Search results

  1. ELNIN0

    Sanduku la Agano liko wapi?

    (Kama ilivyoandikwa mtandaoni...) Kilichotokea kwa sanduku la Agano ni swali ambalo linavutia sana wanatiolojia , wanafunzi wa Biblia, na wanaakiolojia kwa karne nyingi. Katika mwaka wa kumi na nane wa utawala wake, Yosia, mfalme wa Yuda aliamuru waangalizi wa sanduku la Agano wairudishe hekalu...
  2. ELNIN0

    Waziri Simbachawene: Watanzania wanataka amani, maendeleo, siyo Katiba Mpya

    Kukaa kimya nayo huwa ni busara, kuliko kubeza maoni ya wenzako waziwazi kabisa.
  3. ELNIN0

    Baada ya Angalizo UN, Katiba Mpya - Mapambano yanaendelea

    Ni mamemo ya matumaini makubwa mno kutoka kwa Rais Biden, ni muda sasa wa marais wa kiafrica kukaa chini na kutafakari...kuachana na kutamka maneno matamu yenye matumaini ya kukuza demokrasia na utawala bora huku matendo yao yakiwa ni kinyume kabisa. "The future belongs to those who make their...
  4. ELNIN0

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mkoani Tabora

    Lissu karibu sana Tabara kwetu, wanyamwezi ni watu wakarimu mno..... hapa ndipo chimbuko la wapigania haki na demokrasia ya kweli walitokea hapa.... Kijiji cha Ipole Sikonge ndipo alipozaliwa na kuzikwa Mwanamapinduzi nguli... Oscar Kasangatumbo (R.IP) ambaye alikuwa miongoni mwa waasisi wa...
  5. ELNIN0

    Uchaguzi 2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

    Mungu amewafumba mambo mengi ili mapenzi yake yatimie! Spiritual Powers huwa si za mchezo ndugu zangu. Wote tunashangaa huyu mtu aipenyaje penyaje kwenye vetting ya chama.
  6. ELNIN0

    Uchaguzi 2020 CCM yagawanyika, hawana majibu hoja za Lissu!

    hoja za Lissu ni kaa la moto!!
  7. ELNIN0

    TANZIA Mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Njelu Kasaka amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa Mbeya alipokuwa akipatiwa matibabu

    RIP Mzee wetu, utakumbukwa mno hasa kwa hoja yako nzito ya kuidai Tanganyika huru!!
  8. ELNIN0

    Marekani wanasumbuliwa na Umasikini sio Ubaguzi

    Kama USA wana uwezo wa kuwalipa posho ya kuishi wananchi wao wasio na kazi sasa umaskini uliokithiri unatoka wapi?
  9. ELNIN0

    Maigizo ya Magufuli na timu yake Chato

    ha ha ha ha Mkuu umemaliza sina swali.
  10. ELNIN0

    Jambo jema: Mipaka ya Tanzania bara inajifunga yenyewe kutunusuru na Corona

    safi mkuu, unanikumbusha sisi kina baba kwamba kina mama wakipima negative wakati wa kujifungua basi automatically na sisi ni negative. .
  11. ELNIN0

    Tume huru ndiyo silaha ya mwisho, isipopatikana ndio mwisho wa upinzani Tanzania

    Madai ya Tume huru ya uchaguzi ni mwiba mchungu mno kwa CCM.
  12. ELNIN0

    Mgodi wa dhahabu wa wajerumani uliosahaulika

    Kuna mjomba wangu tangu miaka ya 80 alianza kufuatilia hizi wanazosema ati mali za wajerumani walizoacha kwenye mahandaki baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia - leo ni takribani miaka 40 senti tano hajawahi kupata though bado anaimani atakuja kupata huku akihangaika na matambiko ati ili mali...
  13. ELNIN0

    Bora nikate tamaa ili niwe salama

    Kukata tamaa ni dhambi kubwa (laana) jiepushe nayo kwa sababu ina tabia mbaya ya kurisisha kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Pambana mpaka pumzi ya mwisho chief, hujui ni lini na ni wapi mlango wako wa kutokea ulipo. Hata kama utaondoka hapa duniani bila kuupata mlango wa kutokea basi roho ya...
  14. ELNIN0

    Kuenguliwa wapinzani kumewapaisha kisiasa

    Tatizo la CCM si wasikivu... hii ni hoja mzito sana.
Back
Top Bottom