Search results

  1. C

    Ugomvi na ushoga usiwe kigezo cha watoto kukosa mchele wenye virutubisho, tutaonekana majuha

    Kwani hawa wamarekani wamekurupuka tu na kutoa msaada bila ya makubaliano na serikali yetu?
  2. C

    Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

    Which is less than 16k per day :(
  3. C

    Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

    Wee utakuwa mkenya. Wanapenda kusema Walahi .
  4. C

    Halafu mtu anasema ni wezi, ona madude hayo

    Tafadhali tueleze huo uhalisia.
  5. C

    Faida ya kupata mpenzi mtandaoni

    Wamitandaoni ni hao hao wa mitaani. Wengine wanadumu na wengine hawadumu.
  6. C

    Bandari ya Dar es Salaam ibadilishwe jina iitwe Bandari ya Samia

    Halafu tubadilishe katiba awe rais milele
  7. C

    Namna ya kupunguza msongamano wa Maroli yanayokuja ndani ya mji kushusha mzigo kwenye ICD

    Kwala containers' terminal inaanza lini? Ndio ilikuwa suluhisho.
  8. C

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Unaweza pitia hii online show yao. Jamaa anajiita comrade flavour na ana episodes nyingi tu. Warning: its kinda addictive:) jitayarishe na bando. Waanzishe na hapa Tz. https://m.youtube.com/watch?v=JwJ-8oj9xao#searching
  9. C

    Video: Dereva wa Lori akutwa amekufa kwenye cabin ya gari huko Mukambo

    Nilichofanya ni kujaribu kueleza Mukambo ipo wapi na si uniform, plate number au lugha. Mokambo is a town on the Congo Pedicle road in the Democratic Republic of the Congo, on the border with Zambia. As of 2012, it had an estimated population of 23,663. Wikipedia
  10. C

    Video: Dereva wa Lori akutwa amekufa kwenye cabin ya gari huko Mukambo

    Nime Google ni mpakani mwa DRC na Zambia upande wa DRC
  11. C

    e-GA inahujumiwa

    Ok substitute akili weka uwezo swali lipo pale pale.
Back
Top Bottom