Umenena vyema mkuu, katiba inayopendekezwa ipo hapa.
Tovuti Rasmi ya Bunge Maalum la Katiba. |
Nenda sehemu ya matangazo utapata nakala uisome upate msingi wa hoja
I keep wondering why we Tanzanians always have to think in the opposite, we are not being critical we just think negatives, very bad altitude, bad indeed!!!.
Maskini MARANDO anaweza kutaja namba za simu kwa ufasaha LAKINI hajatueleza wananchi PROOF yake kuhusu U FAKE wa ile video!!! That is what we want to hear right now. EBO,!
You take me by surprise!! kumbe bado wanajenga minara hadi sasa.
Yericko nashauri kuwa si sahihi hata kama ni uhuru wa kujieleza, kuelezea strategic plans za majeshi na taasisi za usalama. Unatoa taarifa za bure kwa taasisi za kijasusi. kumbuka wanaohamasisha uhuru wa habari na wa kujieleza...
Kila mmoja yuko huru kutoa maoni yake, katika hilo hakuna kiranja wa mwingine. Mimi nilidhani maoni yako ni mazuri sana njia rahisi badala ya kukosoa ya pinda, uyatoe kama maoni yako kwa kuwa tume inayapokea kwa uzito wake na siyo kwa personality ya mtoa maoni.
Radiation from the sun does not generate heat as it passes through the atmosphere until it hits the earths surface. since air is not a very good conductor of heat, heat is lost with distance away from the earths surface. the mountain top is some distance away from the larger area of the earths...
Dr. kitila nadhani kubeza kanuni si sahihi, masuala mengine umezungumza yana mashiko kiasi. Nadhani ngezungumzia Bunge kuwa la HOJA NA LENYE KUFUATA KANUNI, kama mtaaluma ningekupa Bigup.
Unaniacha hoi pale unapo refer kwenye magazeti, nilitegemea uzungumzie matokeo ya utafiti nadhani...
Kwa mawazo haya, sishangai kuona mnawaacha ndugu zetu wafe kwa kuwafurahisha hao mabwana. Haikutegemewa kuwa hadi miaka hii bado tuna wasomi wenye mitazamo ya aina hii. "Just thinking loud!"
Sasa naanza kuelewa kuwa macho ya binadamu si kama nilivyokuwa nayajua mengine yanaona DUNIA iliyojaa MADAKTARI tuu na hakuna kitu kingine!!, Na watanzania tunawategemea wasomi wetu wenye mtazamo wa aina hiyo watoe ushauri kutuongoza watanzania!!!
Sijui unajisikiaje kutunga Habari inayohusu maisha ya Mtaalam wetu Dr. Ulimboka? Tatizo tulilonalo hapa ni kuwa kila mmoja ni mtalaam wa kila kitu, anaweza kufanya uchunguzi mezani na akatumia matokeo ya uchunguzi huo kujipatia umaarufu wa kisiasa na uanaharakati. Wakati huu ni wa kumuombea Dr...
Hongera kipanya! LAKINI graph yako inaonesha figure TU, tungeomba kujua VIGEZO ulivyotumia na uwiano wake na graph yako ili kwetu watafiti itusaidie zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.