya imeanza kutumika? Halaf simu yako haipatikani. uko na nani leo? katiba hairuhusu kuzima sim
  18. klorokwini

    Kudanganya......

    kuna kategori moja umeisahau, kuna recommended lie pia, kuna sehemu uongo unapendekezeshwa kabisa utumike ili to avoid unnecessary downtime marriage blackmailing (hii ni mada mpya ambayo itasibitisha kwamba waifu wangu ana bahati kweli kuolewa na mimi). Usinibeep sana shem leo nina mapwenti...
  19. klorokwini

    Kudanganya......

    Ofu topik: wee Maty mbona unaonekana Mbu akianzisha sredi tu. Ukimwagiwa tindikali na MJ1 , shauri yako. hehehe turudini kwenye mada ya uongo sasa.
  20. klorokwini

    Kudanganya......

    Katika mahusiano uongo una nafasi yake na hadhi yake. Binadamu tumeumbwa kukosea na kujirekebisha pale tunapokosea. "Mimi Klorokwini naahidi kutumia uongo kuilinda ndoa yangu popote pale nitakapoteleza kibinaadamu, Ewe mola nisaidie". itikieni amen mbariki kiapo changu
Back
Top Bottom