Search results

  1. K

    5M vs 200M

    Brand Image
  2. K

    Fast Jet kusitisha safari za Dar-Entebe, Dar-Nairobi, Kilimanjaro-Nairobi na Kilimanjaro-Entebe

    Kuanzia December 5 2016 Fastjet hakuna ruti za Dar - Kia na Nairobi pia Entebbe Uganda. Nafasi kwa Air Tanzania hapo.
  3. K

    Airbus A330-200 kutua Kigali 11am

    Noma kweli. Yani hii magazeti tayari yalitosha sio kitu cha kwenda live na maneno mengi saana. Siasa kibao!
  4. K

    Airbus A330-200 kutua Kigali 11am

    ATCL ikizindua kwa shangwe ndege zake mbili Dash400, RwandaAir NATO kupokea ndege yake mpya ya Dollar milioni 200+ http://allafrica.com/stories/201609280161.html Mdogo mdogo tutafika. Ila tungekuwa wapole kidogo na kuacha mbwembwe.
  5. K

    DAR: Askari Polisi wanne wauawa na raia 2 wajeruhiwa, silaha zaporwa!

    Nadhani jeshi la polisi linahitaji mazoezi pia ya kutumia vifaa vyao. Hii ni Sawa kweli? Uzio wa polisi nadhani unatakiwa kuwa umezuia eno tosha na sio kama picha hizi zinavyoosha.
  6. K

    Napata Data kutumia Whatsaap, Sipokei Simu

    Ni HTC. Haina network ya simu
  7. K

    Napata Data kutumia Whatsaap, Sipokei Simu

    Mwenzangu simu yake haipokei wala kupiga au kutuma na kupokea SMS lakini anatumia data kuperuzi na whatsapp.
  8. K

    Kuelekea Juni 16, 2016: Simu feki kizaazaa

    Kesho wana zima network kwa kwenye simu ambazo ni "fake". Mawazo yangu, kwanini TCRA hawakufanya kitu kama majaribio . kuanzia tarehe 1 June kuna majaribio ya kuzima mitambo ila ifikapo tarehe 16 ndio zoezi zima litakuwa limekamilika and no turning back. Sawa wametoa matangazo namba yabl kujua...
  9. K

    Joto la Asubuhi (Hando, PJ na Adela) vs Power Breakfast (Masoud, Fredwaa na Barbara)

    Efm need to be more creative. Unajua kama kina hando ni big names kwenye media za bongo so movement zao lazima ziende na wengi. Kipindi hakiko stable music kila Saa hakuna dialogue na watu wengine Yani kwa kifupi narudi clouds cause of Barbara Hassan. Kipanya hamna kitu. So Efm need to wake and...
  10. K

    Joto la Asubuhi vs Power breakfast

    Jumatatu ya tarehe 2 May ndio utambulisho rasmi wa magwiji wa vipindi vya asubuhi redioni Gerrard Hando aka Mzee Mkuda na Paul James aka PJ wakiwa ndani ya kituo kipya cha E.FM 93.7 Unadhani kati ya kipindi cha Joto la Asubuhi cha E.FM na Power Breakfast cha clouds FM kipindi kipi kupata...
  11. K

    TCRA na simu feki

    Asante kwa usahihisho. Maana yangu ni kuwa simu nimenunua Tigo na sio huawei risiti ni ya Tigo na pia wao kama watoa Huduma za mawasiliano pia wao wanauza bidhaa zake pia. Kwa hiyo simu nimenunua duka la Tigo makao makuu makumbusho. Na Tigo kama Tigo kwa nini wawe na bidhaa feki? Je walio...
  12. K

    TCRA na simu feki

    Simu yangu ya huawei nimenunua kwenye duka la Tigo makao makuu makumbusho. Hivyo nikawa sina wasi wasi kwamba itakuwa feki. Ila jana nikiwa na wenzangu topic hiyo ikaanza. Nikasema yangu haiwezi kuwa feki sababu nimeuziwa na Tigo. Ila baada ya mabishano na kufata maelekezo ya namna ya kujua...
  13. K

    Shocking moment naked woman is found in pit where she had been kept for EIGHT MONTHS by her boyfrien

    Hii ni aibu kwa nchi yetu jamani. Habari kwenye link hiyo nchini Uingereza tayari. ====================== Chanzo: Dailymail.co.uk
  14. K

    UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

    Kuna fake vocha katika huo mradi. Vodacom hawakujua na hapo ndipo tatizo. Kama mtumiaji was Vodacom kuna wakati vocha nyingi za hero zilikuwa tayari zimetumika licha ya kuwa was kwanza kukwangua na kutumia.
  15. K

    Neno "Bongo", Nini maana yake na asili yake?

    Hivi Bongo ni Dar-es-salaam au Bongo ni Tanzania?
  16. K

    Wahudumu wa NMB acheni dharau, kumiliki smartphone isiwe kero

    Ni shida kwa kweli na ni benki nyingi sana sio nmb. Tawi gani hilo ili tuwaweke wazi hao waudumu?
  17. K

    Yuko Live TBC peku peku

    Mama yako nini ndugu?
  18. K

    Yuko Live TBC peku peku

    Kipindi hewani ni ishu ya IMTU mgeni mwalikwa mama amekakaa huku kavua viatu anaongea kama yuko sitting room kwake. Hehehe
  19. K

    Laki 4 kwa siku!

    Nimeskia leo kuwa Makatibu Wakuu na wakurugenzi wa wizara nchini hupewa laki 4 kwa siku kwa ajili ya magari yao. Kuna makatibu na wakurugenzi wangapi?
Back
Top Bottom