Search results

  1. D

    Wazee wa Mkataba Mwitongo ndio walishauri Nchimbi arudishwe kwenye Uongozi

    Juu ya hii mi nimejiridhisha zaidi, mfano nenda BOT, TRA, Balozini, n.k. Kinachoumiza zaidi watoto hawa wa viongozi hawafanyi kazi ni mizigo kwa Taasisi husika hata viongozi wa Taasisi husika hawawezi kuwachukulia hatua zozote kutokana na nafasi za wazazi wao, anza kwa kufuatilia walipo pale BOT...
  2. D

  3. D

    CHADEMA msitishwe na RC Chalamila

    Baada ya CHADEMA kutangaza maandamano Jan 24, Mh RC Chalamila nae ametangaza kuwa siku ya tarehe 23 na 24 Januari kuwa siku za usafi utakaofanya na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Mimi nasema hivyo ni vitisho tu, kanyagieni hapo hapo msinyanyue mguu tupo pamoja na ninyi, maana hata sisi...
  4. D

    LATRA mnamuangusha Rais Samia

    Nitoe masikitiko yangu kwenu LATRA, mmekasimiwa majukumu na Mhe Rais wetu ya kuratibu na kusimamia usafiri wa Nchi kavu lakini hamumtendei haki kabisa Rais wetu, maana mkishatoa hivyo vibali hamna muda wa kufuatilia kama mliowapa vibali hivyo kama wanazingatia masharti ya vibali hivyo!. Hivi...
  5. D

    Nashauri nafasi ya Urais tumpe Mzungu ili atuletee maendeleo

    Maendeleo ya nchi huletwa na mifumo imara ya nchi yenye uwezo wa kusimamiana na kudhibitiana!. Usije ukategemea kuwa kuna mtu yeyote anaweza kukuletea Maendeleo bila kuwepo mifumo hiyo imara!.
  6. D

    Ni mawaziri wangapi wanaweza kukataa rushwa ya Tsh milioni 300?

    Jerry huyu huyu akatae Tsh 300ml kweli?, sema humjui tu!. Hapo nilichojifunza katika issue hiyo amekosea timing au taarifa ilivuja mapema!.
  7. D

    Kwanini nchi haina Kitengo cha Intelijensia ya Uchumi?

    My friend nchi yetu hakuna kitu inachokosa, Intellijensia ya uchumi tunayo iliyosheheni wataalam wabobezi!. Tatizo tulilonalo maamzi mengi yanategemea msukumo wa kisiasa ambapo manyang'ani na wabinafsi walioshikiria hatamu ushauri wa kitaalam hufunikwa na kufanya yale yanayowanufaisha wao tu na...
  8. D

    Ushauri kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Binadamu yeyote ana mazuri na mapungufu, hivyo kwenye mazuri ya Magufuli tuache yasemwe na kwenye maovu yake yasemwe pia!.
  9. D

    Ushauri kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Kijana Tundu ni mtu makini sana huwa halopoki tu bila kufanya utafiti, kumbuka huyo ni Wakili msomi na nguri wa sheria!. Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
  10. D

    Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja tusubiri tuone!. Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
  11. D

    Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
  12. D

    Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

    Aisee hataree sana!. Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
  13. D

    Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
  14. D

    Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

    Ngoja tuone kama nchi yetu imegeuka mali ya ukoo!. Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
  15. D

    Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
  16. D

    Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM!

    Zamu yake ilishapita hatupaswi kurudi huko, akipewa nafasi hiyo nitarudisha kadi yangu mchana kweupe tena mbele ya vyombo vya habari!.
  17. D

    Musukuma: Nilikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu. Alifilisika na kuuza ngano 'inayoharibika'

    Kama ni kweli anapaswa aeleze pesa alizonazo alizipataje, akishindwa afilisiwe!. Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
  18. D

    Ni Mtu mjinga ndio ataamini DP World anahitaji kufanyiwa Promo na Watu aina ya Zembwela!

    Nakubaliana na wewe maana waswahili husema kizuri chajiuza na kibovu chajitembeza!. Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom