Search results

  1. Stanley Mitchell

    Bandari waanza kuita watu kuripoti kazini

    Ila ndo ukweli huo...mchakato ulikua fair sana.....truth be told
  2. Stanley Mitchell

    Sekretarieti ya ajira mmekubali kuwa loop hole ya urasimu wa ajira?

    Jamaa una hasira hatari ...si wewe juzi ndo ulisema umewahukumu PSPR kua hawana upendeleo??
  3. Stanley Mitchell

    Sekretarieti ya ajira mmekubali kuwa loop hole ya urasimu wa ajira?

    Hamna uhuni Mkuu....nakuambia kwa uhakika wa 100% waliopata kazi TPA ni wale wale waliokuepo kwenye oral. Kapikwe nyungu Mkuu inaweza kua tatizo ni nyota au kuna mtu kakujambia!
  4. Stanley Mitchell

    Sekretarieti ya ajira mmekubali kuwa loop hole ya urasimu wa ajira?

    Tatizo nyota Mkuu ila Utumishi wanajitahidi sana. Jaribu tena bahati yako. Pia sio lazima uende BOT hata MKURABITA nayo ni taasisi?
  5. Stanley Mitchell

    Sekretarieti ya ajira mmekubali kuwa loop hole ya urasimu wa ajira?

    Ulikua kilaza sana yani una majibu lakini bado unafeli! We hata kazi hutakiwi kupata kwakweli! Afu hujui kutunza siri eti?
  6. Stanley Mitchell

    Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

    Atakua wa Mkoa huyu kaja Dar basi anajiona maisha ndo mule mule kayapatia...hawa ndo wale wanawahau wazazi wao kule shamba alipozaliwa
  7. Stanley Mitchell

    Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

    Za nje kvp? Mana naskia take hom ni 750k o less
  8. Stanley Mitchell

    Ushauri wa bure kwa mliokosa kazi TRA

    TBA wakala si njaa tupu??
  9. Stanley Mitchell

    Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza kukagua ndege

    Iyo inaitwa "Mtumikie kafiri style"
  10. Stanley Mitchell

    Magreth Kobelo Gonzaga anayetafutwa na TAKUKURU kwa kukimbia kesi ni nani?

    Hahah una mjukuu anasoma Gonzaga kigogo nini?
  11. Stanley Mitchell

    Miaka inakata niliosoma nao from primary to University wengi wametoboa kimaisha mi bado nasota,najiuliza Nakosea wapi?

    I refuse to answer this on the ground that the answer may incriminate me....... Mana unajua anything you say can and will be used against you!
  12. Stanley Mitchell

    Kwanini baadhi ya ajira za mashirika ya umma michakato yake haipitii utumishi?

    Unaona alivo mwehu...kisa alikua hajaitwa basi mchakato haukua fair. Ila sasa hivi ameitwa basi mchakato ulikua fair. Selfish!!
  13. Stanley Mitchell

    Kwanini baadhi ya ajira za mashirika ya umma michakato yake haipitii utumishi?

    Kwa kawaida mnapigiwa simu na kuitwa kazini ndo ishu za majina zinafata.... Ila amini maneno yangu waliopigiwa simu na kuitwa TPA ni wale wale waliokua kwenye oral... Yani Utumishi walivomaliza kazi yao wakawapa majina TPA na TPA ndo wanaamua kuwaita lini na wapi! Sasa utawalaumuje TPA hapo...
  14. Stanley Mitchell

    Kwanini baadhi ya ajira za mashirika ya umma michakato yake haipitii utumishi?

    Umepigwa KO ujue hapo..... Hujapigiwa simu kwakua umefeli waliopita usaili wamepigiwa mjomba. Jaribu tena. Watu walioitwa kazini ni wale waliokua utumishi
Back
Top Bottom