Search results

  1. mtuwatu

    Elections 2010 CONFIRMED: Lema atangazwa rasmi kuwa mbunge wa Arusha mjini

    Kiti cha Ubunge cha Arusha Mjini kimeenda CHADEMA - source ITV live now now!
  2. mtuwatu

    Elections 2010 Dr Slaa, tafadhali toeni tamko kuhusu ufisadi wa kupindukia unaofanywa na NEC

    Hivi kwanini wananchi tusigome tukawasusia nchi hao CCM tuone watamtawala nani?
  3. mtuwatu

    Elections 2010 Tarime yaangukia CCM

    Tarime,,haiwezekani - full kuchakachua - ccm hawa,michezo michafu wataacha lini!!?
  4. mtuwatu

    Elections 2010 Jimbo la Mwanga - Kilimanjaro CCM wamachukua jimbo

    Wapare,wapare wapare why why wapare!!
  5. mtuwatu

    Elections 2010 CUF wafanya unyama Tandahimba!

    Hivi watu wakidai demokrasia kutawala ni kosa!?
  6. mtuwatu

    Elections 2010 Hali ya baadaye ya dr. Slaa kisiasa.

    Acheni mbwera mbwera,Dr.Slaa ni Rais wetu mtarajiwa!
  7. mtuwatu

    Kitabu cha Wangwe chaanika ukweli tunaotakiwa kuujua

    Hapa sasa kazi ipo wandugu! Nami nilikua Tarime kipindi chote cha waraka huu na hadi kifo cha jamaa kilivyohusishwa na CHADEMA
  8. mtuwatu

    Je ni kweli dawa ya ukimwi imegundulika?

    Kwanza karibu kwenye mkeka! swali lako zuri sana,dawa ipo na imepatikana ila nadhani sio kwa ambao madhara yameshaanza kujitokeza!! kumbuka tu,kila ugonjwa una dawa yake ila watu wanaendelea kufa!
  9. mtuwatu

    Dr. Slaa si wa CHADEMA

    Jamaani, Hivi slaa anao ulinzi wa kutosha jamaani maana hao mavuvuzela wa CCM kupotezana washazoea,watamtafuta kwa ndumba wakishindwa watamtungua kwasababu wameshaogopa na wanajua mimi na wewe na watanzania wote tumechoka CCM! Dr.Slaa ni msomi. Dr.Kikwete hata hafananii wala hilo jina na DR...
  10. mtuwatu

    Elections 2010 'Prof. Maji Marefu' ashinda kura za maoni huko Korogwe - Sipati picha huko Bungeni!

    hadi mipasho nayo iingie Bungeni,ama kweli CCM wametuona sisi watanzania ni wendawazimu! Na mwaka huu hawatausahau milele!
  11. mtuwatu

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    Haha kauli za JK ni za kisiasa zaidi jamaani wandugu wapendwa!! Tanzania ni nchi tajiri ya kwanza kutoka mwisho.
  12. mtuwatu

    Maandalizi ya Ufisadi Mkubwa 2010/11wa hadi 100 Billioni

    Duh, Bongo inatisha jamaani,kila siku kuna jambo linaloshangaza ulimwengu - Mungu tusaidie sisi na watoto wetu,Amen.
  13. mtuwatu

    Msiba Los Angeles - Mtanzania aliyepotea LA, akutwa amekufa!

    Duh, Rip Caroline, wandugu watanzania wenzangu mliopo marekani au nje ya marekani - Hay kwa wenzetu wamarekani si mageni,mtu awezamua mkewe hata miaka saba baadae ndo ikajulikana au mtoto wake miaka kadhaa ndo ikjulikana na hii yote ni kwasababu ya lifestyle ya wenzetu!! Tujipe moyo kwamba hili...
  14. mtuwatu

    why men?????

    Hapa mie darasa limenishinda !!
  15. mtuwatu

    Kenya Seeks Diplomatic End To Ivory Sale Row With Tanzania

    Jamaani,leteni habari - Bunge limepitisha hii itifaki yao!!???? Eeh, jamaani watanzania huruma inaniingia sana sijui watoto wetu tutawajibu nini hili likipita!!!!! Nakumbuka tume ya makame kuhusu hili jambo la EAC hapa zanzibar sisi vijana wote tulikataa kwamba bado hatujawa tayari inakuaje...
Back
Top Bottom