Search results

  1. mbweleko

    Najuta kuoa hususani katika umri mdogo nilionao

    colin_morgan, 1. Mkeo bado mtoto, mvumilie na mwelekeze taratibu bila kuchoka. 2. Wakati unamuelekeza atakua anakuletea dharau, ipime dharau na ukiona imezidi mbutue kisawasawa but usimtoe damu. 3. Ukishampiga ujue itakua ni balaa, tulia, muache afanye atakacho na usimuombe msamaha mapema...
  2. mbweleko

    TCRA yawataka wasimamizi wa makundi ya WhatsApp kuiga mfano wa mtandao wa JamiiForums

    Moderation ya JF na Whatsapp haina mlinganyo kabisa, unaweza kuta group la whatsapp linabaki na members wawili tu!!
  3. mbweleko

    Watu huleta manufaa katika nchi wakiwa katika hali ya ugonjwa

    Tunamtaka mgombea ambaye atakaye kabiliana na mikikimiki ya ufisadi, miradi inayosuasua na mikataba mibovu. Mgombea mzalendo na atakaye pambana kwa dhati kabisa kutoka moyoni. Mgombea mwenye afya njema atakayepambana na wafujaji, mwenye msimamo, mwenye maamuzi magumu. Mgombea atakaye kemea...
  4. mbweleko

    Ubabe wa Wanajeshi kwa Dereva - Hili tukio limenishangaza sana leo

    Lingekua na kilipuzi lisingekaa kwenye foleni, nadhani ushawahi ona mkiki wao wakielekea kwenye sherehe za uhuru au wanapompokea Presidaa mgeni huwa wanaendaje airport!!
  5. mbweleko

    Kamanda Mpinga, trafiki wa mataa ya TAZARA ni wasumbufu sana

    Wanazinguaga sana hao jamaa wa Tazara, Traffic akikurupuka na kuzuia ghafla magari mi hua sisimami, napitiliza hadi sehemu ambayo ni salama na inaruhusiwa kusimama. Pole mkuu, ni kuwalia timing tu basi unakua umewapatia.
  6. mbweleko

    Pata funzo la mashairi ya wimbo 'Staki Kazi' wa Nikki II

    Rejea maelezo ya pointi namba 2 na 6!!
  7. mbweleko

    Google Play Store - REEDEM YOUR CODE

    Nmekutana na tatizo kama ilo leo asubuhi kwenye GT8000 ambayo ina voda line na internet ya voda pia, nlijaribu yafuatayo na baadae kufanikiwa kuingia play store leo jioni; 1. Disabled & Re-enabled 'Mobile data', changed APN - didn't solve 2. Go to Setting ->App manager->google play store...
  8. mbweleko

    Watanzania na ushamba wa kipuuzi unatufanya tuwe masikini

    Wapo wanaoshindwa kujua ni Lini na wapi unatakiwa kufanya nini kwa wakati upi ili kufanikisha nini?! Mengine hayo ni matumizi tu kulingana na hulka na utashi wa mtu!
  9. mbweleko

    Najiuliza kwanini nilisoma. Miaka 4 sasa sijawahi kupata ajira

    Mkuu, Unapoambiwa usipende kuchagua kazi, ina maana pana kidogo! Using'ang'anize kazi za taaluma yako sana, jaribu hata kuficha baadhi ya vyeti ili uingie kwenye system kwanza. Ukishaingia kwenye system utaweza kutafuta kazi uipendayo bila msongo mkubwa wa mawazo.
  10. mbweleko

    Entry fee at Mlimani city

    Kuna kiduka cha vifaa vya Tim Cook mkuu, duka la kubadirishia hela za kigeni na kimgahawa kingine kitafunguliwa hivi karibuni cha wale kuku wa Kentucky.
  11. mbweleko

    Entry fee at Mlimani city

    Dah! Sasa mbona iyo ni gharama sana, $15/siku kwa mfano ni zaidi ya 24,000Tsh, na hapa watu tunapiga mahesabu ya kuepuka 4000Tsh = $2.5 kwa masaa 10/siku endapo Tz itaanzisha parking lot zenye mfumo kama wa Mlimani City. Afterall ka kuna parking lot nyingi basi gharama inatakiwa kuwa chini zaidi.
  12. mbweleko

    Entry fee at Mlimani city

    Sawasawa, ukichukua tiketi unaanzisha stop-watch alaf dk ya 50 unatoka nje, unaenda kuingilia geti lingine unachukua tiketi tena. Unaweza tumia dk100 bure na utakua umemaliza shughuli yako! Uvumilie usumbufu wa dk20 za kutoka na kuingia tena, na ndipo utagundua umeokoa Tsh 500/- tena ya sarafu...
  13. mbweleko

    Naomba msaada napata shida kutumia ufunguo wa spear wa gari

    Hapo nimekuelewa mkuu, nashukuru kwa ufafanuzi. Kumbe nahitaji kupata ufunguo kwanza alafu ndo swala la programming linafata, hapo sawa. Ntakutafuta mkuu mimi niko Dar ila nasafiri kidogo, nkirudi ntakutafuta mkuu maana nahitaji sana huo ufunguo.
  14. mbweleko

    Naomba msaada napata shida kutumia ufunguo wa spear wa gari

    Mkuu nahitaji kuelewa zaid kabla cjakutafuta. Aina ya gari ni Nissan Murano 2005 Model, Funguo yake yenye remote imepotea na sasa spare yake ilokuja nayo ndo inatumika. Naomba nileze nawezaje either pata ufunguo mwingine wenye remote or spare nyingine ya kawaida isiyo ya remote? Pili, unaposema...
  15. mbweleko

    JWTZ na Jeshi la China wakiwa katika mafunzo ya kijeshi, Kigamboni Dar es salaam

    Mkono wa kamanda haujakaa kikakamavu! Au kwa vile umri umeenda......!!!
  16. mbweleko

    Mliman City wameanzisha Parking fees

    Basi mi nlidhan wanaoingia kule nyuma ni wahusika/wafanyakazi! Sawasawa mkuu!
  17. mbweleko

    Mliman City wameanzisha Parking fees

    Ahaaaa... Kumbe ndo mana wengi wanaingiza ndani eeh! Okeeeee, sawasawa!!
  18. mbweleko

    Profesa mwingine UDSM aaga dunia

    Wamekufa wengi kiasi gani hadi unashangaa?! Huyu Kivaisi alikua anaumwa, ni nature.
  19. mbweleko

    Mliman City wameanzisha Parking fees

    Quality Center wameanza cku nyiingi mkuu, 300/saa. Asaivi uchumi supermarket wamefungua tawi Shekilango, hodi millenium Park...
  20. mbweleko

    Apple sold 4 million iPhone 6 and 6 Plus in first day

    Apple inabaki kua nzuri kimfumo umbo na urahisi kimatumizi endapo mtumiaji atakidhi gharama za APPS ili kuifanya iweze kuwacliana kirahisi na vifaa vingine vya android/windows OS. Vifaa vya apple ni vizuri/makini na unique ila vina uchoyo wa hali ya juu kwenye kujamiiana/kuingiliana na vifaa...
Back
Top Bottom