Search results

  1. M

    CIA's Records of Tanzania Government

    are they updating their website regularly
  2. M

    Nataka kuingia kinyang'anyiro cha Ubunge jimbo la Kwela, nipeni data!

    Ex- Fisadi na wachangiaji wengine Kwangu, naona mawazo yenu, ni mazuri mno. Nilitarajia kwamba nitapata changamoto ya kutosha kwenu. Ninathamini mawazo yenu yote. Hata hivyo special thanks to Ex-Fisadi, ninahitaji comments zitakazo nipatia changamoto kama za huyu ndugu. Comments za kina...
  3. M

    Nataka kuingia kinyang'anyiro cha Ubunge jimbo la Kwela, nipeni data!

    Ndg zangu wana JF, ninaishi Mwanza, na ni mzaliwa wa mkoa wa Rukwa. Nimesoma thread inayohusu Mrema na Kimaro kule Vunjo; malumbano yao yameibua kitu ndani mwangu, kile nilichokuwa nikikitamani miaka mingi, yaani ukombozi wa jimbo la Kwela. Nimeguswa na kuelewa kwamba siyo tu vunjo inayokaliwa...
  4. M

    Matatizo ya wabunge wa kuteuliwa!

    NI MTAZAMO WANGU TU!!!!!. Mtazame Kingunge: Wa kuteuliwa na Mh Rais!!! Mtazame Simba: Wa kuteuliwa na Rais! Au siyo? Kama analo jimbo mnijuvye! Tazama michango ya busara zao hewani! Hapo Mhhhhh. Sisemi wote wa kuteuliwa ni wabovu, lakini tujaribu kutathimini juu ya wabunge wa jinsi hii...
  5. M

    Vipi kuhusu dawa ya wanasiasa wanaokalia majimbo kwa miaka nenda rudi?

    Mh Mbunge anapokalia jimbo kwa zaidi ya miaka 30, halafu hakuna lolote la maana alilolifanya! Je! kuna yeyote anaweza kunisaidia kuelewa kama chama tawala kina utaratibu wa kupima utendaji kazi wa Wabunge wake katika ngazi ya jimbo? Je! kuna namna yoyote ambayo mwananchi anaweza kumwajibisha...
  6. M

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Quote" 90% of bad leaders are selected by good citizens who does not vote". Tuyaonapo haya ya akina Simba tufahamu kwamba watu wengi wenye ufahamu mzuri hawajitokezi kuwakanya kufikia hatua ya kupewa nafasi nyeti kama hii aliyo nayo. Abraham Linoln alifika mahali akatamka maneno haya:" If you...
Back
Top Bottom