Search results

  1. M

    Tafadhalini twendeni tukasikilize maoni toka kwa viongozi wetu wa siasa na sio kuvunja amani

    Kweli kabisa tuna kila sababu ya kusikiliza na kujua hitima ya mabadiliko ya katiba ikoje sio mimi na wewe bali hata yule na wale.Lakini cha msingi ni KUDUMISHA AMANI NA USALAMA WETU,wakati mwingine tunawalaumu Polisi baada ya kukiuka yale waliyo yakataza bila sababu,tumeruhusiwa kukusanyika...
  2. M

    Twendeni leo Jangwani tukasikilize viongozi wa vyama vikuu vya upinzani

    Kweli kabisa tuna kila sababu ya kusikiliza na kujua hitima ya mabadiliko ya katiba ikoje sio mimi na wewe bali hata yule na wale.Lakini cha msingi ni KUDUMISHA AMANI NA USALAMA WETU,wakati mwingine tunawalaumu Polisi baada ya kukiuka yale waliyo yakataza bila sababu,tumeruhusiwa kukusanyika na...
  3. M

    Maandamano ya Kesho tarehe 21/09/2013 yako palepale

    Jamani wazalendo wenzangu ni vema tukajadili hoja zenye kutuletea manufaa na maendeleo katika jamii yetu haswa wale wenzangu tusiokuwa na mwelekeo wa kimaisha,tusitumike vibaya na viongozi wachache ambao wanatuweka mbele wakati wao wako nyuma mwisho wa siku tunaishia gerezani na kusumbua familia...
  4. M

    Curtain box at cheap price

    Jamani mbona hatuko makini kwenye kuhabarishana haswa ktk masuala ya biashara?! Embu Elezea uko wapi kiofisi,toa mifano ya kazi zako na eleza zile ulizokwisha kuzifanya ikibidi twende tukazione kama hujawahi eleza hakuna jambo lisilokuwa na mwanzo!! Lakini kwa mtaji huuu!Tutabaki kulalamika...
  5. M

    Kampuni ya ajabu katika ujenzi

    Mzalendo nakupa pongezi kwa hatua uliyo fikia,ingawaje kwa jinsi ulivyo jitangaza/tuambia wanaJF kuna mapungufu fulani ya kitaalamu kama walivyo elezea/kosoa wana jamii wengine.Binafsi sijapenda walivyo kukosoa kwani ni kukatishana tamaa,hata siku nyingine ukashindwa kutoa hadharani kwa njia hii...
  6. M

    Solar lighting solutions in Tanzania

    Thats good,but i think its better to receve a quatation according to your customers and to advise accoringly,especialy to the system components.So from there you can be able to give the price to the customer needs.Thats my opinion if you have been doing like that,its good and wait for my order...
  7. M

    Is Age nothing but a Number?

    Jamani hili suala linaweza kuleta fikra/majibu tofauti kutokana na Mila/Desturi za mahali linapo jadiliwa,ktk mila za kiafrika sehemu kubwa mme anatakiwa awe na umri mkubwa kuliko mke,lkn ukichunguza mila za wenzetu wazungu hili halina nafasi sana na nafikiri ndio asili msemo huu wa...age is...
  8. M

    Natafuta daktari bingwa

    Kaka/Dada Pole sana ukweli nimejisikia vibaya na huzuni baada ya kusoma ishu yako,lkn nimepata faraja baada ya kugundua kuna uwezekano wa kupata nafuu/kupona ingawaje inataka Moyo!Hapo ndio nilipo mimi sina msaada wowote wa kitaalam ila NAKUSIHI kama wengine walivyo kushauri-chonde chonde...
  9. M

    Introduction

    Hello!to all members,naomba ushirikiano uendelee ili tuweze kuwavutia wengine kujiunga kama mlivyo nivutia mimi nikajiunga. Asanteni
Back
Top Bottom