Search results

  1. isaryalande

    Heko za Sikukuu 🎄 kwa Wadada na Wamama....

    Mke nimempa hela ya kununua vitu vya kupika amekataa kuingia jikoni kisa sijampa hela ya kwenda saloon.
  2. isaryalande

    Kwanini hakuna mkesha wa Kitaifa wa Christmas mwaka huu?

    Acha udini hautakusaidia.
  3. isaryalande

    Printed ID Holders: Wanauzaje jumla na Ku-Print

    Kwenye printing unatakiwa kutoa idadi ngapi unahitaji ili uweze kupewa Bei ya jumla, mfano anayeprint 10pcs ni tofauti na anayeprint 100 mkuu
  4. isaryalande

    Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    Fanya maamuzi ya kupunguza kidogokidogo utafanikiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. isaryalande

    Nimechukua mkopo benki, naomba ushauri katika namna niliyopanga kuutumia

    Njoo unione Sent using Jamii Forums mobile app
  6. isaryalande

    Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Ndio lakini ameshindwa kujiendeleza kielimu ya sheria na pia hataki kusoma katiba ya JMT kujua mamlaka ya kila muhimili wa nchi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. isaryalande

    Askofu Mwamakula: Mheshimiwa Rais asipewe utukufu wa Mungu!

    Tuwaombee viongozi wetu Mungu awahurumie maana wameamua kumzidi yeye aliyewaumba na wameanza kumpangia majukumu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. isaryalande

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    kwa sababu kuwa mpinzani ni sababu ya kuikosoa serikali iliyo madarakani, sasa unapoamia chama tawala unaenda kukosoa nini?
  9. isaryalande

    TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

    "clouds tv wabadilishe picha waweke ya Kibonde sasa" (ni ushauri tu)
  10. isaryalande

    TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

    "kwa kumuenzi endelea kufuatilia jahazi"" KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA - APUNZIKE KWA AMANI
  11. isaryalande

    TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

    RIP. KIBS POLENI CLOUDS FAMILY POLENI WANAFAMILIA WA KIBONDE MUNGU AWAPE MOYO WA SUBIRA "BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE" AMEN!
  12. isaryalande

    Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

    Napata kigugumizi kuzungumza kwa sababu ni kweli ni haki kikatiba kiongozi wa kisiasa kuondoka chama a na kwenda chama b. Ukakasi unakuja pale kiongozi yule yule anapoteuliwa kugombea nafasi ile ile aliyoiacha kule alipotoka :-)
  13. isaryalande

    Wimbo wa Dini: Kila Mtu Atauchukua Mzigo Wake

    Kwaya ya uinjilisti arusha mjini
  14. isaryalande

    Neno la Asubuhi...

    Amen mtumishi
  15. isaryalande

    Tujikumbushe Nicknames za Wachezaji wetu wa Bongo

    Trŕer CD s/.f [emoji9] Sweet Home [emoji92] [emoji536][emoji173][emoji536][emoji126][emoji169][emoji125][emoji445][emoji445] [emoji9] Sweet Home [emoji92] [emoji536][emoji173][emoji536][emoji126][emoji169][emoji125][emoji445][emoji445][emoji287]...
  16. isaryalande

    Hivi ni haki kumzuia mtoto kufanya mtihani wa darasa la saba kisa ada

    Asanteni tumekubaliana na uongozi wa shule, ila tukumbuke kuwa English medium zote ada zinaendelea kama kawaida, jana mkuu wa shule alimrudisha mtoto wakati Leo ni mtihani nilikwenda nikawasikiliza na nikaongea nao wakaelewa kuwa sasa hivi usawa mbovu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom