Search results

  1. M

    Maaskofu Katoliki watoa waraka tena

    wasemayo ni maneno mema, lakini watutake radhi kwa maoni yao mwaka 2005, kuhusu chaguo la mungu. which we bought without checking the facts, i.e. how could mungu choose a person from this religion or belief and then reveal the choice in another and different group! secondly how come this Mungu...
  2. M

    Yanayotendeka kwenye fungate(Honeymoon) unayajua?

    taarifa hii, imekuja wakati muafaka! senksi sana na nimeinote kwa wino mzito.
  3. M

    Prof. Mbele na hoja zake: Amfagilia JK

    huyu ni professa, mwendekeza tumbo! Wasomi wa namna hii ni wanafiki wanachosema ktk siasa ni tofauti na nini wanafundisha watu madarasani. hizo point alizozitoa yeye, ukiandika esay kwenye term paper yake unafeli takuuliza substance ziko wapi? mbona hoja hafifu? Mambo ya REDET hayo, wanaboa
  4. M

    Eti kati ya wanaume na wanawake akina nani wanateseka zaidi??

    kama wanawake ndo wanateseka zaidi kuliko wanaume, why in the hell do men die earlier? it is mateso that kills thems! yes i have said it
  5. M

    Imeniuma sana

    Babra, kama ni utani, dont do it! Is this true and happerning at this age? mambo gani haya?
  6. M

    'Sex-for-grades' in varsities

    hili tatizo ni sugu ktk vyuo vyetu, ila sasa hakuna anayesimama na kuliangalia kwa umakini wa kutosha, especially with a weak system we have now where fave dr are appointed by ikulu who will care a single subject favour! kuna utata mkubwa, tunaambiwa kuwa mabint wananyanyaswa madarsani...
  7. M

    Unawanafamu?

    bin strokin anahusishwa na Lewinsky scandal- mapenzi ya mkono (stroke); bin cheating-- anamtoto nje ya ndoa re: cheating, bin Lyin soryy sina ufahamu juu yake
  8. M

    Sifa za maafisa ubalozi wetu ni zipi?

    we never had an agenda for years! kila kitu is either MDG, EFA, MKUKUTA ambazo ni za UN, UNESCO na WB respectively. Kweli we are either way fucked!
  9. M

    Mch. Mhe. Dr. Getrude Lwakatare achunguzwe!

    My take, politics, business and religion to mama Mch, DR Mhe do not mix!
  10. M

    Tumsaidieni huyu dada amfanyaje huyu mtoto

    Wana JF, kweli utandawazi umetutafuna kila kona. Unajua walezi pamoja na wazazi siku hizi tumegawana mamlaka na watoto tunao walea. mtoa hoja hofu yake kubwa, ninavyoona ni kuwa kumbana mtoto anahisi ataonekana anamtesa kinamna- which is kibinadamu. My take, ni kuwa mtoto ni mtoto maisha yake...
  11. M

    Mume ananichosha kwa kupenda haki ya ndoa

    Hapa ni mwamba ngoma.................! i wish i could hear from FL1, Prety, Womanofsubstance inc. etc tupate opinion balanced. my take, ni kuwa binti hajajua kuwa wenzie wanalalamika huduma inapunguzwa kila akina baba wanapokuwa na pressure, kazini, mitaani puls nyumbaa ndogo. She is...
  12. M

    Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

    Hiyo ni janja yao, hawajamaa zetu! wao ndo wanataka uraia wa nchi 2. wanajua uchafu waliufanya so wanataka wakiona vipi wakimbie. afu ishu ikitulia wanrudi faster. Sisi hatuwezi kumwiiga mwisraeli- ile kitu tofauti ni uzalendo pale ni asilimia mia zaidi, ndo maana wao hakuna mtu anaweza uza...
  13. M

    Naenda jimboni... Nitawamiss sana

    mbona naye anaonekana fisadi kwa kiwango kizuri tu! hujamsoma anaenda ughaibuni kufuata hela ya kampeni na amesha tanguliza vijana wake wanamwaga pesa jimboni. We are dommed
  14. M

    Uume Wangu Umechubuka Baada ya Ngono

    kaka, ulitaka kichubuke nini? uume ndo umeutumia na huo ndo umechumbuka. kama ingechumbuka miguu au uchogo, hapo mjadala ungekuwepo. adios
  15. M

    Dawa ya Ufisadi:Tanzania Itawaliwe Kidikteta?

    demokrasia, huenea vema katika jamii yenye maendeleo ya kweli. demokrasia haiyatangulii maendeleo, ila kinyume chake na hakika viwili hivi havikui pamoja. the challenge however, is to get a visionary DIKTETA! visionary enough to rule the country with a team of around 10 guys, no Bunge no bull...
  16. M

    Kwanini wasingizie mimba?

    Drphone, hesabu ya vipimo kwa mademu 3 ndani ya mwaka ina mushkeli! kama mmoja umekaa naye miezi 6, ikabaki miazi 6 kwa mwaka, theni unapima na kusikilizia miezi 3 unapima tena kama safi kulia na kushoto ndo unavuta barabara. hadi hapo miezi 9 imekata unachukua mwingine naye anaingia kwenye...
  17. M

    Jamani kuweni wazazi wenye mapenzi!

    Dark City, seconded! tafiti zinaonyesha kuwa watoto wanabakwa na kunajisiwa na watu wanaowategemea kwa ulizi. baba, kaka, wajomba na walimu wao na hata rafiki za familia zao- rank ya baba, mjomba etc. FL1, Amrican Lady etc, kisaikolojia ni kuwa wanaume ni victim wa hate and limited love na...
  18. M

    Je Hawa ni wabarikiwa wa Jamii Forums?

    it was for a warm up guys, relax. mbona mrukaruka kama mmeona majina yenu kwenye list ya mafisadi bundi, papa, nyenyele etc.
  19. M

    This is What Economics is All About: Please, Read!

    the forum is for fun, not academic jamani. hiyo ya mara umekopi toa reference. kwani ni term paper? kama ulishaisoma ruka fuata link ambayo hukusoma. maisha ni magumu tayari, dont complicate them further. kuabudu mbona tunatumia text zilezile miaka nenda rudi.
Back
Top Bottom