Search results

  1. Ogmulik

    List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

    bil sasa wewe ndugu haueleweki, mwenzao anaelezea kwa uzuri wewe unampiga vita kweli kuna kamaendeleo hapo?
  2. Ogmulik

    US TECHNOLOGY: How to Spot A liar!

    Habari zenu waheshimiwa Hili swala ni interesting sana kwa sababu la kwamba lipo hapo toka enzi. Uongo hautaacha kuwepo so long as binaadamu anaexist. Ninge omba kabla hatuja tafuta tiba ya uongo na jinsi ya kuweka wazi uongo tufafanue uongo maanake kuna wongo wa kila aina. Kwa mfano: 1.kuna...
  3. Ogmulik

    Tatizo la mafuta!

    Habari zenu waheshimiwa! Swali: Hivi ukichukua hii ethanol na ukiiweka kwenye mashine inayotumia dizeli itafanya kazi ? Kama itafanya kazi basi kweli sisi tumelala. Lakini sasa labda kuna solution.
  4. Ogmulik

    Katiba ya CCM vimeo

    lugha ambayo isio takiwa ndio hii. Sawa una mtazamo mwingine lakini ni vizuri lugha inakua ya busara
  5. Ogmulik

    Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

    Hivi mnataka atoe mifano mingapi? Au fakts ngapi? Umri wake sio issue hapa hata kama yeye ni mzee wa kutupa lakini fakts ziko pale pale: uzushi na uongo tuache. kuparamia watu bila facts tuache. mna paramia watu bila kua na info kamili ni kutafuta umbeya. Wewe unatafuta data za mku wa usalamaa...
  6. Ogmulik

    Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

    Quote: "FD wacha kupoteza muda wako kwanza anagalia jina lake na maneno yake then utajua akili yake inaelekea wapi ni wale wale ? Siku zoote wanasoma tu ila ukigusha interest zao wanazuka sasa tukate issue mwache huyu kesha dharaulika kumjibu ni kumpa kichwa achana naye tuendelee na issue hapa"...
  7. Ogmulik

    Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

    Sawa Chifu, kama hii siyo dharau sijui ni nini. Hata hivyo nashukuru, lakini msimamo wangu upo pale pale. Mpate fakts sawa sawa. halafu ndio kuzungumza, kuto kujibu sio kwamba kusaidia kitu. Mie sina ugomvi na mtu ila nasema musiwe waoga wa kutetea haki, kwani siwe wote chifu ni watu na hukutana...
  8. Ogmulik

    Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

    Habari Fikira duni, Ahsante sana kwa kunielimisha. Mie kitu ambacho kinasikitisha ni kwamba fakts zilizotolewa zilikua si za kweli sasa kama mtoa fakts kwanza amekosea majina, pili mda ambao anatoa si wakweli. Mie nitachukulia kila anachotoa si cha kweli. Maendeleo yanajengwa na ukweli kama...
  9. Ogmulik

    Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

    Acheni uongo na majungu, hizi ni fikira za umasikini wa akili. Radhia hakuwepo London pamoja na Othman, wala Othman hawezi kufanya vitu kama hivyo. Na amina hafanyi kazi ubalozini. Kwanini mna tabia kama hiyo. Zungumzeni mamabo yanayo eleweka kuliko haya majungu na uwongo. Leteni maendeleo...
  10. Ogmulik

    Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

    kwanza wakati othman yupo ubalozini Radhia hakuwepo, halafu Amina siyo Radhia- ndiyo ni ndugu lakini ni watu tofauti. Amina hana uhusiano wowote na ubalozini na kama unataka ushaidi mie naweza kukupa jina langu na email yangu na wapi naashi. Jamani acheni uongo na majungu kama haya toeni facts...
Back
Top Bottom