Wengine wanatumia letterhead. Staili yetu watanzania hatuhitaji letterhead:confused:
https://jesuits.org/Assets/Publications/Snapshots/katrina-pdf-thumb.jpg
Our Status in the Church
http://stjohnsstamford.com/religious-education-012816/
Statement of the Catholic Bishops of Uganda the current...
Kwani kuna shida kupeleka maombi kuombewa? Wengi tu wanaombea viongozi, hata Sangoma na wafuasi wao... bado tinasubiri waraka wa Sangoma kuhusu sirikali na viongozi wake:D:D:D:D:D
Mheshimiwa: Kuna tofauti kati ya Law (Sheria) na Lawyer/Advocate (Mwanasheria)
Labda unielimishe. Ni chama gani kingine cha professionals ambacho kimeanzishwa kwa sheria ya Bunge? e.g madaktari, wahandisi na kadhalika? TLS imenzishwa kwa sheria ya Bunge (The Tanganyika Law Society Act)
Kama ni...
Aslaaam Aleykum waungwana. Mimi nina mpango wa kununua huku ughaibuni vifaa vya ujenzi kama bati, nondo sementi. Je kodi za ke na ushuru wa forodha unakuwaje?
Katika dunia ya sasa hivi, ambako kuna madaktari wasomi wengi, pengine haikuwa busara kumchagua AMO kuwa mganga mkuu wa mkoa. Lakini tukirudi nyuma, kuna AmOs ambao walichanguliwa kwa cheo hicho na kazi yao ilikuwa exemplary. Kwa mfano aliyekuwa Mganga Mkuuu wa mkoa wa Iringa kwa miaka mingi...
I think it is high time Dr Mwakyembe come to terms with his illness. It will help him in the healing process. The symptoms he has, as seen in his pictures, are suggestive of dermatological manifestations of adverse drug reactions such as Stevens-Johnson Syndrome (SJS) or Toxic Epidermal...
Pole mkuu. Maelezo yako ni mafupi kuweza kukupa ushauri mzuri zaidi ya kukushauri ukamwone daktari. Mara nyingi maumivu ya kiuno yanatokana na tatizo la prostatitis, ambayo inaweza kusababishwa na infection kwenye njia ya mkojo au sababu nyingine (non-bacterial). Hima kamwone daktari.
Wamoro kuna vitu muhimu vya kuangalia kama kweli ni gonorrhoea, na kama ni gonorrhoea ni wadudu sugu au la au ni wadudu wa magonjwa mengine. Nakkushauri ukamowone daktari, nina imani kitu cha kwanza atachofanya mi kukuandikia vipimo vya culture and sensitivity(c/s) ya hiyo discharge yako. Majibu...
Semesozi, kifafa cha mimba, au kwa lugha ya kitaalamu preeclampsia/eclampsia ni medical emergency. Nina imani kuwa mkeo sasa hivi atakuwa chini ya observation ya madaktari muda wote. Kama bado basi fanya hima uhakikishe kuwa anapata hiyo attention.
Sidhani kama kuna ushauri wa maana utapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.