Search results

  1. GeoMex

    Mwanza: Kimenuka, Polisi Wavamia nyumbani kwa Mfalme Zumaridi

    Polisi walienda kutekeleza hati ya ukamataji ya mahakama. Kuna mmama hapo kaenda na mtoto mdogo wa kike anaishi humo hafanyi shughuli yoyote wanatumikishwa tu na mfalme. Mume kaenda mahakamani kuomba talaka na custody ya mtoto ila huyo mke amegoma hatambui mahakama. Ndo Polisi walimfuata...
  2. GeoMex

    Picture remake(Wakati huo na sasa)

    2005 Kevin Berthia alienda kwenye Daraja la Golden Gate kukatisha maisha yake. Alimkuta Afisa Kevin lindo, Aliishia kuongea nae kuhusu maisha yake. Miaka 10 baadaye wamekutana kwenye daraja lile lile katika hali nzuri.
  3. GeoMex

    Picture remake(Wakati huo na sasa)

    Nimetelekeza huu uzi Nisameheni majukumu yalibana kiasi wacha niufufue kidogo kabla sijaenda porini tena
  4. GeoMex

    Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

    Hata benki wanakuteka wanakwambia kazitoe kwan yule mzee waliyemuwekea meno ya simba shambani moshi ilikuwaje
  5. GeoMex

    Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

    Halafu watu wengi wanapiga hesabu rahisi kwamba ukigawanya kwa 7 inakuja mil4.8 hivi wanashau hiyo chain hawako 7 tu. Kuna ambao wamepenya chekeche(washirika wengine) wanaolamba vimilion au laki5 hivi kwahiyo inapungua Hao watendaji wenyewe pengine walikua na Mil 2 tu kila mmoja
  6. GeoMex

    Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

    Yaani nilipoona hadi mkuu wa Intelejensia yuko nyavuni kw eligible kisu kimekuta mfupa Hawa ndo "monitors" kwa mambo ya ndani ya jeshi na ndio huwa wanasaidia watu pale "mpelelezi anapotembea na ushahidi mfukoni"
  7. GeoMex

    Makonda ameipigia Saluti maiti ya Hayati Magufuli bila sare kama nani?

    Hakuna saluti hapo. Tuseme Kaweka limkono tu
  8. GeoMex

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Hahaha kwakweli Nikiona huu uhuni wa TFF kwa sasa wala sishangai
  9. GeoMex

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Mkuu wa Historia asante sana. Nitarudi Historia mujarabu kabisa
  10. GeoMex

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Nashukuru kama umenotice hilo. Kuna mahali tulipiga mark time
  11. GeoMex

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Watu wengi taarifa zao zimesahaulika Nitaandaa uzi /makala ya picha ya forgotten heroes na nitauweka hapa muda ukiniruhusu. Nitamuongelea pia
  12. GeoMex

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Tatizo ni kwamba "TULIKUA".....past tense
  13. GeoMex

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Kiboko ya wote Ndolanga. Alihamishia namba ya Fax (Telefax vijana sijui kama wanazijua) nyumbani kwake mpaka hausigelo akawa anajibu Fax za CAF😂😂
  14. GeoMex

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Aiseee Imetrend kumbe wamemkumbuka??? NJE YA MADA Embu anayejua aniambie kuhusu Aina Maheda huyu mdada bibi mrembo wa wakati huo ilikuaje kuhusu maisha yake na sasa yuko wapi?
  15. GeoMex

    Ukiona mtaani Gari zimeandikwa katika Plate Number kama ifuatavyo usiumize kichwa

    Mkuu wa wilaya anatumia ST(STK....STJ...STL nk) sana sana wengine wanatumiaga (wnaazima???) Za miradi DFP.....hata kipindi fulani nimemuona Mkuu wa Mkoa wa Dodoma muda mrefu anatumia DFPA mara nyingi huwa wanafanya hivyo kama ile yakwake inashida
  16. GeoMex

    Ripoti aliyoiwasilisha shahidi Cpl. Hafidh ilitakiwa kuwasilishwa na Ofisi ya DCI

    Na mimi ndo nnavyoelewa hivo pia nadhani mtoa mada hakulijua hilo Mara nyingi tu nawaona madaktari (wa hospitali za wilaya) wakipanda kizimbani kuelezea ripoti zao haswa kesi za mauaji (Post mortem report /Autopsy report) Na zile za ubakaji Ambazo huwa wanaombwa Na Polisi kufanya uchunguzi...
  17. GeoMex

    TUNDURU: Rubani aliyeruka na ndege Oktoba 18, 2021 hajaonekana mpaka sasa

    Songea. Rubani Samwel Gibuyu aliyekuwa akirusha ndege aina ya BatHawk yenye numba za usajili 5H-WXO inayomilikiwa na Shirika lisilo la kiserikali (Ngo) ya Protectors Area Management Solution Foundation (PAMS Foundation) anadaiwa kupotea kwa muda wa siku 11. Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Wilaya...
Back
Top Bottom