Search results

  1. M-mbabe

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    I get your point
  2. M-mbabe

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Sijajua kwa nini Matip hata bench hayupo. Injured au kapumzishwa tu?
  3. M-mbabe

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    I fully concur with you on those 2 gaffers (Diego & Conte). Our best bet though could be Diego. With Conte, the FSG model won't suit him as this gaffer thrives on marquee signings which he'll never get at LFC. There aren't many Klopps out there unfortunately... so I think when he leaves, the...
  4. M-mbabe

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Well said
  5. M-mbabe

    Tanzania ya pili duniani kwa vivutio asilia vya utalii, tulikwama wapi?

    Ya sasa ni ya mapolisi....inaruhusu mapolisi kuwanyang'anya watalii mali zao pale IGP atakapojisikia kufanya hivyo. Ni watalii wenye roho ya paka tu (ambao si wengi kama takwimu zinavyothibitisha) ndiyo wanaoweza kuja katikati ya mazingira kama haya!!
  6. M-mbabe

    Rivers waifunga Enyimba, Yanga nendeni mkatalii tu

    Mpira haupo hivyo ndugu. Wenyewe wanasemaga mpira unadunda. Miaka ileee mlifungwa na Mufurila 4-0 nyumbani lakini mkapindua meza 5-0 ugenini. Msimu ulioisha mlizifunga karibia timu zote kubwa barani Africa but katika ligi ya nyumbani kwenye dimba hilo hilo Vyura wakawanyoeni kidude.
  7. M-mbabe

    Tanzania ya pili duniani kwa vivutio asilia vya utalii, tulikwama wapi?

    Watalii hawaji mpaka demokrasia itakapotamalaki Tanzania. Chungu kumeza but ndiyo ukweli. Watalii hawataongezeka hadi pale katiba mpya itakapoandikwa. Unadhani JK (ambaye alikuwa ana interact sana na watalii wakati ule akiwa rais) alikuwa mjinga kuanzisha mchakato wa katiba mpya?
  8. M-mbabe

    Serikali ya awamu ya tano ilikusanya kodi Trilioni 1.3 kwa mwezi, leo awamu ya sita yakopa fedha hizohizo kutoka IMF kwa matumizi yaleyale

    Serekali ya CCM awamu ya 5 pia ilikuwa ikijinasibu kuwa eti uchumi wetu ni mzuri sana wa viwango vya lami. Serekali ya awamu ya 6 (hii nadhani ni ya Chadema hii) imekuja inatuambia eti hali ya uchumi ni mbaya sana. Bora tuirudishe tena CCM madarakani 2025 tuiondoe hii ya sasa ya Chadema!!
  9. M-mbabe

    Waziri Makamba kaanza vibaya, nahofia atafeli kama wenzie

    Kwa maana nyingine anataka kui micro-manage TANESCO - which is quite ridiculous for a minister! Nakubaliana na maoni yako.
  10. M-mbabe

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Habari ndiyo hiyo kaka!
  11. M-mbabe

    Ole Gunner Solsdier the tactician

    Wewe Manure naona umevurugwa kweli kweli!
  12. M-mbabe

    Dodoma: Polisi wadaiwa kumdhalilisha dereva bodaboda, wamtoboa utumbo

    Waendelee tu kuwazalisha kina Hamza wengine halafu waje wakione cha mtema kuni huko mbeleni dadeki!
  13. M-mbabe

    Kimaendeleo Awamu ya Tano iliinyanyapaa Nyanda za Juu Kusini. Mabalozi EU watembelea

    Ila kwa wakwe zangu Mbeya ndiko alikozidisha kunyanyapaa aisee!
  14. M-mbabe

    James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

    Ningekuwa "wakili msomi", walahi ningejitolea bure kabisa kumsaidia kesi ya kudai fidia huyu baba wa watu!
  15. M-mbabe

    Kesi ya Mbowe na Wenzake: Polisi Wazuia watu kuingia kufuatilia, Mawakili wa Utetezi watoka nje. Kesi yarejea na kuahirishwa mpaka 17 Sept

    2025 CCM LAZIMA out. Iwe kwa heri au shari. Iwe kupitia ballot box au kuvurumishwa kama kina Gaddafi / Saddam! #2025CCMOUT
  16. M-mbabe

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Here is my take (bitter but can safely say nearly factual) based on my observation during the past 2 seasons: A: Take VVD out of our team (even with Klopp at the helm): 1. In the EPL, we'll be relegated into a top 4 dogfight, not title contenders. Even this will be all down to Klopp's magic...
Back
Top Bottom