Search results

  1. B

    Tukumbushane: Hivi kwanini Nyerere alikataa J. S. Malecela asigombee urais kupitia CCM

    Nia ya John Malecela kutaka kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haikuwa kulisaidia taifa kama Mwalimu Nyerere. Angefanikiwa kuingia Ikulu, tungejuta sana. Kuna hata watu katika familia yake walio ona kuingia Ikulu ilikuwa ni "birth right" ya familia hiyo. Ndiyo maana kuna ambao hadi...
  2. B

    Pole Mzee John, tulikushauri upumzike ukagoma

    Bila shaka Field Marshall Es ana uchungu sana baada ya kuona kwamba Mzee John Samweli Malecela amebwagwa vibaya sana huko Mtera mwezi huu. Lakini hakuwa na haya au aibu hata kidogo wakati wa kura za maoni aliposema kwamba Mzee Malecela anaongoza katika kura hizo ingawa ni kijana Lusinde...
  3. B

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Pia someni katika thread nyingine hapa Jamii Forums, "Kawawa vs Sokoine: A Myth or Reality?," kuhusu Kambona. Katika mjadala huo, "Kawawa vs Sokoine: A Myth or Reality?," Mdau aliandika yafwatayo: "Na pia kuna wengine wanasema Mwalimu alikua anapenda sana watu waliokua na utaratibu wa...
  4. B

    Ujio wa CCJ: Yote unayotaka kujua

    Good analysis. Wangetaka kukitikisa Chama Cha Mapinduzi, if CCM can be shaken at all even by the defection of some its leading members, hao vigogo wangeishajiunga na CCJ tangu mwanzoni au baada ya siku chache bila kuchelewa. You need about 20 or 30 such leading members - it's just an arbitrary...
  5. B

    Mchapishaji wa Mwakikagile akiri...

    Nimekwenda tena huko kwenye blogu za Msumbiji kujionea zaidi na nimeona yafwatayo: A pedido do editor, publica-se o seguinte esclarecimento: We would like to add the following: The author, Godfrey Mwakikagile, cited the source he had available and identified it the way it was. It did not have...
  6. B

    Mchapishaji wa Mwakikagile akiri...

    Nimefwatilia suala hili bila kusema chochote mpaka sasa. Kama publisher alivyosema, the source was not properly cited, not that it was not cited at all. Nimeona pia posts za Wanamsumbiji waliosema hakukuwa na jina la mwandishi wao kwenye source hiyo. Lakini sasa litaongezwa kwenye edition...
  7. B

    Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    In defense of the Nyakyusa - Tanzanian people Walusako Mwalilino, "Monthly Review," January 1994 The debate between Mahmood Mamdani and Basil Davidson in the Monthly Review of July-August 1993, which was sparked by Davidson's new book on Africa, The Black Man's Burden, requires an important...
  8. B

    Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    Ikiwa hakukuwa na kabila la Kinyakyusa kabla ya enzi ya ukoloni, kwa nini kulikuwa na lugha ya Kinyakyusa kabla ya enzi hiyo? Lugha hiyo ilitoka wapi, na kwa nini watu wanaoitwa Wanyakyusa walikuwa wanaelewana katika lugha hiyo, ikiwa hakukuwa na kabila la Kinyakyusa kabla ya Wazungu kuja...
  9. B

    Exclusive: Mwaikagale plagiarized a Mozambican author?

    Jasusi, Ilikuwa ni baada au kabla ya Jenerali Ulimwengu kunyang'anywa uraia na Mkapa? Nakumbuka watu walipokuwa wanamcheka Ulimwengu kuhusu tatizo hilo la uraia. Hata ikiwa amegombana na viongozi wetu, na kuna ambao wanasema Jenerali Ulimwengu ana majivuno, hiyo kwelii ni sababu ya kusema...
  10. B

    Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    Wanyakyusa ni Wabantu. Asili yao ni West Africa kama Wabantu wengine. Wabantu wote walipitia Kongo kutoka Afrika Magharibi kabla ya kwenda mahali pengine East Africa na Southern Africa - not just South Africa. Wanyakyusa siyo Wanubi kutoka Sudan. Lugha yao ni ya Kibantu kama lugha zingine za...
  11. B

    Kikwete on WEF Panel (Video)

    Kwenye majadiliano hayo, Kikwete alikwepa hata kusema yeye ni economist. Alisema yeye ni mwanasiasa na hajui ikiwa anafaa awe ndiyo wa kwanza kujadili masuala yanayolihusu bara letu; badala ya kuongeza kusema kwamba ingawa yeye ni mwanasiasa, ni mwanasiasa ambaye pia alisomea uchumi. Lakini...
  12. B

    Kikwete on WEF Panel (Video)

    Hata Watanzania wengi waliosoma vyuoni nje ya nchi yetu, na ambao wanaishi katika nchi ambazo zinatumia Kiingereza kama lugha yao ya kwanza - UK, USA, Canada, Australia na nchi zingine - wanazungumza Kiingereza kibovu. Wengi wao hawamkaribii Kikwete. Wanachojaribu mara nyingi ni kuwaiga...
  13. B

    JF Search: Where is Godfrey Mwakikagile?

    Irizar, Unaweza kuwasiliana na Subira Nyerere Wandiba, au unamfahamu mtu yeyote anayeweza kuzungumza naye ili aone kama anaweza kuwaambia watu waliokuwa karibu sana na Mwalimu Nyerere kwamba ni jambo la muhimu kuanza kushirikiana sasa kuandika kitabu hicho? Kama ulivyosema, ni wazee sana siku...
  14. B

    JF Search: Where is Godfrey Mwakikagile?

    Wengine wanaoweza kuandika kitabu cha aina hiyo ni watoto wa Mwalimu Nyerere. Kuna watu ambao hawatakuwa na imani na kitabu hicho kwa sababu kitakuwa kimeandikwa na watoto wake kuhusu mzazi wao. But it's worth a try. Na watoto wa Mwalimu wanajua kitabu chao kitachambuliwa. Kwahiyo nina imani...
  15. B

    JF Search: Where is Godfrey Mwakikagile?

    Katika kitabu chake, "Nyerere and Africa: End of an Era," Godfrey Mwakikagile ameandika mengi kuhusu maisha ya Mwalimu Nyerere tangu alipokuwa kijana mdogo katika shule ya msingi Mwisenge. Lakini aliyoandika siyo biography kamilifu ya Mwalimu kwa sababu kitabu hicho hakihusu maisha ya Mwalimu...
  16. B

    Kwanini wazungu husaidia haraka kwenye majanga?

    Unalaumu ujamaa. Waulize jirani zetu Kenya na ubepari wao ikiwa wanasaidiana kuliko sisi.
  17. B

    Kawawa vs Sokoine: A Myth or Reality?

    Ebu nielimishe. Pia nisahihishe nikikosea. Unasema Kawawa alikuwa mnyenyekevu (bila shaka unamaanisha kwa Mwalimu Nyerere) kwa sababu ya elimu yake; nadhani unamaanisha elimu yake ilikuwa ni ndogo. Swali langu ni hili: Kambona alikuwa na elimu gani? Alimaliza masomo chuoni, katika chuo...
  18. B

    Oneni huyu mzungu anavyoichafua Tanzania.Hii ni email aliyomwandikia mwenzake

    Ganesh, Unasema hivyo Kwa sababu amekosea na kuandika "exuberant fees" badala ya "exorbitant fees"? Hapo ni kweli amekosea. Neno sahihi ni exorbitant. Lakini kumbuka kwamba Wazungu wengi ambao lugha yao ya kwanza ni Kiingereza hawajui Kiingereza vizuri. Ni kama Watanzania wengi - labda hata...
  19. B

    Oneni huyu mzungu anavyoichafua Tanzania.Hii ni email aliyomwandikia mwenzake

    Unamlaumu kwa sababu amesema ukweli? Unaishi wapi? Hata ikiwa huishi Tanzania, ujue Mwamerika huyo ameandika ukweli. Hata angekuwa Mwamerika mweusi, nisingemlaumu na kusema anawasaidia Wazungu kulichafua jina letu kwa sababu yeye ni mmoja wetu mwenye asili ya Kiafrika. Wala rushwa wako kila...
Back
Top Bottom