Search results

  1. M

    Mtihani wa mwisho kwa mbwa wa polisi

    Very impressive
  2. M

    Mwanafunzi wa Chuo afariki katika mazingira tata!

    Very bright you are mkuu. Mlolongo wa pf3 ndio umemuua huyo binti innocent. Kunahitajika bunge kurekebisha sheria au kusaidia kurekebisha utaratibu huu. Yaani mgonjwa anazidiwa watu wanawaza pf3!! This is sh.it.
  3. M

    CLOUDS Fm, Mmezidisha matangazo mpaka mnaboa sasa!!!

    Poleni kwa kuwa hadi leo mnasikiliza clouds fm. Wengine tulishasahau hadi frequency yake.
  4. M

    Niulize kwa nini wasomi ni moja kati ya kundi lisilo na mafanikio kiuchumi

    Nafikiri aliyeleta thread hajaenda shule kabisa na ana wivu na watu waliosoma. Ajue kuwa wasomi dunioni kote ndio huongoza kwa kuwa na stable and sustainable income and thus life. Mleta mada jifunze kuwa biashara si hii tu unayojua ya kufanya uchuuzi, yani, buy and sell. Unaposoma ukaajiriwa...
  5. M

    Tatizo la msongamano mizani kuisha

    Kama ni hivo itakuwa poa
  6. M

    Tatizo la msongamano mizani kuisha

    siku hiyo barabara ikipanuliwa ikawa two lanes each side, je huo mzani utabomolewa tena!!!? kwa nini wasingeujenga mbali kidogo ili kuepusha gharama za kuhamisha hamisha wakati wa upanuzi wa hiyo barabara ambao tunasikia uko kwenye mipango ya fast lane to chalinze.
  7. M

    Mabasi ya kichina ni kero kwa wasafiri

    Yutong na zhongtong ni nzuri kwa watu wafupi kama wachina sababu ya seats. Siye warefu tutabaki na marcopolo tu.
  8. M

    Napinga ujengaji flyover Dar

    Very poor thinking
  9. M

    Hatimaye foleni Yatokomezwa kabisa Ubungo mataa

    Huo ni uongo, foleni ipo ubungo kama kawaida na itaweza kuongezeka zaidi. Mara nyingi Dar jumapili kunakuwa hakuna foleni kubwa kulinganisha na siku zingine. Ni mpaka pale hao ccm wanaojifanya wanaakili watakapopata kujua kutumia maoni ya wataalam ndo foleni itapungua.
  10. M

    Bungeni Dodoma: Majumuisho/ hitimisho la hotuba ya bajeti ya serikali

    Dawa ya wabunge walioko bungeni kutafuta mshahara ni kura ya wazi tu, hongera ccm kwa akili hii, ccm wote lazima waseme ndiyooo
  11. M

    JK awasili Malabo, Guinea ya Ikweta

    Kama wapambe wa jk hawajajenga na kununua mipira ya kifahari, basi hiyo bahati haitawarudia kamwe.
  12. M

    Msaada kuhusu bajeti

    Kuna haja gani ya kuijadili bajeti na kutumia fedha kwa takribani wiki mbili wakati wabunge hawana ubavu wa kuikataa hiyo bajeti? je katiba mpya ime address hili tatizo?
  13. M

    Ipe jina hii bendi

    awesome!!!!!!!!!!!!!
  14. M

    Taarifa kwa Umma kuhusu upotoshwaji wa ugonjwa wa homa ya Dengue

    Sasa wakipulizia dawa mbu wote wafe wazungu wao watauza dawa za malaria wapi? wenzio wapo kimaslahi zaidi. Ndo maana wako tayari kupambana na malaria kwa kuleta dawa za kunywa na sio dawa za kuua mazalia ya mbu nchini. Wewe unaona vituo vya utafiti wa afya ni vingi na vyote vinapewa pesa na hao...
  15. M

    Clouds TV acheni kuwadhalilisha bibi, mama zetu!

    Hivi kumbe hizo clouds tv na redio bado zinasikilizwa/kutazamwa!!!!!!!! Poleni kwa yaliyowakuta kwa kutizama hizo media
  16. M

    Take care

    Njia kuu yako ndio michepuko ya wenzio, take care
  17. M

    Hatimaye vijana wa vyuo vikuu wafunguka

    Nanyi mnawasikilizaje hao watoto wadogo wa vyuo vya dotcom!!!! Wakishapewa baadhi vihela vya kuhongea videmu vyao na kunywea bia wanachanganyikiwa na kuropoka. Kama wanahisi wana akili basi wauleze umma kitaalamu kwanini wanataka serikali mbili.
Back
Top Bottom