Search results

  1. M

    Umewahi kuingiliwa biashara na jirani / mshindani anaeuza kwa bei za chini mno ili kukuibia wateja, kukuondoa, kukuumiza , n.k. ulitoboa?

    Mara nyingi wanaofanya hivi ndio kwanza wanaanza biashara.Binafsi nilikata matumizi yangu,nikasima na bei yangu lakini haukupita muda mshindani alidondoka.Jambo la pili ni kuangalia kuwekeza katika maeneo tofauti kiasi ambacho ukishuka huku,kule kunaku maintain.Haya mambo tunayo waswahili lakini...
  2. M

    Ni ipi adhabu ya kutukana?

    Matusi, kutukana limekuwa jambo la kawaida mitaani na mitandaoni. Ni ipi adhabu ya kutukana bila kujali wadhifa wa anayetukanwa? Ni kipi mtu anatakiwa kufanya endapo atatukanwa?
  3. M

    Rais Samia asaini miswada ya Sheria za Uchaguzi

    Ukisusia uchaguzi,ACT wanshiriki na wanapewa majimbo.Kidogo kidogo unaondoka
  4. M

    Ni upi Msimamo wa Serikali kuhusu Vipimo vinavyopima mwili mzima kwa Tsh. 20,000?

    Ndio maana tunaomba muongozo wa serikali
  5. M

    Ni upi Msimamo wa Serikali kuhusu Vipimo vinavyopima mwili mzima kwa Tsh. 20,000?

    Kuna kampeni kubwa inaendelea sehemu mbalimbali ambapo kuna wataalamu wanapita na kipimo cha kupima mwili mzima kwa 20,000. Nina shauku ya kujua kutoka wizara ya Afya kuhusu msimamo wa serikali juu ya jambo hili. Waziri Ummy, ikikupendeza tueleze.
  6. M

    Kama ilivyokuwa awamu ya 5, ndivyo imekuwa awamu ya 6. Makonda ndio Mwanasiasa anayeogopwa zaidi baada ya Rais. Nini siri yake?

    Hakuna cha Magufuli mdogo.Chama ndicho inampa umaarufu kwa siku zinavyokwenda atakumbana na kiski hadharani ambacho kitamfaya ajitafakari.Anachofanya ni drama na kwa kuwa Watanzania wanapenda drama watakwenda kumsikiliza.Atakutana na Mtendaji wa serikali aliye ma msimamo na mbele ya hadhara...
  7. M

    TBC mpo serious kweli? Mnakata matangazo ya Bunge mnaweka shughuli za Mkuu wa Mkoa?

    TBC mpo serious kweli? Mnakata matangazo ya Bunge mnaweka shughuli za Mkuu wa Mkoa? Unakata matangazo ya Bunge unatunganisha na shughuli za Mkuu wa Mkoa Mbeya, kweli?
  8. M

    Malipo ya Serikali, kuna nini?

    Premium za wafanyakazi wangu
  9. M

    Malipo ya Serikali, kuna nini?

    Nimejaribu kuilipa NSSF kupitia app za NBC na CRDB banks lakini zote zinagoma. Nimejaribu kuingia Tausi portal ,inazunguka tu. Ni mimi tu au kuna mwingine kaliona hili?
  10. M

    Nape na Chalamila mna la kujifunza katika kipindi hiki kifupi

    Nape alijitokeza na kutishia wote waliouliza kuhusu alipo Makamu wa Rais. Kwa kipindi kifupi alipigwa spana Tweeter za kutosha. Hazikuwa spana kavu bali na vifungu vya sheria na katiba na kidogo wakampekua hata mambo yake mengine. Ametulia! Chalamila alijivika Uamiri Jeshi (kwa cheo cha...
  11. M

    Kikosi cha kuzuia ghasia magerezani: moja ya vikosi hatari kabisa, FFU wanasubiri kwa hawa jamaa

    Gereza ni sehemu ya kuwahfadhi watu ambao wameshindwa kuendana na jamii na ho wapo wa aina nyingi mpaka wauaji ni wengine wenye matendo maovu kabisa.Uasi ndani ya gereza unaweza sababisha watu hawa kutoroka.Naamini ni lazima wazuiaji wa fujo za gerezani wawe watu imara na wenye ujuzi wa kutosha...
  12. M

    Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

    Mvuta bangi kaiangusha serikali mahakamani
  13. M

    Paul Makonda ameagiza Waziri wa TAMISEMI kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Pangani Haraka Sana

    Unachanganya mambo,vikao na maamuzi ya Chama hupelekwa serikalini na si kiongozi 2a Chama kumkoromea mtumishi.Mtapigwa makofi hadharani
  14. M

    Mohamed Janabi, endelea kuelimisha

    Mohamed Janabi umeitendea haki elimu yako kwa kuwaelimisha Watanzania na walimwengu kuhusu magonjwa yasiyoambukiza ambayo mengi yameongezeka kutokana na mwenendo wetu wa Maisha. Pamoja na kejeli na kawaida yetu waswahili kupuuza kila kitu mpaka kikukute alkini hujakata tamaa.Umetumia kila aina...
  15. M

    NADHARIA Raia wa visiwa vya Fiji walitokea Tanganyika

    Pamekuwa na maneno kuwa Wananchi wa FIJI wana asili ya Tanganyika. JamiiChek tusaidieni kufanyia kazi suala hili. Wakazi wa Fiji (Chanzo: Mtandao)
  16. M

    Biashara ya mpunga...

    Jambo la kwanza ni kujua soko liko wapi.Kuna sehemu ambayo mpunga bei ipo chini kwa kuwa miundombinu ni mibovu
  17. M

    Hukumu ya Sabaya na Wenzake

    Mmh
Back
Top Bottom