Search results

  1. W

    Red Brigade: Kikundi cha mauaji, watekaji, wamwagia sumu na "nchi kutotawalika"

    Kama ni Ujinga na kutokuwa na uwezo wa kufikiri basi wafuasi wa CDM wanaongoza. Jengeni HOJA na siyo matusi.
  2. W

    Mbunge wa CCM atangaza mapema kupinga bajeti

    Hongera Kijana naona "Kivuli" cha kuota kuwa Naibu Waziri wa Fedha kinakutesa Pole sana Kijana. Uwaziri hautafutwi kwa namna hiyo na ile Suit uliyoishona kwa ajili ya kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Fedha wewe endelea kuivaa wala usione aibu. Sasa ulitaka kuwa Naibu Waziri wa Fedha ukafanye...
  3. W

    Mlipuko wa Bomu Arusha: Watu watatu wafuatao ni lazima wahojiwe kwa sababu zifuatazo...

    Daktari Slaa [Mpora Wake wa watu na mchukua pesa za chama kwa njia ya kujikopesha] aliwahi kusema zaidi ya mara moja kwamba CDM watahakikisha Nchi hii haitawaliki nadhani na yeye awe miongoni mwa watu wanaopaswa kuhojiwa.
  4. W

    Sera za Majimbo ni za Lazima! Asiyetaka ahame Nchi!

    Hivi mnaojadili kwa kusema U.S.A imefanikiwa kwa kuwa na Majimbo mbona mnashindwa kutumia uwezo wenu kutafakali? Unaweza kweli kulinganisha Tanzania na U.S.A? Taaluma ya Ulinganifu inasema linganisha vitu vinavyoweza kulinganishwa. Tanzana Kenya na Count zao hadi sasa wameshindwa kuafikiana...
  5. W

    Sera ya kubeba wanawake ni mzigo kwa taifa: HAISAIDII TAIFA

    kuna wakati napata shida sana kuamini kwamba Jamii Forums ni Great Thinker kwa aina ya watu wanaochangia Mijadala humo hawaoneshi kwamba wanauwezo wa kufikili. Nadhani Jamii Forums kwa sasa iitwe Lower Thinker kwa aina ya watu wanaochangia na aina ya Mijadala inayoendelea.
  6. W

    Wanasiasa na viongozi wa Zanzibar-msifanye visiwa kuwa kama hospitali ya vichaa,kila kichaa mjuaji

    Sikuwahi kuifahamu zanzibar na hasa wananchi wake lakini nimepata bahati ya kujifunza mambo yafuatayo kutoka kwa wazanzibar 1. Ni wajinga wasiokuwa na uwezo wa kufikiri wala kutafakari- kutoka na ujinga wao wanaamini kila wanachoambiwa na viongozi wao kiasi kwamba hata kama wanaambiwa ingie...
  7. W

    Nchimbi na Mwema Wang'oke... hata Vuai?

    Suala siyo Nchimbi, Mwema na Nahodha kung'oka unamuachaje yule jamaa anafunga mustachi Othman Rashid? Hebu jiulize hivi kweli Usalama wa Taifa upo kazini au nao umekaa kuiba mali za nchi na kununua magari na kujenga maghorofa ukihoji unaambiwa suala la Usalama wa Taifa haihojiwi. Utaacha kuhoji...
  8. W

    Dr Slaa: Mtwara wamepuuzwa!

    Dr.m Slaa siwezi kumshangaa kwa kauli yake hiyo. Lakini NAMLAUMU SANA JK KWA "UJINGA" WAKE WA KUDHANI KILA KITU NI KAULI INAYOPITA AU NI UPEPO UNAPEPEA NA UTAPITA. MARA BAADA YA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2010. DR. SLAA ALIKUWA ANATOA KAULI NYINGI ZA KULETA UCHOCHEZI MOJA YA KAULI HIYO...
  9. W

    Waheshimiwa Kangi Lugola, Deo Filikunjobe na Mpina karibuni Upinzani

    Kamanda wa Ufisadi nani? Mpina au Filikunjombe? Ngoja wewe Bwana mdogo Filikunjombe anaweweseka na mwaka 2015 kwa sababu anajua hana chake pale kwani Mheshimiwa Pindi Chana kamkalia kooni ndo maana anajifanya kuisema CCM ili baadae akikosa kupitishwa kwenye kura ya maoni kwa kupigwa chini na...
  10. W

    Kwa hili, Dr. Slaa wewe ni 'Mdini' pia!

    Kwa kweli yote haya ninamlaumu jk kwa kuwa mkimya sana kwa sababu hawezi kuchukua hatua watu kama hawa. Alichotakiwa ni kuwakamata watu kama hawa na kuwaweka ndani kwa muda usiojulikana
  11. W

    Ukimya wa prof baregu juu ya mchakato wa katiba

    Hilo ndilo tatizo kuuubwaaa sana. Baregu alipendekezwa na CHADEMA kuwa mmoja wa wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba. Hakwenda wala hakuteuliwa ili aweze kuwa msemaji wa CDM kwenye Tume au hakuteuliwa ili aweze kuipa taarifa CDM kwa kila kinachoendelea pale TUME. na kama angetoa taarifa...
  12. W

    Sakata la Kutishiwa Maisha: Jukwaa la Katiba Wasakwa na Polisi...

    Jamani wanabidii hebu tuwe Great Thinker kweli. Jana Afisa wa Upelelezi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni alihojiwa na chombo kimoja cha habari akasema ni kweli wamepata taarifa kuwa Maafisa wa Jukwaa la Katiba wametishiwa maisha kwa kutekwa. Kamanda huyo wa Upelelezi wa Mkoa wa Kipolisi wa...
  13. W

    Juma Nkamia: Nazungumza na Mwenye Mbwa sio Mbwa!

    Sugu a.k.a mbwa alisema juzi kuwa Serikali Pumbavu mlikaa kimya sasa leo anaambiwa CCM haisemi na Mbwa inasema na mwenye Mbwa amnaona ajabu? Vipi Mkuki kwa Nguruwe eti? Kaeni kimya LAKINI nawaambia sasa NGO ya Mzee Mtei [CHADEMA] inakufa na pesa za kila mwezi zitakauka.
  14. W

    Full Text: Hotuba ya Kambi ya Upinzani Bajeti 2013/2014 iliyosomwa na Freeman Mbowe

    Kwa nini post zangu huwa hamziweki? tatizo ni kitu gani au kwa kuwa ninawachana watu wenu?
  15. W

    Full Text: Hotuba ya Kambi ya Upinzani Bajeti 2013/2014 iliyosomwa na Freeman Mbowe

    Kuna tatizo kubwa. Vyama vya Siasa kwa ujumla wake vinatumia Ujinga wa Tanzania kusema mambo ambayo ni ya Hovyo hovyo. Nitandika kuhusu Mabaraza ya Katiba na utendaji wake wa kazi kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba sura ya 83 ya 2012 kisha mlinganisha ni hicho alichokisema Mhe. Mbowe...
  16. W

    Nimeamua kujiunga na wapigania ukombozi wa CHADEMA baada ya kutafakari kwa kina!

    Hivi Post yangu mbona siioni humu. Mratibu vipi au kwa kuwa nimevisema vyama vyako acha hizo
  17. W

    Nimeamua kujiunga na wapigania ukombozi wa CHADEMA baada ya kutafakari kwa kina!

    Mchungaji Mzee wa Upako Antony Lusekelo anasema Nanukuu: "MAAMUZI YA MTU ALIYEKA TAMAA NI MAAMUZI HATARI SANA KWAKE, KWA FAMILIA YAKE, TAIFA LAKE NA ULIMWENGU KWA UJUMLA" Ni kweli Ukiona mtu amechukua waya au kamba anajitundika ujue amekata tamaa Ukiona mtu anachukua Bunduki na kuanza...
  18. W

    Lwakatare, Ludovick wafikishwa mahakamani Kisutu

    Mara nyingi huwa sipendi kuandika huwa napenda sana kuwa msomaji na msikilizaji. Lakini leo ngoja niandike kidogo. Kwa mtazamo wangu, narudia kwa mtazamo wangu mtu yeyote mwenye udhaifu katika kitu chochote huwa anatumia mbinu nyingi sana za kujenga woga kwa wanaomzunguka au anaowaongoza ili...
  19. W

    CHADEMA mmejifunza nini kwenye mkutano wenu Temeke

    hao ndo chadema mabingwa wa matusi sasa hapo maana yake nini? Chama cha chadema kinaongoza kwa matusi ni chama kinachoongoza kwa kutotaka kukosolewa wala kuambiwa tatizo lao ni chama ambacho kwa kweli kimejaa wajinga wengi wanaohitaji kuelimiswa [ujinga siyo tusi hapa mfahamu maana wengi mtaanza...
  20. W

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    Haya yote kayafikisha yeye hapa kutoafanya maamuzi na kusikiza majungu tu na kutoachukua hatua. Kila Kitu Pinda nenda. Lakini pia si mnazijua "SHOKABZOBA" kazi yake ni nini? enhee. ni kufanya aliyekaa kwenye Gari kupata starehe na asiumie wakati Gari linatembea. Lakini Gari likijaa kupita...
Back
Top Bottom