Uko sahihi sana. Niko kwenye taasisi fulani, nimengalia cruiser za Kanisa Katoliki, zina namba AAF lakini utadhani zimeletwa mwaka huu, nikilinganisha na za umma. Gari ni matunzo, kuna namba D ni mbovu kuliko namba B
Yaani mpaka leo sielewi planners wa Sumbawanga ni wa namna gani! Kwa nini hawaigi Mbeya? Mbeya walihamisha uwanja toka Mwanjelwa kuupeleka Songwe penye nafasi. Pale Mwanjelwa wanajenga stendi kubwa ya mabasi. Nilikuwa na mawazo kama yako kwa Rukwa, uwanja wangeuhamisha na lile eneo la sasa la...
Nami nimeshangazwa sana na maamuzi ya watendaji wa Manispaa ya Sumbawanga. Toka siku za nyuma pia ilikuwa ni amri kwamba mabasi yanayotoka nje ya mkoa wa Rukwa kutokea njia ya Tunduma, wanalazimishwa kushusha abiria stendi ya Katumba, kilometa 15 nje ya mji hata kama gari linakuja kulala mjini...
Arusha inakua kwa kasi, kwa nini tusijenge uwanja wenye capacity kubwa? Hata kama itajazwa in the next 20 years sio mbaya, kuliko kujenga uwanja mdogo then tunakuja kufikiria kujenga mwingine miaka michache ijayo kutoka na uliopo kujaa.
msiweke mipango ya pamoja ya maendeleo (hasa uwekezaji) kwa sababu mkimwagana katikati ya njia mtaishia kuuana ama kupelekana mahakamani
Usimsomeshe, hilo jukumu la serikali (HESLB) na wazazi wake
Usimwambie siri zako zote, mkimwagana atazitoa nje
Wachina wala hawakuwasikiliza mabeberu wakati wanajenga "Stiglaz" yao ya Three Gorges dam (23GW). Wachina walizamisha vijiji kadhaa ili kupata umeme, wakahamisha raia wao na kuwapeleka maeneo salama. Leo wana umeme wa bei rahisi ambao unaendesha viwanda vya 24/7 na kutupatia bidhaa kwa bei ndogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.