Search results

  1. C

    Baada ya EU, Serikali ya Marekani nayo yaugeukia utawala wa Rais Magufuli

    Hapa makalio yamefikiri sio ubongo
  2. C

    Rais Duterte aagiza vikosi vya Marekani kuondoka

    Shida ya marekani ni kuhakikisha Nchi ndogondogo haziendelei ili aendelee kuwa mbabe anachokifanya ni kuanzisha machafuko kila kona ya dunia. Kwa mfano marekani ilihusika kwenye mapinduzi ya kijeshi yaliyoshindwa uturuki baada ya rais wa uturuki kuiomba msamaha urusi kila anachokifanya anataka...
  3. C

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Kwanini kila siku richmond wakati kuna watu wameiba mpaka mnyama anayetembea lakini hatuoni wakishambuliwa? Lowassa kaza buti hizo ni siasa za maji taka watu wamepiga noti mpaka kwemye bvr hatusemi. Lowassa ingia ikulu urekebishe nchi yetu inayonuka rushwa na ofisi za serikali zimekuwa...
  4. C

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Lowassa ndiye kiongozi pekee ccm anayejiamini akifuatiwa na kinana hao wengine ni vibaraka wa watu wengine wanataka wawekwe kwa mgongo wa baba wa taifa wengine sera yao ni ufisadi hivi mtu mwenye njaa unapomwambia sera yako ni ufisadi itamsaidia nini? Mm nadhani huu ni wakati wa kutafakari kwa...
  5. C

    Maswali kumi kwa Edward Lowassa na Wafuasi wake

    Kweli wewe ni profesa kilaza kama umezaliwa maskini wewe huna kitu na baba hana kitu ni kumwomba mungu akusaidie ufanikiwe na sio kumwonea mtu wivu kuna watu wengi wenye pesa nyingi nchi hii ni mafisadi????????? Ndesamburo,mbowe,reginald mengi,manjin rostam na wengine ni wezi???????????? Na pia...
  6. C

    Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    CHADEMA kwisha wacha wafu wawazike wafu wake sitaki tena kusikia chadema nimekua disappointed sana
  7. C

    Kinana akutana na viongozi wa wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu mkoani Dodoma

    Hawa sio vijana wa chuo vyuo vya elimu ya juu ni vijana wa ccm hawa matapeli pamoja na kinana tapeli naye
  8. C

    Je Kikwete atamtoa sadaka Pinda kama alivyofanya kwa Lowassa?

    Jamani huyu pinda ni nani? Hafai kabisa ni mwoga na king'ang'anizi wa madaraka ana kashfa kibao zimetokea akiwepo bila kufanya chochote escro, operation tokomeza ujangili, wanyama kusafirishwa nje wakiwa hai sasa utaniambia nini kuhusu pinda nikuelewe? Jiji linaingia panya road waziri mkuu...
  9. C

    Udhaifu wa Pinda ni uhodari wa Lowassa?

    Mm nakubali asilimia mia lowassa anweza kuongoza hii nchi japo ana kashfa ila ni mchapakazi wa kweli. Shutuma za kipuuzi zisitunyime kiongozi bora
  10. C

    Lowassa ashitukiwa kuhusu matumizi mabaya ya Picha anazopiga na Viongozi

    Jamani kiukweli mm sio ccm ila kiutendaji lowassa ni bora kuliko wote ndani ya hiyo ccm anafuatiwa na magufuli wengine sifuri hakuna kitu lamda upinzani
  11. C

    Sijawahi sikia skendo yoyote inayomhusu Dr. Shein. Je, anafaa kuwa Rais?

    Mtoa maada kumbuka hii nchi sio ya kiislam think twice maybe 2025
  12. C

    Hivi ndivyo ninavyomfahamu Edward Lowassa; wewe je?

    Sijawahi kuona kiazi kama wewe na sidhani kama wewe ni mtanzania huwezi mdharau lowassa kiasi hicho kwa sababu kuna mema kafanya pia mm nilidhani utatuorodheshea na mema aliyoyafanya. Mm binafsi ni msomi mzuri wa chuo kikuu cha dar es salaam napinga vikali siasa za kuchafuana ambazo hazina faida...
  13. C

    Kadi za chadema

    Wapuuuzi tuuuuuuuuu
  14. C

    Utafiti mpya: Lowassa aongoza tena mbio za urais

    Mnaomfananisha pinda na lowassa ni sawa na kufananisha kumbikumbi na kunguru pinda hana ubavu kwa lowassa hata kidogo akalime vitunguuuuuu
  15. C

    Lowassa na falsafa ya maji kwenye pakacha

    Mm sina shaka na lowassa hata kidogo japo mm ni mpinzani lakini lawassa ni jembe sana CCM hakuna mwenye uwezo wake hata robo! Ukimya wake ni ishara nzito sana kwa taifa kwa sababu uwizi upo taasisi kubwa sana nadhani anaomba mungu muda ufike afanye yake nchi inanuka! CCM mti wenye matunda ndio...
  16. C

    Lowassa na falsafa ya maji kwenye pakacha

    Mm sina shaka na lowassa hata kidogo japo mm ni mpinzani lakini lawassa ni jembe sana CCM hakuna mwenye uwezo wake hata robo! Ukimya wake ni ishara nzito sana kwa taifa kwa sababu uwizi upo taasisi kubwa sana nadhani anaomba mungu muda ufike afanye yake nchi inanuka! CCM mti wenye matunda ndio...
  17. C

    Warioba ngangari, aapa kufia maoni ya Tume yake. Asema anasubiri barua ya CCM

    Upo sahihi ila mm binafsi namwomba mzee warioba awe makini sana na vifaa vitakavyotumika kumuhoji asimwamini mtu yeyote na yeye binafsi aamini kuwa ni adui namba moja wa CCM akiyatimiza haya atasalimika! Narudia tena awe makini sana na CCM
Back
Top Bottom