Search results

  1. S

    Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

    Naomba nikupe kakangu upoozee machungu
  2. S

    Ommy Dimpoz afunguka juu ya madai ya wengi kuwa kavaa viatu vya kike

    Hujui kuna gay wanaingia maduka ya kiume? Waliwekewa wao. Huo mkato wa pembeni ni vya kike.
  3. S

    Hii Ndiyo Nyumba Ya Milioni 100 Ya Madee Wa TIP TOP

    Hahahah ila madame aliokota wengi .
  4. S

    Kajala na Clement Mambo Hadharani

    Ebwana nimeshindwa mie.
  5. S

    Kajala na Clement Mambo Hadharani

    Nikweli au umbeya tu? Maana with kwa kutunga na ikaonekana kweli hatujambo.
  6. S

    Kajala na Clement Mambo Hadharani

    Du samahani screen touch ni shida
  7. S

    Kajala na Clement Mambo Hadharani

    Yani sijaelewa kitu yote umbeya tu. Ushahidi UK wapi kuwa kajala yupo name ck? Wekeni picha siyo kuweka ya kajala pekeyake. Ushahidi no UPI?
  8. S

    Le Mtuz this is Too Low for You

    Unaoa lini Lemutuz
  9. S

    JamiiForums imenipatia mke mwema

    Hongera kaka maana huvyo atakuwa wako wako tu hakuna mchepuko...
  10. S

    Simuelewi wifi yangu

    We bidada visa hivyo. Angeanza kuchangamka kuingia jikoni ungenuna na kumsusia jiko. "maana waswahili jiko linawauma sana.Tena huyo anaheshima na ustaarabu, ni kwa kakayake lakini kawa mgeni hataki makuu. Hamkawii kuanza kuchonanisha MTU name kakake nyie.
  11. S

    Kununua gari kwa mkopo niende wapi Dar?

    Toa no ya cm mkuu. Mambo ya email tena?
  12. S

    Ki Ukweli Wema Sepetu anapendeza Sana Asipo Vaa Wigi!

    Ila kazeeka jamani! Kuna moja ktk kipindi chake katoka kulala tena mchana tu anakipara du!madam kazeeka! Je akiamka asubuh inakuwaje?
  13. S

    Ki Ukweli Wema Sepetu anapendeza Sana Asipo Vaa Wigi!

    Duh!! Kumbe uzuri wa mwanamke kweli ni nywele mazee
  14. S

    Mwaka wa Saba tangu Nimalize chuo Sina Kazi

    Pole sana dadangu. Hilo ni janga. Mimi nilikaa 8 yrs .. nikaamia kuja kbeba box tu namshukuru Mungu si haba. Niliona nitazeeka bila kazi.
  15. S

    Hali ya maisha ulaya na marekani ni ngumu

    Sizitaki mbichi hizi....
  16. S

    Hali ya maisha ulaya na marekani ni ngumu

    Mtakalia kuvaa suti na tai huku mnapata vicent kiduchu then matibabu ya kuunga unga , elimu ya Sinai shida kisa ulaya halingumu. Maisha popote, na ni jinsi mtu unavyoyachukulia na malengo yako. Ulaya hakuna longo longo wala mishen toun.. waliozoea short cut za bongo na ujanja ujanja lazma wakimbie.
  17. S

    Kwanini wanawake wanatofautiana sana ladha?

    Subiri wenye akili na mawazo kama yako waje.
  18. S

    Nimemfumania mke wa rafiki yangu na ameniingizia zaidi ya 1,200,000/= kwa njia ya M-PESA

    Yani nyamza..tena unyamaze tu. Mwisho wa yote we ndo utaonekana mchawi wa ndoa yao..
  19. S

    Nyumba inauzwa millioni miambili tu

    Hii hata mia hupati mtu. Hapo ni kiwanja. Labda saana 50
Back
Top Bottom