Search results

  1. Mtumiabusara

    Mgombea Urais wa CHADEMA avunja sheria ya Uchaguzi, NEC yampa onyo

    Hivi ukilitembelea kundi fulani la jamii hutakiwi kuliomba kura? Simaanishi kundi la dhehebu la dini fulani, bali makundi mengine kama wanachuo nk
  2. Mtumiabusara

    TBC wamezima tusione Bunge

    Miswada lazima ipite
  3. Mtumiabusara

    Kwanini ndege hazina kioo cha pembeni (Side mirror)?

    Rubani anatumia camera kuona all sides of the plane
  4. Mtumiabusara

    Wananchi wafunga barabara Dar

    Jamani vipi bado imefungwa? Tupeane updates
  5. Mtumiabusara

    Zitto Kabwe ailipua Airtel bungeni dhidi ya TTCL

    Naomba nieleweshwe, airtel anawezaje kuwa mbia wa TTCL wakati na yeye anafanya biashara hiyo hiyo independently? Mbia gani anaweza kumsaidia mpinzani wake kibiashara afanikiwe?
  6. Mtumiabusara

    Toyota carina ti inauzwa

    Tano unachukua?
  7. Mtumiabusara

    Nauza gari toyota vista ipo vizuri sana

    Weka bei hadharani mkuu
  8. Mtumiabusara

    Suzuki inauzwa

    Nikupe 4m
  9. Mtumiabusara

    Toyota corolla E100, inauzwa

    Tayari, Teknolojia ya picha ilikuwa inasumbua kwenye haka kasimu kangu
  10. Mtumiabusara

    Toyota corolla E100, inauzwa

    Automatic
  11. Mtumiabusara

    Toyota corolla E100, inauzwa

    Cc 1330, ipo kwenye hali nzuri, bei 4m
  12. Mtumiabusara

    Taarifa ya TANESCO: Katizo la Umeme Ilala

    Walipe kodi zetu kwanza, wakishalipa tunanunua mitambo mipya
  13. Mtumiabusara

    Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    makamu wa Rais Zanzibar Anasema kura za katiba mpya zilichakachuliwa. Waliopiga kura za siri sita walipiga za hapana, Ukawa za zanzibar 65, kura za hapana za wazi saba, pamoja na ya mwanasheria mkuu 1, Makka haiwezekani kupelekewa karatasi ya kupiga kura!
  14. Mtumiabusara

    Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    Maalim Seif: Katiba ya Sita na Chenge mahala pake zanzibar ni kwenye pipa la takataka. Anasema koti la muungano lilovaliwa na Tanganyika Limeongezewa urefua
  15. Mtumiabusara

    Gharama za safari ya Mwigulu Nchemba kwenda USA kwa sherehe za Muungano, nani kalipa?

    Mwigulu alienda USA kama waziri au safari binafsi. Maana kama ni safari binafsi atakuwa aliji gharamia
  16. Mtumiabusara

    Live TBC: Hotuba ya rais Kikwete siku ya Mei Mosi kwa Taifa

    mfuko wa kulipa fidia watumishi wanaoumia kazini utaanzishwa mwaka huu
  17. Mtumiabusara

    Live TBC: Hotuba ya rais Kikwete siku ya Mei Mosi kwa Taifa

    ametangaza kima cha chini cha mshahara kitapanda, tusubiri bajeti itakayosomwa
  18. Mtumiabusara

    Live TBC: Hotuba ya rais Kikwete siku ya Mei Mosi kwa Taifa

    amesema mawakala wa ajira hawaruhusiwi kuajili na kukodisha wafanyakazi makampuni na waajili wengine
  19. Mtumiabusara

    Pinda akitimuliwa prof.Muhongo akalie kiti

    Tungempa dr. Magufuli hata miezi 6 tu awe PM, then arudishwe wizara ya miundo mbinu akaendelee na barabara zake
Back
Top Bottom