Search results

  1. B

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    jamani kulikoni tena huko tanzania mnamuachia na mnahukumu tena ?
  2. B

    Kinachoendelea SALENDER BRIDGE

    ...mimi nimoena manguzo yamepandikizwa sijajua ni nini kinachoendelea?
  3. B

    Kinachoendelea SALENDER BRIDGE

    kwani kuna nini? ebu tupe habari kidogo .wengi tuko mbali
  4. B

    Elections 2010 Je...utapeli ... DECI nalo Kombora la Dr. Slaa

    Wala sio DECI tu . JE KUFUKUZWA KWA WACHIMBAJI MADINI WADOGO WADOGO MIGODINI PIA NI KOMBORA KWA DR.SLAA.
  5. B

    Elections 2010 Je...utapeli ... DECI nalo Kombora la Dr. Slaa

    Hili swala la DECI halifichiki kabisa .kama kweli hakuna mkono wa serikali hapo kwanini pesa walizochukuwa hawajazirudisha. kama ndivyo Rais mbona hajawahi kutolea tamko ? Je hafahamu kwamba watu wa hali ya chini ndio walioumia? Nakubalia kabisa DECI ni kombora la Dr SLAA ili wananchi wapate...
  6. B

    Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

    lakini JK anayodini yake mbona aliweza kuingiza moja ya ilanii ya uchaguzi katika ccm yaani maakama ya kazi ili wajipatie wafuasi . Vipi hapo unasemaje. Je kuna mgombea asiye na dini ?. Na kama yupo ni nani?
  7. B

    Mpendazoe ni Mrithi wa Mrema?

    naona yuko kwenye kazi maalumu kwa manufaa ya nchi. Tumpe muda tuone.
  8. B

    Naomba msaada kutafsiriwa hizi dawa

    mzizimkavu hapo nimekupata sana kwa huo ufafanuzi .Wewe sio mzizi tu bali dawa pia. Sasa swali mbona hujasema kila dawa inatibu nini?kama kuna mtu anajua atupe hapo.
Back
Top Bottom