Huyu Ally Kessy ni chizi sasa kama ulaya wanalipiga TV kutaka Tz walipie TV angalau kwanza angepata akili ya kupima uchumi wa UK na TZ, vipi nchi maskini kama Tanzania ambayo ni nchi ya mwisho duniani kwa umaskini umtake raia alipie TV, ivi kweli Ally Kessy amefanya hesabu ya watanzania wa...
Pesa haisemi uongo ccm walijiimarisha sana kule Dodoma kumwaga hela, rushwa za chakula, vinywaji na kila kitu, leo hii mzee huyu anawasaliti wazanzibari yaani huwezi amaini ukichek hii video,
Tundu Lissu ni kichwa sana uchambuzi huu si watanzania wengi wanaoufahamu ndio mana watu wanapigishwa kelele na Kinana tu ukijuwa tulikotoka lazima CCM utaikataa kwa hila zao., Nyerere alikuwa Epidomia
Lukuvi ndio kiongozi wa kundi hilo la Intarahamwe kwa Tanganyika na Asha Bakari ni kiongozi kwa kule Zanzibar, hawawezi kuacha kushonganisha utarahamwe wao hawa mana wanajaza matumbo yao.,
Nikiwa katika pirika zangu asubuhi hii gari la Matangazo la Mkutano wa UKAWA limenipita na Mziki mnene tunataka nchi yetu, tumechoka tumechoka hatuna aajira....., Kesho watakuwa katika viwanja vya Gombani Pemba. Mh. Tundu Lissu, Mbatia na Professor Lipumba watakuwa wageni wa heshima hii ni bab...
Ata JK angejuwa kama wajumbe wa bunge la katiba watakuja kulinganisha takwimu za kuchaguliwa kwake 26% ya Watanzania na akawa Rais wa Tanzania nzima na takuwimu za Warioba kwamba ni takwimu chache kulingana na idadi ya Watanzania nadhan angeliacha hii point akaja akaeupa hii aibu leo iliyomkuta...
Kwaiyo unataka kuniambia Tanzania sasa tumekuwa Wakongo au zile nchi nyengine ambazo tunapeleka majeshi yetu kama kule Dafur kusaidia kupambana na waasi ili zile nchi zao ziwe na amani?. na kwa mfano huo Tanganyika madam ilitusaidia kumuondoa Sultan sasa Tanganyika wana mamlaka na kila kitu...
Kamati ya Maridhiano Zanzibar inayowaunganisha wazanzibari wote bila ya kujali tofauti zao wanafanya kongamano la wazi asubuhi hii ya Jumapili tarehe 06/04/2014 katika ukumbi wa Salama wa hoteli ya Bwawani Zanzibar. Wageni waalikwa katika kongamano hilo ni Makamishna wa Tume ya Mabadiliko ya...
Tanganyika hakuna damu iliyomwagika nchi yenu mulipewa tu, Zanzibar ndio watu walijitoa muhanga kupoteza maisha yao na damu za ndugu zao mpaka kupata uhuru wao, kama Tanganyika itadhoofika wacha idhoofike na ife tu lakini upande wapili hakuna kusimama mpaka kieleweke, iyo theory yako ni ya tokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.