Search results

  1. C

    Sijachaguliwa kujiunga na chuo, inaniuma sana

    nimehitimu 4m4 2010 nilipata dv 4 ya points 26,mwaka huu nikaomba ualimu ngazi ya chet majbu yametoka cjachaguliwa npo hoi sana,,cjui la kufanya
  2. C

    Sijachaguliwa kujiunga na chuo, inaniuma sana

    Nimesubiri kwa muda mrefu sana nikijua nitachaguliwa mpaka muda wa kuapply vyuo umepita, jana majina yametoka chaajabu jina langu halipo na ukizingatia nimekaa miaka ming sana nyumban ualimu ndo ilikuwa tegemeo kwangu, Najiuliza why me?
  3. C

    Majina ya wanafunzi walio chaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu 2014/2015

    Jaman km kuna mwenye division 4 ya 26/27 au 33/34 na amechaguliwa aniambie
  4. C

    Kwa namna hii kwanini wanafunzi wasifeli

    Hafu hapo ajambe fyuuzii,,,sauti itakayosikika ahahaha! mi napta tu
  5. C

    Airtel msinipigie simu tena nitawashitaki

    Hujakosea mkuu mi mwenyewe ni mmojawapo wanaosumbuliwa,,but now hako kanamba kao nimekasave wakipiga tu cpokei nakata,,mchezo unakuwa over
  6. C

    Eti kwa sifa hizi anaweza kupata nafasi (dit)?

    ok mkuu,,naomba unisaidie kama VETA asomee course ipi?
  7. C

    Eti kwa sifa hizi anaweza kupata nafasi (dit)?

    Habar zenu wadau,,ndugu yangu amemaliza 4m4 mwaka 2012 alipata div4 ya points26,,civ-D, engl-D, geo-D, kisw-C, histor-C, chem-D, bios-D, math-F..JE nauliza kwa matokeo haya anaweza pata nafac DIT? na course ipi inaweza kumfaa??
  8. C

    Uingereza kuanzisha bank ya mbegu za kiume

    Inaelezwa kuwa benki ya mbegu za kiume itatatua haja za uzazi Benki ya Taifa ya mbegu za kiume inatarajiwa kuanzishwa nchini Uingereza kuondokana na tatizo la upungufu wa mbegu hizo. Wapenzi wa jinsia ya kiume na kike , wale wa jinsia moja pia wanawake wasio na wenza watanufaika na huduma hii...
  9. C

    Naomba mnisaidie mbinu za kumrejesha kwenye mstari mpenzi wangu

    Fanya k2 kimoja mkaushie usimpigie cm wala sms kaa hata mwez,,utaona yemwenyewe one day anakubipu au kasms "hey mzima?"
  10. C

    Msoma habari ITV leo

    jana nlimla tigo...msishangae
  11. C

    Njoo njombe town nije Singida

    npo rukwa nataka kuja ruvuma idara sec..Ni PM aliyetayar
  12. C

    Njoo tubadilishane kituo cha kazi mwalimu

    njoo rukwa mkuu mi nije huko...ni PM ukiwa tayar
Back
Top Bottom