Search results

  1. trudie

    Nilichobaini kwa watu wa Njombe

    Tupo wengi sana mkuu karibu kuna fursa nyinginsana za kilimo
  2. trudie

    JamiiForums Usiku wa manane

    Hello bro 00:28 nimekatiza mitaa hii baada ya kitambo kirefu. Ur missed thou
  3. trudie

    Nilichobaini kwa watu wa Njombe

    Asante sana na karibu sana Njombe mkuu
  4. trudie

    FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Mamelodi lazima akasimulie hukoo
  5. trudie

    Ni kitu gani watu wengine huona kuwa cha kawaida ila wewe huwezi kufanya au kuwa nacho?

    1. Kubwa zaidi siwezi kuwa na mahusiano na watu wawili kwa wakati mmoja huwa najiuliza wanawake wenzangu wanawezaje kuwapanga hata watano Pia kuomba omba hela siwezi najisikia kama sio yaani. 2. Kwanza sina ticktok nawashangaa sana watu wazima wanaokesha kujiimbisha huko. 3. Kuzurula mitaani...
  6. trudie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haijatengenezwa hiyo mkuu ni code ya nigeria na Jana wanaija wamekula sana mamilioni huko. Sijatuma code huu ni mkeka wa dogo ninayemjua ye aliweka sh 10 ila angeweka hata jero tuu Saa hizi angekuwa milionea
  7. trudie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna watu wana bahati zao, betting ni bahati.
  8. trudie

    Dalali wa vyumba Dar anisaidie

    Hoja yake ni kwamba nyumba isiwe na migogoro ya kukatika umeme mfano luku kuisha halafu wapangaji wengine wanakuwa wasumbufu kununua. Ukikatika iwe ni tanesco wamekata
  9. trudie

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Tunakuonea huruma wewe ujue, ila huu uzi haipiti wiki haujawaka sijui kwanini. Halafu participant ni walewale
  10. trudie

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Na anavyojua kupanick pia we mwache yamkute
  11. trudie

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Sawa ngoja nimsalimie Nuzulati wifi mambo
  12. trudie

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Happy valentine day bro [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  13. trudie

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Kumekuchaaaa
  14. trudie

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Tupo active mkuu weka episode hiyo
  15. trudie

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Dokta anamkomesha tuu amuumize maana jamaa ndio aliyeanza kumtafuta dokta na jamaa yake kumchimba biti.
  16. trudie

    FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

    Hahaaaa yaani acha tuu leo nina rahaaaa mpaka basiiiii
  17. trudie

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Hapana kwakweli hadi mimi nimeshangaa hasa waliokuwa wanawaonea wivu
Back
Top Bottom