Search results

  1. A

    Vurugu za UAMSHO Zanzibar: Polisi auawa kikatili...

    Wacheni ukereketwa huo, kuweni wachambuzi wa mambo halafu m-comment. Sio mnakurupuka tu, hawa uamsho wapo siku zote na hajauliwa askari wala raia. Hebu jiulizeni kwanza kimejiri nini hata haya yanatokea. Sisi tunaoishi Zanzibar siku zote tunasikia kupitia media zenu mnavyouana na tunawaachia...
  2. A

    Chameleon Converts To Islam, Now called ‘Gaddafi’

    Wewe ndie uliyepotea, unapaswa urudi katika dini yako ya maumbile. Mwenzako ameiona nuru. Hakika amepata uongofu. Amechoka ubabaishaji wa kanisa. Mara Yesu Mungu, mara Mwana wa Mungu. Ni vigumu kuingia katika mantiki kwamba mwana awe mungu, mama yake asiwe mungu. Jifunze kuheshimu imani za...
  3. A

    ADHABU KALI: Yagunduliwa Kigamboni

    Adhabu Kali: Kweli ni adhabu lakini inadhalilisha utu. Wafikirie tu hao wanaume waliofanya hivyo, hawaoni kuwa nao wanajikashifu maumbile yao? Pia sidhani kama itasaidia chochote katika kutrekebisha tabia. Tuna haja ya kufikiria zaidi adhabu mbadala.
Back
Top Bottom