Search results

  1. sukhote4000

    NHIF vipi?

    Jamani hawa NHIF wameanza lini kuita oral? mi kwa experience yangu ya zaidi ya miaka mitatu ya interview zao za written huwa hazina oral ni direct unaitwa kufanya kazi baada ya written,kinachosubiriwa kwa sasa ni simu za kuitwa kazini tuu na hakuna hiyo budget ya oral.
  2. sukhote4000

    BOT waanza kuita interview

    jamani hawa jamaa wamestop kuita au vipi?,kuna yeyote aliyepigiwa nafasi ya risk analysy II???? tujuzeni kama tumechinjiwa baharini au laa
  3. sukhote4000

    Waraka wa Pandu Kificho wazua kizaazaa Dodoma. Wawakilishi wa CCM Z'bar wagawanyika

    Mbona mnapata tabu sana na hawa wababaishaj wachache waloozoea kula vya bure na wazandiki wakubwa ,hawa wote ni kambi ya yule rais aliyepita aliyekuwa mbabe aliyeigawanya Zanzibar kwa itikadi ya upemba na uunguja na akaifilisi nchi na hatimae mungu kamlipa hapa hapa duniani,hawa tangu mwanzo...
  4. sukhote4000

    STAMICO - Salary Scale SMC 5.

    wewe kama umepata kazi nenda kafanye acha kujishauri infact salary scale hiyo hi sawa na 1670,000/= confirmed in one of their current contract given to one of the new employee but engineer so cjui kwa category nyengine
  5. sukhote4000

    Unaweza Lipwa Mshahara Wa sh/ Mil 1.5 Serekalini?

    hizo figure mnaongelea net au basic like hizo tiss, tmaa nk
  6. sukhote4000

    Ni TPDC kampuni au TPDC University?

    hawana lolote hao eti upper second na first!! ,wao na wake zao wanazo mbona wamejazana hapo TPDC
  7. sukhote4000

    Usaili wa NHIF

    of cause hawa jamaa watatema mda si mrefu ila hawa jamaa huwa wanaita karibu kila mtu aliyetuma application mnafanya writen interview then ndo imetoka hakuna oral wanachauguana wanavyopenda mi siamini kama haki ya kweli inafanyika haiwezekani maelfu ya watu tufanye paper lazma watu wengi...
  8. sukhote4000

    Calli for Interview stamico

    mpaka sasa bado hopfully kuanzia next week hivi kuwa na subra kijana mambo yako yatakuwa super tuu huu mwaka wako
  9. sukhote4000

    Usaili wa NHIF

    mmh haya tuone
  10. sukhote4000

    STAMICO wameanza kuita watu kazini

    labda ana uhakika keshaahidiwa huyoooo
  11. sukhote4000

    Nina PhD natafuta kazi

    kaka usikate tamaa mungu atafungua njia fuata ushauri wa hapo juu usisubiri tangazo la kazi tembelea katika hivyo vyuo onana na wahusika nna imani watakuconsider,mi pia nna ndugu yangu alikuwa kama wewe alienda physically kwenye vyuo akaonana na wakuu na wakampangia dates za interview na hatimae...
  12. sukhote4000

    Vipaji-link recruitment ni matapeli wakubwa, msije kudanganyika na ajira zao

    hao vipaji link mamdhulumati wakubwa hawana kazi upuuzi mtupu vibaraka wa wachina wafungiwe kabisa wasiwepo kabisa .
  13. sukhote4000

    Government Ban Job Recruitment Agencies!

    safi sana mama kabaka wametutesa saana halafu recruitment agencies nyengine zinaendekeza udini na ukabila hazipo professional kwa mfano utakuta zinafavour watu wa dinin flani au kabilaflani hii haifai watanzania wote ni wamoja, kosa umekalia kiti wewe wa dini flani au kabila flani ,piga...
  14. sukhote4000

    ajira nasaka

    Kwanza weka title yako vizuri mi nlijua unaadvertize kazi kwenye kampuni inaitwa nasaka,andika nasaka ajira.
  15. sukhote4000

    Calli for Interview stamico

    Kwa habari nilizozipata katika chanzo cha habari ni kwamba zile interview za mameneja teyari kwa hiyo zikimaliza hizo za juniour mchakato utakuwa teyari,hataa hivyo interview ya director general bado haijazaa matunda kwa kukosekana yule anayekidhi viwango kati ya wale waliofanyiwa interview.but...
  16. sukhote4000

    Pccb holaaa nhf jee-lini wanafunguka!!!!!!!!!!????????? ?

    wakuu mwenye updates za hawa jamaa naona wako kisailensa sana
  17. sukhote4000

    Calli for Interview stamico

    thanks mkuu tumekupata ila kuna nyengine bado naona hawajatangaza sisi wengine tuliapply zile za mameneja naona hawajashortilist bado hizo ni only for juniour
  18. sukhote4000

    PCCB, Kumekucha leo

    wewe umesota sana mtaa nini? tangu lini serikali kuwa panctual wee tegemea next week mwishoni labda ,wee angalia mwenyewe interview uliambiwa saa tatu jee ilikuwa kweli si mvurugano tuu ulotokea pale,angalia stamico mpaka leo na walisema january mwanzoni ,ukifanya interview serikalini wee...
  19. sukhote4000

    Stamicooooo

    Kuweni teyari mkao wa kula kwa wale walioomba stamico re advertised posion mda wowote majina tataachiwa ,kulikuwa na mchakato wa kumtafuta director general na teyari ,pia wale wa interview ya kwanza ya dec wategemee kupigiwa simu pia kuanza kazi within two weeks
Back
Top Bottom