Search results

  1. Sarya

    Shilingi elfu 7800 inatosha

    Samahani lakini, hivi nauli ya kwenda Mkuranga kutoka Dar bei gani?
  2. Sarya

    Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

    Nashangaa na mimi! Kweli kama amekubali kufunga safari koote, then anajuja kunisemea hapa?? Sijapenda hata kidogo...[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
  3. Sarya

    Nimeingia cha kike kwa mtoto wa Diwani

    Pole kamanda! Ila uchakataji huambatana na kuongeza thamani, bila shaka hiyo ndo ongezeko la thamani
  4. Sarya

    Wanaume karibuni tuwajadili wanawake wakiwa na mimba

    Tena ukibeba wewe utakuwa wale wanapenda kula majivu...🤣[emoji23]🤣[emoji23]
  5. Sarya

    Ukweli Kuhusu Wadada Waliokeketwa

    Removal of, or damage to highly sensitive genital tissue, especially the clitoris, may affect sexual sensitivity and lead to sexual problems, such as decreased sexual desire and pleasure, pain during sex, difficulty during penetration, decreased lubrication during intercourse, reduced frequency...
  6. Sarya

    Dada ukitaka mchumba usijifungie ndani toka out sometimes

    You can have pdf copy of that to read. I hp one can get something out of that
  7. Sarya

    Nashurutishwa kupita mlango wa uwani

    [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
  8. Sarya

    Jeneral Ulimwengu: Huu ni utawala wa milipuko! Wafanyakazi wanafanya kazi kwa uoga

    Tunaweza kuongea maneno meeeengi, lakini ili tuwe na suluhu ya kudumu tunahitaji STRONG INSTITUTIONS ambazo uendeshaji wake hauhitaji favour ya mtu mmoja moja (culture of impunities). Tunaweza kufika hapo tu pindi rasimu ya Jaji Warioba/Katiba ya wananchi itakapo asisiwa tofauti na hapo...
  9. Sarya

    Jeneral Ulimwengu: Huu ni utawala wa milipuko! Wafanyakazi wanafanya kazi kwa uoga

    Wakati mwingine huwa natafakari kuwa "hapa kazi tu" ni kauli mbiu iliyobeba maono gani? Nawaza tu kwa sauti.... Afadhali hata ile ya JK "maisha bora kwa kila mtanzania", hii walau ina maono flani na nini kinatakiwa kuwa accomplished hata kama hatukuona hayo maisha bora. Eti hapa kazi...
  10. Sarya

    Aliyeipaisha Tanga ajitokeze leo

    .......Mi nina mwaka na nusu na kote huko nimevuruga hakuna kitu, nilikaa saana Sahare na sahivi nipo katikati ya Jiji. Tanga labda ilikuwa enzi hizo!
  11. Sarya

    Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto alalamikia Jaji Mkuu wa Kenya Kuvaa Hereni

    Hili swala la hereni hata mi nilikuwa miongoni mwa watu ambao walikuwa kinyume kabisa lakini nikaja kufanya uchunguzi na kugundua kuwa makabila mengi ya kiafrika wanaume kwa wanawake tulikuwa tunavaa hereni kabla na hata baada ya ukoloni. Hata shanga za kiunoni zinavaliwa na wanawake na wanaume...
  12. Sarya

    Maaskofu Katoliki wamtaka Rais Magufuli kutumia busara

    "Rais sio Father Chrismas wa Kugawa Zawadi kila anapopita tena akitumia fedha za umma" - Ben Saanane
  13. Sarya

    Kuna nini Old Moshi high school

    Duhhh, long time saana nilimaliza hapo form 4, '95 nikiwa mkazi wa bweni la Hanan'g
  14. Sarya

    Hivi kweli CCM ndo wamekubali kushindwa?

    Ni wazi kuwa kuna hofu kuu imetanda ndani ya CCM, juzi jumapili nilikuwa Korogwe kwa mzee mmoja kiongozi wa CCM Wilaya ktk nafasi nyeti. Hakuwa ananifahamu mimi na mi nilkwenda kikazi kwaajili ya kutumia jengo lake mmojawapo kwaajili ya kufungua ofisi yetu hapo. Kwakweli amesikitika sana kwa...
  15. Sarya

    How to write a CV when you have more Life Experience than Work Experience

    Getting a job is difficult enough as it is. When you don’t have the necessary work experience to get the kinds of jobs you want, it is even more difficult. The problem is that many of us look at a job ad and know that we could fill that role in a second and do it well, but we are not technically...
  16. Sarya

    Tanzanian low-cost water filter wins innovation prize

    Hongera bro, kazi nzuri na umeitendea haki taaluma yako
  17. Sarya

    Tanzania sasa namba moja kwa utalii

    Kama Mtanzania mzalendo naona ni taarifa nzuri ila bado sijaona connection kati ya ulinzi ulioanza juzijuzi tu na kuongoza kwa utalii kama nchi. Je watalii walikuwa wangapi na wameongezeka kwa kiasi gani kwasababu ya kuongezeka kwa ulinzi au kuundwa kwa mamlaka ya wanyama pori. Je kuongoza huko...
  18. Sarya

    Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Kwa bahati nzuri nilirekodi mwanzo mwisho tuivosomewa.....nikaona huyu pengo hana network na wenzake. Mi ni mkatoliki ila naona pengo anazeeka vibaya pamoja na mwenzake Kilaini. Hiwezekaani tamko litolewe na TEC yeye akiwa miongoni mwao alafu anakuja kusema haikuwa sahihi au wamekwenda mbali...
  19. Sarya

    Kesi ya Tibaijuka na Sektarieti ya Maadili ya viongozi wa umma, Karimjee

    ........Mi nadhani kwa mama Tibaijuka kusema kuwa Mil 10 ni za mboga, maana yake ni nzito saana. Tafsiri yake ni kuwa pesa alizopata ni cha mtoto lakini kuna wengine wamepewa pesa nyingi lakini wanamfanya kondoo wa sadaka. Kimsingi ni vile tu huwezi kujitetea kwa kwenda kueleza makosa ya wenzako...
Back
Top Bottom