Search results

  1. Juaangavu

    TARURA mnatuchosha madereva

    Nahisi hawa ndg zetu wa TARURA wamehamia huku kabla ya kuandaa vizuri mfumo wao, na sasa umegeuka kuwa mzigo kwa mlaji. Ni sehemu ya Serikali, lakini unashangaa ukiingia kwenye mifumo ya kulipa malipo kwa njia ya Mtandao, ukachagua malipo kwa Serikali ukiweka Control No yao inaleta error msg...
  2. Juaangavu

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Barabara ya Kimara mpaka Maili moja iliyochini ya ujenzi imeanza kutumika kwa zile barabara 6. Imewekewa kiwango cha mwendo kuwa kilomita 50 kwa lisaa, ikilinganishwa na zile barabara nne za Tegeta hadi Moroco ambako mwendo ni kilomita 60 kwa lisaa. Je, ni kigezo kipi kinatumika kuweka huo...
  3. Juaangavu

    Hotuba ya Rais Bungeni: Usisahau kuongelea mambo haya...

    Fao la kujitoa kwenye mifuko ya jamii ili watu wawekeze wakingali na nguvu.
  4. Juaangavu

    Hasara zipi unazipitia kwa kuwa na tabia za introvert?

    Jisomee vitabu vya issue husika vitakusaidia. Mfano. Introvert power: why is your inner life is your hidden strength by Laurie Helgoe (PhD); the introvert enterprenuer by Berth L Buelow nk Vitakusaidia
  5. Juaangavu

    Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

    Serikali pamoja na Makapuni ya Simu na taasisi zingine zinazojihusisha na masuala ya kutuma, kupokea na kufanya miamara ya malipo y fedha. Zingekaa pamoja na kuangalia namna ya kusaidia kupunguza gharama kwenye hiyo miamara ili kupunguza kupokea fedha kutoka mikono ya mtu mmoja kwenda kwa...
  6. Juaangavu

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Kwa ujenzi/upanuzi wa hii barabara hii kuu hapa nchi unaoanzia Kimara kuelekea Maili moja. Kutokana na umuhimu wake kiuchumi kwa wingi wa mizigo inayopitishwa na malori, na nafasi ya upana uliopo pande zote nbili za barabara (120m kwa kila upande). Mi ninapendekeza barabara zingejengwa nne kila...
  7. Juaangavu

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Ya kwangu naelekeza kwa idara ya uhamiaji. Naamini Serikali itakuwa imegharimia fedha za kutosha kuwa na mfumo uliopo wa maombi ya pasi za kusafiria. Mtu anapotoa maombi anaweka namba zake za simu, na ukiangalia ule mfumo unatoa mwanya wa kufiluatilia hatua ya maombi ya pasi ilipofikia, lakini...
  8. Juaangavu

    Hifadhi ya Serengeti yatwaa tuzo ya Ubora Afrika

    Hii imependeza kwa masilahi mapana ya Taifa letu Tanzania. Tuzidi kuhamasisha watalii ili kuukuza uchumi wa taifa letu.
  9. Juaangavu

    Hatimaye CCM walitwaa Jimbo la Nassari, John Pallangyo apita bila kupigwa

    Huyu Bwana wa Demokrasia Makini pamoja na hao wenzake 10 ambao wameshindwa kujaza fomu ipasavyo nao wanataka kuongoza wananchi badala ya kuhangaika kujiongoza wao wenyewe ili wawe na weledi angalau wa kutosha hata wa kujaza hizo fomu. Yaani, hawa wanasiasa ni pasua kichwa. Maana unatamani...
  10. Juaangavu

    Kinachojengwa Mbezi mwisho ni kuchezea kodi za Watanzania

    Nami kwenye chapisho langu nimesema aina ya...... Siyo mtaalamu wa ujenzi, ila kama Mzalendo tu wa nchi hii, nimetoa maoni kulingana na kile kinachoonekana kwa macho. Sasa nyiye wataalamu ndo jukumu lenu kuboresha au kutujibu majibu yaliyojaa kiburi cha utaalamu bila kujali kama tunayoyaona...
  11. Juaangavu

    Kinachojengwa Mbezi mwisho ni kuchezea kodi za Watanzania

    Kaka Mkubwa nafikiri watu wanatoa mawazo kwa lengo la kuboresha ili kodi yao itumike vizuri. Nikiri siyo mtaalamu wa ujenzi, lakini nikitembea kwenye maneno yako yaliyojaa uelewa wa fani husika naomba msaada wa haya: Barabara iliyojengwa sambamba na mwendo kasi umri wake kabla ya matengenezo ni...
  12. Juaangavu

    Kinachojengwa Mbezi mwisho ni kuchezea kodi za Watanzania

    Ile rentention wall ya lile daraja pale Mbezi mwisho nafikiri inahitaji kuangaliwa. Kama barabara itamaliziwa hivyo ilivyo kwa sasa na kwa mvua kidogo iliyonyeesha imeshusha udongo kiasi kile toka kwenye hilo barabara; basi uimara na uhai wake hautakuwa mzuri sana. Pili ni aina au tuseme ubora...
  13. Juaangavu

    Sakata la mafao: Kuna harufu ya ubaguzi na ukiukwaji wa Katiba-tujadili

    Wanasheria pia mtusaidiye. Pale mtu anapoaga dunia iweje warithi kulipwa pension ya miaka 3 tu na kinachosalia cha miaka 9 kielekee. Je, sheria ya urithi inaitambua serikali kama mrithi wa raia? Msaada pia kwa hili
  14. Juaangavu

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Kumbukumbu zangu zinanikumbusha kuwa siku ya ufunguzi wa mradi wa ujenzi wa "interchange roads" palw Ubungo ulio udhuriwa na rais wa Worls Bank, Mh Rais aliagiza wajenzi wafanye kazi mchana na usiku ili wawahi kumaliza mradi mapema. Naona hili agizo wajenzi wameliweka kando.
  15. Juaangavu

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Kuna haja ya kubadili mitizamo, jinsi tunavyoangalia na kuendesha mambo yetu. Nimeangalia leo eneo la pale Ubungo mataa na ujenzi unaoendelea nikabaki na maswali lukuki. Dereva anatoka Kimara anafika Kibo anaingia service road achilia anakuja kutaka kulazimisha kuingia barabara kuu pale Ubungo...
  16. Juaangavu

    Kama kuendesha mradi wa DART umetushinda, miradi ya SGR na uendeshaji wa ATCL ndio tutaiweza?

    Kuna jambo la kujifunza jinsi tunavyoendeaha mambo yetu. Mwendo kasi mi nilitegemea muda wa majaribio uliwapa mwanga wa namna ya kuendesha na kila siku zilivyokwenda ilikuwa ni fursa ya kujifunza kwa lengo la kuboresha huduma. Lakini hali inazidi kuwa tete kila iitwapo leo. Vituoni watu...
  17. Juaangavu

    Dk Bana: Kuna tatizo ndani ya CHADEMA. Kama hawawezi kujifanyia tathimini, mimi niko tayari

    Prof Mpangala anaweza kutusaidia kuelewa zaidi. Huo mpango ni wa nani, kwa masilahi yapi na unaendeshwaje? Natamani kama wahandishi waliokuwepo wangeuliza hayo maswali na mengineyo ambayo yangelitupatia taarifa zaidi.
  18. Juaangavu

    Makonda angekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza angeokoa miili mpaka asubuhi Alafu CHADEMA wangesema ni kiki

    Yaani nikiwafikiria wahanga wa hili janga, mawazo mengi sana yanapita akilini mwangu. Hii ni mara nyingine tena tunawapotezwa wapendwa wetu ktk ziwa hilo la Victoria na bado uwezo wetu wa kukabiliana na maafa kwa usafiri wa majini ni wa kiwango hicho. Kuna watu yaani wamekufa kabla ya wakati wao...
  19. Juaangavu

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hii kiu ya viwanda aliyonayo Mh Rais, haiweze kukatwa na kiwango cha umeme tulionao. Nipo huku Kibamba yaani hali ya ukatikaji wa umeme ni ya hali ya juu sana. Ndani ya masaa 24 yaliyopita Nafikiri ni masaa 3 tu ndo yalikuwa na umeme mengine ni hola. Kiwanda gani kitahimili na kuweza...
  20. Juaangavu

    Mbunge mstaafu, Abdul Mteketa alia mtandaoni akiomba msaada wa matibabu kutoka kwa Rais Magufuli

    Hii inaweza kuwa fundisho kwetu sote. Ila kwa waliopo mjengoni ni nzuri kufikiria miswada inayopitishwa inatakiwa kuwa yenye masilahi mapana ya taifa.
Back
Top Bottom