Search results

  1. B

    Mwamsiku, Wajinga ndio waliwao. (Deni la CHADEMA la P. A Mbeya)

    Sililiza bwana mdogo Mtela. Kwa sasa uko CCM fanya kazi ya CCM. Acha Chadema waendelee na utaratibu wao, weye haukuhusu. Siye kwetu MTELA ina maana ya MWIKO wa kusogea ugali. Hali iliyopo na ambayo weye huijui ni kwamba kwa sasa CCM imeshakugeuza weye kuwa MWIKO(MTELA) wa kufanyia mambo yake...
  2. B

    Nape: Mlipuko wa bomu la Arusha yawezekana ulipangwa na CHADEMA wenyewe

    Kila mmoja angeona pointi kwa Nape kama angetuhakikishia kwamba CDM iliwatelekeza na CCM ndio wakawahudumia. Lakini mtu mzima na akili zake anasema naipongeza Serikali, hivi huyu anajua nini kazi ya serikali?. Hili ndio tatizo la viongozi wa kuteuliwa, daiama ni kumpendezesha bwana mkubwa. hapo...
  3. B

    Mwigulu na tuhuma dhidi ya CHADEMA

    Ni kweli hata mimi nimemuona jana akiituhumu chadema kwa kupanga mauaji. Hivi kwa nini mkanda huo asipeleke polisi ili wachuke hatua. Huyu anatuhuma zifuatazo: 1. Alikuwa mtumishi BOT wakati wizi wa EPA unafanyika hivyo lazima atafute kila namna ya kuinyamzisha CDM 2. Huyu ni FUSKA wa kutupwa...
  4. B

    Zitto, Habibu Mchange hana sifa za Kukunadi

    Who is Habibu Mchange, huyu ana ajenda za udini na ubinafsi tu. Zito bila Chadema si lolote wala chochote, kama wanabisha aondoke waone kama CDM itayumba. Mbona Mzee Nyimbo amesepa na kujimaliza mwenyewe.
  5. B

    PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

    Uongozi wa Chadema uangalie jinsi ya kuwasomesha watoto wa marehemu Mwangosi. Mwangozi amekuwa mhanga wa wapigania haki na maendeleo ya nchi hii.
  6. B

    PICHA: Ufunguzi wa tawi la CCM DC wafunika bovu

    kuna picha moja kanaonekana kamisi kameshikana mikono na Kinana, hako ndo ilikuwa chakula ya muzee.
  7. B

    Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    Kilichofanyika ni kuongeza idadi ya vyama na si kupata chama bora. Kama miongoni mwa vyama vilivyopo hawakuona cha kuwafaa unategemea wao wanakuja na jipya gani.
  8. B

    Wito: Tujiondoe CHADEMA

    du. hizi ni pumba zingine. Badala ya kushauri wafuasi wapate kadi weye unashauri wajitoe.
  9. B

    Unataka kuijua CHADEMA? Angalia hapa

    Huu nao ni ujinga usio na kikomo. Mwanzilishi wa hoja hii jiulize sasa tuko kwenye mfumo gani wa maisha. Je hiyo CCM yako inatutawala kwa mfumo upi? Kila mmoja sasa anahangaika na maisha yake na watoto wake je huo ni ujamaa?. Suala sio mfumo bali ni jinsi gani mfumo husika unavyotenda haki kwa...
  10. B

    Siri nzito yafichuka CHADEMA

    sasa kuna siri gani hapo, waandishi wengine bwana. Bullshit!
  11. B

    Tohara na UKIMWI

    Hii ni kuwafahamaisha wadau wa JF kwamba leo hii imeanza kampeni ya kuwafanyia tohara wanaume. Nimembiwa hii ni kwa wanaume wote wenye miaka kati ya 10 na 67. Wenye tisheti zao zimeandikwa MENYA GANDA. Hapa nipo kwenye hospitali teule ya wilaya Mbeya vijijini, eneo la Ifisi karibu na mji mdogo...
  12. B

    Sala Ya Kuiombea Chupi ya Mume Wako Baada ya Kuifua Kwa Kina Dada au Kina Mama Walioolewa Tu!

    Ah! weye unashangaza sana. Yaani kuna mijibaba bado inasubiri kufuliwa chupi na wake zao. Huo ni uzembe kweli, chupi ya kwako bado unataka nkeo akufulie. Huko ni kujidekeza kulikopita kiasi. Kama ni hayo basi tumwagie na sala ya wananume kuwafulua sidiria wake zao, ili nao wakuatane na matone ya...
  13. B

    Ziara ya dr. Bilal (Mbeya) yadoda

    Hiyo ni Mbeya ya wapi, kama si vijijini ambako waliofika wameenda kushangaa sura tu ya babu huyo. Mimi niko Mbeya, wala hakuna hata vuguvugu kwamba kiongozi mkubwa wa HADHI YAKE kuwapo hapa jijini. Hakuna lolote ni wo wo wo tu.
  14. B

    Je, sukari imeshuka bei? Kama mimi ningekuwa Rais ningesema hivi....

    Wakati wa hotuba yake mwishoni mwa mwezi wa pili Rais alieleza mtizamo wake juu ya kupanda vitu bei. Nasema ulikuwa ni mtizamo wake kwa sababu aliyosema hadi sasa hayajatekelezwa. Hebu tuangalie aliyosema kuhusu bei ya sukari. Rais alionesha kutoridhishwa na bei ya sukari kwani iko juu mno. Kwa...
  15. B

    Prof. Maji Marefu Bungeni aonya waganga wa jadi kutodharauliwa

    Ulitarajia sangoma aongelee nini zaidi ya maruhani na majini ya masangoma wenzake. Hiyo ndo faida ya kupeleka waganga jadi bungeni. Na hiyo ni maendeleeeeeeeeeeo.
  16. B

    Mubarak ana utajiri gani?

    Mubarak awe na feza kidogo au lukuki haikusaidii kitu. Lete hoja za mafisadi nchi hii tujadili.
  17. B

    Serikali na Bunge Geu: Kubadili kanuni na sheria kwa hila

    Ndugu zangu wana JF, yaelekea tunashangaa sana yaliyojiri bungeni jana. Kwa wana demokrasia yameamsha hasira tena, lakini ndio hali ya nchi hii. Hebu tujikumbushe: 1. Ili kukwepa Mrema Lyatonga asigombee Urais kupitia CCM mwaka 1995, CCM iliweka vigezo kwa mgombea wao kuwa na digrii moja...
  18. B

    Big Dady birth day

    Nawasalimia sana bandugu wote wa JF. Napenda kuwajulisha kwamba leo ni birth day yangu, nikitimiza miaka 48. Namshukuru Mungu kwa yote, iwe kwa mafanikio au kwa kutofanikiwa kwani yeye ndiye mwingi wa rehema. Kibinadamu tunawaza na kupanga lakini mtekezaji ni Mungu pekee.Umri unaenda, majukumu...
  19. B

    Uteuzi wa Kadhi Mkuu kuthibitishwa na Raisi wa Serikali ya Muungano

    Hii mada moto kweli, nimeipenda narudi tena kuchangia. Sielewi kwa nini majahidina wanachangaya suala la Kadhi na Vatican, jamani haya ni mabo tofauti kabisa. Vatican ni stae inayotambulika na dunia nzima kwamba inajitawala na kujiendeshea mambo yake, ipo ndani ya nchi ya Italia na hilo si hoja...
  20. B

    Uteuzi wa Kadhi Mkuu kuthibitishwa na Raisi wa Serikali ya Muungano

    Mtego wa noti unasema hiyo fedha si nyingi maana nayelipwa ni mtu mmoja, unakosea sana. Sikia, Kadhi ndio muhimili wa mahakama ya kiisslamu, yaani ni sawa na kumteua jaji mkuu, unadhani atafanya kazi bila wasaidizi. Ajenda ya sasa ni kuidhinidha mfumo wa mahakama ya kiislamu tanzania...
Back
Top Bottom