Search results

  1. L

    Kwenu akina kaka wenye kutaka mapenzi ya kweli

    Aisee mekuu, umenena!!! I couldn't have put it better myself na ukweli ndo huo; wanawake wanatafuta wanaume who can "protect" them, wanaume wanatafuta wanawake who can "look after" them na wote wanatafuta better genes.
  2. L

    Kwenu akina kaka wenye kutaka mapenzi ya kweli

    MTM naomba uniwie radhi, it was a slip of ze vidolez. Uzee huu!! Haya jamani kuhusu hii romantic love maana ni field nyingine ambayo imepewa reputation of being "opportunistic love" hapa. Kama tunaongelea kuhusu mapenzi ya kweli kati ya mwanamke na mwanamume, nadhani ni safe ku assume romance...
  3. L

    Hivi mkoje nyie?...!

    Hahahaaa!! Pole sana kaka! Mi ninavyo hisi huyo mkeo anataka attention tu. Mbembeleze bembeleze, mtanie tanie, mtekenye kama necessary. Akianza kuleta za kuletwa mwambie, "switi ukinuna unapendeza wewe, hadi natamani ........" jaza unavyoona fit mwenyewe. Au jidai kama huja notice kama amenuna...
  4. L

    why r u so Obbsessed with me

    Aaaaa vibaya hivyo jameni. Taratibu Geoff, mbona hivyo lakini?
  5. L

    sumu ya ndoa ni ...

    Sumu ya ndoa ni kuchoka kuvumiliana
  6. L

    The world is not fair at all, (Soma Hii)

    Kwa kweli!!! Why is it not fair in this case? The guy worked for his money so it doesn't get any fairer than that. What is not fair is our wealthy politicians getting vitambis and magari manne in their big ass garages from money that's not theirs (za walipa ushuru na za misaada ya kutoka huko...
  7. L

    Kwenu akina kaka wenye kutaka mapenzi ya kweli

    TMT, nitamuachia VC akujibu mwenyewe in her own time so I'm not attempting kukujibu ila ni mchango wangu tu; Kwanza kabisa, unakubali kwamba there's no free lunch? In order to get something, you need to do something, au siyo? In this very complicated topic of "true love" nahisi the same rule...
  8. L

    Kwenu akina kaka wenye kutaka mapenzi ya kweli

    Dukaadeki! I love the umoja here lakini swali Chrispin: mtachangia hadi lini?
  9. L

    Mawifi jamani, hivi wana nini?

    Aisee Pretty pole sana. Wifi yako seems to be one of those ppl wasiokuwa na satistying lives of their own. Ushauri wangu kwako; mpigie hilo goti whenever you see her (kama hamuonani often) au you will never hear the end of it. Ukiona yanakushinda, njoo kwetu Kili, ;p
Back
Top Bottom