Search results

  1. W

    Jerry Muro: From ITV to TBC1

    najuta kuoa mapema kwani ningemwoa joyce mhavile kwani mpaka sasa hajaolewa hana mtoto ,eti ni chakula ya mzee,kama ni chakula ya mzee si amsaidie sasa mbona kila mtu anatimka ITV ,ukiuliza joyce mhavile na hao waliopo wanalalamika jamani mpaka unawaonea huruma jamani kama mna uwezo TBC ipo kwa...
  2. W

    Waziri wa Mkapa amshukia Kikwete ataka CCM imtose 2010

    ndugu zangu hakuna lolote wao walikuwa mawaziri siku za nyuma ndio wameifika hii nchi hapa tulipo ,haya madhara ya sasa ni pamoja na mipango na misingi mibovu ya serekali zilizopita.kwani mambo yalifanywa mengi sana ila ilikuwa sio rahisi kupata taarifa . mfano mzuri kipindi cha mkapa...
  3. W

    Nani Kairoga Tanzania!?

    nimefurahishwa sana na kichwa cha habari ,hii nani kailoga Tanzania,Tanzania haijalogwa ila watu wake wamejiloga wenyewe,Duniani kote 'UMMA' yaani wananchi ni tajiri wa kwanza ,unaweza ukawa billionea lakini kama huna watuutajiri wako ni bure,maana yake ni kuwa wananchi wa Tanzania wanapaswa...
  4. W

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    habari za nyongeza kutoka ndani ya kikao dodoma jamanihakuna jambo ambalo halikuzungumzwa mzindakaya ndie aliependekeza lowassa,rostam waitwe na mjumbe mwingine akasema bila kumsahau membe na speaker . hiovyo sophia katika kujibu hiyo hoja akasema jamani hakuna jambo linaloshangaza kama...
  5. W

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Wakati malumbano mbalimbali yanaendelea kuhusu hoja alizotoa Mh Sophia Simba bado kuna mengi aliyoyasema ambayo bado hayako katika public forum. Hizi ni habari za ndani zilizotujia. Mh Sophia aliwaambia wabunge wa kamati maalumu inayoongozwa na Mzee Ruksa kuwa hii nchi inayumbishwa na watu...
  6. W

    Walioibua ukweli ni waandishi

    Naona wote mmechangia kuhusu milioni 400 - kama zilikuwa na tij au la. Swali muhimu ni kwamba,kwanini walificha vielelezo wakati ule, jambo ambalo lingerahisisha maamuzi yakichukuliwa kwa wakati mmoja na ya uhakika. Issue ni kwamba walitumia pesa za umma and then wakaficha vielelezo vingine...
  7. W

    Kamati Teule ya Richmond ilitumia sh 400 milioni?!!

    Naona wote mmechangia kuhusu milioni 400 - kama zilikuwa na tij au la. Swali muhimu ni kwamba,kwanini walificha vielelezo wakati ule, jambo ambalo lingerahisisha maamuzi yakichukuliwa kwa wakati mmoja na ya uhakika. Issue ni kwamba walitumia pesa za umma and then wakaficha vielelezo vingine...
  8. W

    Kamati Teule ya Richmond ilitumia sh 400 milioni?!!

    Tanzania ni Nchi na sio NGO Kamati ya bunge ya kuchunguza kampuni ya kufua umeme, Richmond, ilitumia kiasi cha shillingi za Tanzania zisizopungua millioni 400. Vyanzo vya uhakika kutoka hazina vimethibitisha kuwa, kiasi hicho kikubwa cha pesa za wakipa kodi zilitumika kwa kusudi la...
Back
Top Bottom