Search results

  1. Kiby

    Msaada: Nikituma code *#61# Kwenye simu yangu inaleta ujumbe huu

    Natuma code *#61# Kwenye simu yangu inaleta ujumbe huu[emoji116] Sidukuliwi kweli?
  2. Kiby

    Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

    Elimu nyingine ni mbigiri zina miiba mingi ya kutosha kukuchoma wakati wa kuzisoma.
  3. Kiby

    Bwawa la Mwalimu Nyerere lafikia MITA 185 ujazo, lajaa mpaka kikomo

    Ndio mipango ya kiafrika hiyo Ujenzi wa nyumba wanaanza na paa halafu kisha wanarudi kuchimba msingi.
  4. Kiby

    Steve Nyerere afanya tathmini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu, amsifia kwa kuondoa tatizo la umeme, reli ya kisasa

    Kama urais wa Tanzania umeshuka thamani kiasi hiki, simshauri mmoja wa ndugu zangu kugombea hapa nchini.
  5. Kiby

    Askari Polisi mstaafu, Saba Sita anafukuzana na kivuli cha mauti yake

    Kwanza tujiulize kwa wale wanaomfahamu katika utumishi wake jeshini alikuwa je. Mtu wa haki kwa kutenda mema au alitenda kama asiyefaa kwa husuda? Tuanzie hapo ili kumjadili kwa haki.
  6. Kiby

    Lissu kama kweli unataka kuwa Rais wa JMT achana na "cheap politics"

    Lakini kwanza unakubali kuwa Makonda alimtapeli GSM nyumba?
  7. Kiby

    Ukweli kuhusu Biblia

    Hebu wewe uliye naye semea manabii kama kina Abraham, Daud, Yakobo nk kuwa na mke zaidi ya mmoja hawakua naye? Hupaswi kujificha kwenye ujuzi usio na msingi uliojengwa juu yake . Fundisha ABC's za Mungu kupitia neno ambalo yeye ndilo hilo. Hiyo ndiyo shauku kwetu sote tunaopenda kujifunza.
  8. Kiby

    Ukweli kuhusu Biblia

    Umeongea mengi yalio na uhalisia ila hata hivyo kuna unayojichanganya. Mfano ndoa za mitaala Vipi kuhusu watu kama kina Daudi, Yakobo, Abraham nk hawakuwa manabii? Hawakuwa wakiongozwa na Roho mtakatifu? Ni wapi katika biblia palikataza mtu kuoa mke zaidi ya mmoja au kukemea hao kina Daudi kwa...
  9. Kiby

    Ukweli kuhusu Biblia

    https://www.facebook.com/share/v/BGG4cfarY7NKreGP/?mibextid=a6qBZl
  10. Kiby

    Ukweli kuhusu Biblia

    Duh et kanisa la Mungu limegeuka serikali juzijuzi? Ndio maana nilitahadharisha mapema hili sii lile kanisa la mitume wa Yesu bali dhehebu la kwanza kujitengeneza nje ya lele kanisa.
  11. Kiby

    Ukweli kuhusu Biblia

    Yaani usichojua ni kwamba vitabu vyote vilivyopo kwenye mkusanyiko kuanzia agano la kale hadi jipya hakuna mwandishi mrumi. Pili utakapokuwa utaacha utoto kwa kujua kuwa dhehebu la kwanza kujitengeneza nje ya kanisa ni Rc na kupelekea mauaji rasmi kuanza dhidi ya mitume na wanafunzi wa Yesu...
  12. Kiby

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Adamu aliumbwa kiumbe wa milele mwenye kumiliki ulimwengu zote mbili na kitawala. Ni nini asili ya matumizi ya damu kwa uzao wa adamu iwe ni ulimwengu wa nuru au wa giza? Haki ya kuishi ya mnyama yule anaepoteza uhai kwa ajili ya mwingine iko wapi maana uhai ni haki ya kila kiumbe?
  13. Kiby

    Azim Dewji: Lissu amuombe radhi Biteko; Matamshi wanayotoa wapinzani hayapaswi kuumiza watu wengine

    Nchi hii haina mnyaturu mhindi. Hiki ni kiwango kikubwa sana cha kutuona watanzania hatunazo. Huyu mhindi baada ya kutuibia kwa mda mrefu kwa usaidizi wa watawala sasa amevimbiwa anaanza kututoboa macho kwa kidole. Hawa watu ni wale wale Rostamu - Tabora Deuji - singida nk
  14. Kiby

    Kiongozi wa umma kumiliki vitu vya anasa huku kundi la unaowatawala wakipitia dhiki haijengi taswira nzuri

    Sasa kama kiongozi huoni aibu ya kuvaa saa mkononi ya Tsh 100+ mkononi katikati ya lindi la umasikini wa watu wako waliokosa fursa ya mlo mmoja tu kwa siku. Itakuwa mali za huyu kiongozi za uficho achilia mbali za wazi ni za matrilioni ya shilingi. Ni kiwango cha juu kabisa cha dalili ya mtu...
  15. Kiby

    Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

    Huyu fatuma karume ni mnafiki na mpuuzi anaefikia kiwango cha juu kabisa cha usaliti. Aliyekuwa akimjibu fatuma sii hata kiongozi wa ngazi yeyote huko chadema ila kwa sababu huyu bibi ameahidiwa ubunge wa viti maalumu na act ya zuberi ameamua kufanya kazi ya kipuuzi ya propaganda za 47 za ccm...
  16. Kiby

    Channel gani Azam wanaonesha tamthiliya ya Brothers?

    Thanks mkuu. Natulia hapa hapa.
  17. Kiby

    Channel gani Azam wanaonesha tamthiliya ya Brothers?

    Naomba wenye kuelewa ni chaneli ipi na mda gani kupitia king'amuzi cha Azamtv wanaonyesha tamthilia ya brothers( Cardo Dalisay) kwa tafsiri ya kiswahili?
  18. Kiby

    Iran warusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio.Saudi Arabia wafungua bar ya mwanzo ya ulevi na viwanja vya kujirusha.

    Mahujaji wa Iran sasa wakienda hija huko Saudia watakata kiu. Mambo ni 50/50.
  19. Kiby

    Waziri Bashe: Wenye mamlaka ya kuniita na kunihoji kwenye nchi hii wapo wanne tu

    Ukiona waziri yeyote anaepewa maagizo na makonda ni drama na usanii kuhadaa umma. Watakua washa fanya rehearsal pale jukwaani ni ku perform tu wakinufaika na ubumbuazi wa kiakili wa wengi wa watanzania.
Back
Top Bottom