Search results

  1. S

    Naombeni msaada kwenye pc

    Compuemter inaishia katikat ninapoiwasha Yaan haidisplay any icon kwenye desktop natumia win7
  2. S

    Naombeni msaada kwenye pc

    Compuemter inaishia katikat ninapoiwasha
  3. S

    Software gani hutumika kuchorea ramani za majumba

    Jaman naombeni msaada software ambayo ni free naweza kudownload kwa ajili ya kuchora ramani za nyumba
  4. S

    Format gani hizi

    hey mambo wadau, nimedownload tutorials kwa kutumia You tube downloader ila cjui kwanini hizi tutorials zimegoma kuplay, nimehisi llabda ni format, bt je ni player gani inaeza kuplay hizi tutorials naombeni msaada wadau,
  5. S

    msaada kudownload drivers za sauti machine ni kwa kutumia serial namba za machine

    wadau ninawezaje kudownload drivers za sauti machie ni compaq kwa kutumia serial namba, au kama kuna njia nyingine yeyote ya kudownload drivers naombeni msaada wadau
  6. S

    Cpu 4 sale!

    hellow ni aina gani uko wapi, my number is 0769401510 naitaj sana iyo kitu aisee
  7. S

    mfumo wa analog to digital

    izo decoda ni zipi mkuu, je receiver za kawaida kama vile Mediacom zitaathirika?
  8. S

    Dishes settings

    ni v2 gani ivo mkuu, nimeshaunganisha rcva zote, so how can i set rcve ya pili? au unamanisha sat, frequency na setting nyinginezo?
  9. S

    Dishes settings

    wakuu naombeni msaada nawezaje kuseti receiver kwenye dish ambalo lishakuwa installed tayari, i mean nataka kuongeza receiver ya pili kwenye dish lenye receiver nyingine tayari?
  10. S

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Amani kweli Tanzania hakuna, askari hawana utu, hatimaye Tanzania haina tofauti na Rwanda n Burundi, askari wanafanya ujinga
  11. S

    Elections 2010 Wabunge wa upinzani wamuunge mkono mama anne kilango, kinana tume umia watanzania!

    umekosea ndugu 'ccm ni Chama cha ku Chakachua Matokeo'
  12. S

    Elections 2010 MSHANGAO: Kura za CCM zimetoka wapi?

    nakuunga mkono ndugu yangu uliyetangulia. tuombe Mungu wapatikane wabunge wengi toka upinzani ili washirikiane kuandaa mazingira mazuri 2015. dat will be the death of ccm
  13. S

    Ujumbe wa mapenzi - love message

    Wadau nimeshikwa na binti m1 wa kimbulu. Ananitesa kishenzi nampenda cwezi kueleza tatizo ni kwamba hataki kueleza ukweli kama ana mwingine.mara kadhaa amekua akinikatia cmu akidai kwamba kwao wanamkataza kuwa na cmu. Mbaya zaid ninapokua nae hayupo huru kunieleza ukweli kama ana mtu mwingine...
  14. S

    Je unahitaji Digital camera,touch phone au laptop kutoka EU MARKET?

    Kwa heshima na taadhima naomba kukaribishwa katika ukumbi huu, nimevutiwa sana na jamii forum na nategemea kujua meng kupitia hapa aksanten :p
Back
Top Bottom