Search results

  1. B

    Baada ya kuhangaika miaka karibu 10 hatimaye Facebook wanataka kuniajiri

    Sio bosi wangu bado - ila umeongea point na nimefuta picha. Sasa hivi napiga kazi na kampuni nzuri sana. Sidhani kama nitajiunga FB maana kampuni yangu iko close kuwa IPO. Nikihama kazi nitakosa mpunga mrefu 😄
  2. B

    Baada ya kuhangaika miaka karibu 10 hatimaye Facebook wanataka kuniajiri

    Nenda fb.com oune ina ku-redirect wapi. Kampuni nyingi wana public web address na private one. Hata kampuni nayofanya kazi tuna public na private. Inasaidia sana kujua kama email inatoka ndani au nje ya kampuni. Maana unaweza kuwa na customers unataka kuwapa email - kwa hiyo utawapa...
  3. B

    Baada ya kuhangaika miaka karibu 10 hatimaye Facebook wanataka kuniajiri

    Huwa wana-search LinkedIn kutafuta engineers. Unaweza kuapply ila mara nyingi wanakutumia email wao. Au kama kuna mtu wa ndani akupe shavu la recommendation.
  4. B

    Kwa kujua coding/programming, unawezaje kutengeneza pesa?

    Anza taratibu. Nenda Upwork | The World’s Work Marketplace for Freelancing au Hire Freelancers & Find Freelance Jobs Online kwa hela ya kuanzia. Unapata projects na ili mradi unamaliza kazi - unalipwa fresh. Kama unajiamini na ujuzi wako, basi fika: Toptal - Hire Freelance Talent from the Top 3%.
  5. B

    Baada ya kuhangaika miaka karibu 10 hatimaye Facebook wanataka kuniajiri

    https://www.facebook.com/business/learn/lessons/earn-money-in-stream-ads-videos
  6. B

    Baada ya kuhangaika miaka karibu 10 hatimaye Facebook wanataka kuniajiri

    Shukrani. Najua kuna matapeli ila this is real. Nimeconfirm maana kuna baadhi ya watu wanafanya kazi huko nawafahamu na wameconfirm kuwa huyu jamaa ni mwenzao. Google hilo jina mwenye utaona linkedin/twitter
  7. B

    Baada ya kuhangaika miaka karibu 10 hatimaye Facebook wanataka kuniajiri

    Nilianzia kujifunza programming mwenyewe hapo dar. Nikapiga kazi online kwa miaka kadhaa (soma baadhi ya posts zangu). Leo asubuhi nimepata hii email.
  8. B

    Kwanini Ma IT bongo sio matajiri?

    Ila Silicon Valley kodi ya nyumba ni kuanzia $4000/mwezi. Kikombe cha kahawa ni $8. Bongo kwa hiyo hela unaishi kama mfalme.
  9. B

    Kwanini Ma IT bongo sio matajiri?

    Ma-IT watanzania wako wengi. Check github ujionee mwenyewe kuwa wabongo wako wengi. Ila kwa kifupi shida ni moja; kama wewe ni software developer mzuri, hauna sababu ya kubaki bongo. Nchi kibao duniani zitakupigania na kukupa visa karibu bure. Nikupe mfano. Nilirudi bongo baada ya kusoma nje...
  10. B

    mashine yangu inachukua mda mrefu kuwaka na hapo mwanzo aikua ivo je nifanyaje

    Computer ni kama mashine nyingine tu. Inafika kipindi inakuwa imezeeka. Kama mashine yako ina umri zaidi ya miaka 4 basi usishangae ikizeeka. Program mpya zinahitaji mashine mpya. Unless haujawahi ku-update hiyo mashine basi usishangae kama itaanza kupungua spidi. Kwa sasa hivi, search for...
  11. B

    Hivi Madini yalitoka wapi?

    Katika vitu vinavyonifanya niwe na aibu ya kuwa mbongo ni faraja yetu katika ujinga. Mtu anafurahia kuambiwa kuwa Mungu ndio sababu ya kila kitu. Kuanzia magonjwa mpaka madini. Kasome Geography kidogo na biology. Kuna vitu ambavyo hata mlei wa kawaida ataelewa tu. Kafungueni vitabu wakubwa...
  12. B

    khaa!hata mbele za watoto natetemeka!!

    Mwana, usiwasikilize baadhi ya vichaa humu ndani. Mimi niko chuo nafanya kazi kwenye research institute maarufu US. Haya mambo sio ajabu. Inaitwa anxiety/panic attack. Soma hapa kwa maelezo zaidi: Panic attack - Wikipedia, the free encyclopedia Mimi ni mtu ambaye nimefaulu vizuri na siku zote...
  13. B

    Hivi Madini yalitoka wapi?

    Madini ni molecules or elements ambazo zimebaki chini ya ardhi kwa miaka kadhaa kutokana na Geological history. Hakuna cha Mungu anapendelea wala nini. Vitu kama almasi ni carbon molecule ambayo ikiwa under intense pressure and temperature inatengeneza almasi. Almasi haina tofauti na graphite au...
  14. B

    Hatimaye Mindi Kasiga aenda kuula Washington Michuzi blog yachomoa picha za tukio baada ya kustuliwa

    Naomba niseme kitu kimoja. Kupata kazi sehemu yoyote duniani inasaidia sana kujua watu. Mimi sina shida na huyu dada kupata kazi hiyo. Shida ni kuwa unapokuwa muajiri inabidi utoe kazi kwa usawa. Ukiwa unamfahamu mtu inasaidia maana walau hakutakuwa na trust issues. Ni sawa sawa na wewe...
  15. B

    Dell inanisumbua

    Kuna mtu kasema hapo juu kuhusu battery life na kuongezea naomba kusema kuwa Latitude D610 ni model ya zamani kidogo kwa hiyo sitashangaa kama battery life yake haitakuwa imekwisha. Nunua mpya tu.
  16. B

    Do Zombies and Vampires Exist?

    They are as real as ghosts.
  17. B

    End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

    Naombeni tuachane na wehu. Hii mambo ya dunia kuisha ni upuuzi. Y2K ilipita bila shida. Solar eclipse watu wakarudia upuuzi huo huo. Rapture ya yule mwehu wa marekani ikaja na kupita. Upuuzi na wapuuzi ni wale wale, wanavaa makanzu tofauti tu.
  18. B

    Hivi kwa nini hili hutokea?

    Kawaida nafikiri madingi huwa hawana muda wa kupoteza na wakwe zao. Mradi unamheshimu yeye hana soo na wewe. Nafikiri akina dada na mama huwa wanatumia muda mwingi na wakwe kwa hiyo wanahitaji mtu atayeelewana nao. Sina experience na kuoa ila nafikiri labda hili linachangia
Back
Top Bottom