Search results

  1. J

    Nissan dualis

    Msaada mwenye kujua ushuru wa hii gar tafadhali NISSAN DUALIS 2007 2000CC Maana haipo kwenye RSP calculator ya TRA Aliyewahi ileta au mwenye ndugu/ rafik TRA
  2. J

    Nahitaji Noah model ya zamani

    Nimeileta juz naisajili leo nitafute kwa 10 M, 0756_580335
  3. J

    TRA na imported CARS from SBT Japan

    Kuna taarifa kuwa TRA imeisitisha hii kampuni kuleta magari Tanzania!? Kuna yoyote aliyetoa gari bandarin. Wiki hii from any company?? Any truth, What is the problem??
  4. J

    Storage charges Bandarini

    Asante mkuu, cjakuolewa kdgo wengine hesabu zipo pembeni kwa formula hiyo, storage charges kwa cku 18 , TRA plus bandarin itakua USD ngap??
  5. J

    Storage charges Bandarini

    Ndugu waungwana ntashukuru nikijua jinsi ya kukokotoa storage charges ya bandari! mfano Noah ikikikaa mwez how much??
  6. J

    Importing cars above 8 yrs

    Eti wajameni ni kweli wabunge wanakomaa tusiingize gari nchini zenye umri zaidi ya miaka nane au watapiga ushuru maradusu ya huu uliokuwepo
  7. J

    Nissan Murano

    Ameniuliza Hilo swali nimeshindwa kumpa jibu, Is it a female car??
  8. J

    Nissan Murano

    Nimepata mteja anahitaji nimuagizie hiyo gari, wanao hifaham vizur wanijuze kuhusu ulaji wa mafuta na spare parts availability!!
  9. J

    Nahitaji kununua 3D movies- Dar es salaam

    Mlimani city, Samsung house
  10. J

    Unawajua BeForward Co. LTD Japan

    Mcheki huyu jamaa anaitwa JACOB 0754_267097 , AVALON BLD , NEAR AZAM MARINE POSTA, mwambie umepewa namba na DR JUMA, meli ukifika cku ya tatu au nne anatoa gar, keshanitolea c chini ya gar 50 within 4 yrs of my business
  11. J

    clearing & forwarding agents!

    Mtafute huyu jamaa anaitwa JACOB 0754_267097 AVALON BLD opposite na AZAM MARINE, POSTA, mwambie umepewa DR JUMA, cku tatu au nne meli ikifika anatoa gari. Hana longolongo, keshanitolea gar c chini ya 50
  12. J

    Body spray ipi ni bora zaidi kwa wanaume?

    NIVEA DRY IMPACT, for only 5000/ TSHS 36 hrs, unakua saaafi no jasho, no kwapa kunuka, try it utanambia!!
  13. J

    Xtrail inauzwa

    2004 model, 1998 CC, A/C, mileage 114000km,Navigation, radio. CD, very good condition, imettumika 1 yr in Tanzania, PRICE 10 M, serious buyers call me 0684_109192
  14. J

    NATAFUTA FUNDI CCTV Harakaaaaaa…….!

    Call this guy he is a specialist on CCTv. 0655668960
  15. J

    Msaada: Nataka kununua gari

    SBT walileta magar ili kutafuta wateja bongo na hatimaye kukosa wateja, SBT is the best company ever kama unahitaj gar unaagiza direct from Japan na si hayo, isitoshe mleta mada, aliomba ushaur na that was was My advice to him wala hatukariri wala kulumbana hapa Greater thinkers, he can take...
  16. J

    Msaada: Nataka kununua gari

    Mimi ni dealer wa magar 5 yrs now on it, apart from my professional sikushaur ununue kwa m2 na wala uc ende showroom, ingia SBT Japan the best company, check raum ya 2005, utainunua kwa 4.8M na ushuru 4.5 M, it's a good car for u
  17. J

    Toyota Raum 2004 KM 54000 Haijatumika Tanzania

    Umeongea point nzur tunaangalia ubora wa gar, huo mchezo wa kubadil Odometer bado upo mkuu, tembelea yard zaid ya 3 , ulizia mileage ya gar nzur kwa muonekano kwa nje zote mileage chini ya elfu 70, zote kutoka Japan, ukiingia web makampunI zaidi ya 7 , utakuta gar chache nzur with low mileage
  18. J

    Toyota Raum 2004 KM 54000 Haijatumika Tanzania

    Km54000, gari zote zikija bongo mileage ndogo, lakn kule zitokapo mileage ni kubwa lol
  19. J

    Mileage show rooms za bongo

    Ulishawahi fanya utafiti huu, used cars nyingi katika show rooms nyingi za bongo mileage less than 70,000km, but katka makampunI mengi toka Japan au England, mileage za magar ni above 70,000km unajua kwa nn??
  20. J

    NOAH at excellent condition (41000KM) only

    12M unapata Noah ya 2005 from SBT Japan plus ushuru & kodi, mwenyew utafarah network marketing, tuamke TZ
Back
Top Bottom