Search results

  1. N

    Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Katika kitu kikubwa sana ambacho huyu mzee amekiacha na alikifanya ni hali ya unyenyekevu mkubwa sana . Kwa wale wasiojua kama utulivu wa Mwinyi kati ya 1985 na 1990 nchi hii ingeingia kwenye mambo magumu. Baba wa taifa akiwa Mwenyekiti wa Chama so raisi anafanya maamuzi yanaweza kupigwa...
  2. N

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Uli kuuita hii ni subsidiary lazima kampuni iwe inamiliki share zaidi ya 50. So kama ikiwa na share zaidi ya hizo inakuwa subsidary iwe inamiiliki 100% au zaidi ya 50%. naamini nimeeleweka. Na ikiwa inamiliki chini ya asilimia 50% inaitwa kampuni zenye mahusiano ( Affiliated).
  3. N

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Mwaka mwingine tena na mfumo mpya wa kukusanya mapato unaoitwa Taxpayer portal. Mambo yanaendela kuwa mazuri kwahiyo ni kwa misingi ya kukusanya taarifa sahihi kwajili ya kulipia Kodi.
  4. N

    TANZIA Mwalimu Mbao (Ex Headmaster wa Songea Boys. Iyunga, Mkwawa nk) afariki dunia

    Yaani watu hawa wa Songea boys, Mkwawa, Iyunga . Samfelis hatuna taarifa msiba uo wapi uliyeleta uzi huu tafadhali tupe taarifa msiba ulipo na mpango wa mazishi tafadahli
  5. N

    TANZIA Mwalimu Mbao (Ex Headmaster wa Songea Boys. Iyunga, Mkwawa nk) afariki dunia

    Mwenye ratiba ya shughuli nzima ya mazishi kwa huyu mheshimiwa ashee. Au ulipo msiba tafdhali atujuze
  6. N

    Kwanini binary option unaweza kuiongeza katika moja ya channel ya kipato

    Kuana broker wawili ninaowapenda ila huyu hapa ndio sasa yuko kwenye chart Click hapa upate $10,000 za demo ukiona uko vyema zaidi endelea kufungua live trading account kwa kubovya hapa na ukpenda kutumia kwenye simu BONYEZA HAPA
  7. N

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Nilikushauri utumie njia ya maswali ndio unaweza kupata suluhisho kwa sasa
  8. N

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Ha inabidi uanzie hapa kwanza kwa kutumia Question ukiienda hiyo ya NIN moja kwa moja hupati hiyo otp then ndio utaenda na hiyo NIN kwenye taaratibu zinazofuata watakuliza maswali ambayo wewe tu unaweza kutoa majibu yake
  9. N

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Ndio unakubali ukikishinda kwa number tumia ile ya kujibu maswali ndio umekuwa unafanya kazi. kam kuna specific tatizo nione inbox nitakusaidia zaidi. Ila kwenye kuingia au kusajili hapo ndio kwenye issue
  10. N

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Kwa sasa baada ya TRA kuwa na mfumo mpya www.taxpayerportal.co.tz na tunapoelekea mwisho wa mwaka ni muhimu kuzingatia yafuatayo. Kama uko VAT registered returns zako zinafana na kwenye mashine yako na ingawa manunuzi yanachukuliwa moja kwa moja ni muhimu kuangalia kama hayo ndio matumizi...
  11. N

    Nisaidieni kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online iitwao tausi portal

    System imekuwa na issue toka juzi tarehe 17 April 2023 mida ya saa tano na nusu mchana mpaka sasa tarehe 19 2023 bado ni changamoto na wenye system hawasemi chochote ikienda manispaa unapew majibu kuwa mtandao uko down. Nafikiri ni muda muafaka sasa waseme jambo au watoe njia mbadala ya...
  12. N

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Kuna mabadiliko makuu mawili makubwa ambayo yametokea kwa sasa hasa kuanzia mwezi wa pili 2023. 1. Ni kuwa leseni zote za biashara za daraja B nazo zitakuwa zinapatikana online kwenye website https://tausi.tamisemi.go.tz/ 2. Tra wameboresha mfumo na kuwa mambo mengi sasa ya kikodi yanaweza...
  13. N

    Kwanini binary option unaweza kuiongeza katika moja ya channel ya kipato

    Kwa habari hii tuko karibu sana kuanza matumizi sasa jipe maarifa zaidi kuhusu hili jambo
  14. N

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Kwa ufupi pia fahamu kodi zilizoko kwenye nchi yetu pendwa Tanzania
  15. N

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Tukiwa tena tunaanza mwaka kwa biashara zetu mipango yako iendane vilevile na jinsi gani utakavyolipa kodi. Kitu ambacho watu wengi huwa wanakisahau ni kitu kinachoitwa Tax plan, Tafuta wataalamu wakushauri namna nzuri ya kukabiliana na taratibu na mipango ya kikodi. Kwa wale ambao...
  16. N

    Kwanini binary option unaweza kuiongeza katika moja ya channel ya kipato

    Hapo umechanganya instruments tofauti yaani products Forex na bitcoin ni bidhaa wakati Deriv ni broker yaani kampuni inayokuwezresha kufanya miamala.
  17. N

    Kwanini binary option unaweza kuiongeza katika moja ya channel ya kipato

    Haw nilishawatumia ila kwa sasa naona DERIV ni kiboko yao click hapa ujiunge demo na kama unataka kujifunza mambo mengine tembelea hapa
Back
Top Bottom