Search results

  1. K

    Tuaminio biblia, msaada kwenye tuta tafadhali naumbuka

    Kwahyo hata sasa kuna magharika ya maji sehemu nyingi ila viumbe wa majini au waishio kwenye maji hawawezi kudhurika kwa kuongezeka kwa maji....
  2. K

    Tuaminio biblia, msaada kwenye tuta tafadhali naumbuka

    Simple logic: viumbe wa majini hawadhuriki na mvua, kwahyo gharika liliwaathiri viumbe waishio nchi kavu... Mfano mdogo tu wa mafuriko ya kawaida, Samaki hawafi kwa maji kuongezeka, wanakufa kwa kukosekana maji... Hata sasa mvua zinanyesha baharini ambapo Samaki wa maji chumvi wanaishi
  3. K

    Je, serikali hutoza kodi 18% ya faida au ya mauzo?

    Ok nakuchukua taratibu 80,000 ndani yake ina VAT so tuitafute hiyo VAT VAT ndani ya 80,000 ni 12,203 Hii 12,203 ndo VAT uliyolipa wewe wakati unanunua bidhaa. Kwahyo gharama halisi ya bidhaa uliyonunua ni 80,000 - 12,203 = 67,797 kama ingekuwa haijadaiwa VAT Kwa wewe kuuza 100,000 VAT uliyo...
  4. K

    Je, serikali hutoza kodi 18% ya faida au ya mauzo?

    Kupitia mfano wako, kama umenunua bidhaa kwa 80,000 ambayo ni VAT inclusive na umeuza kwa 100,000 ambayo ni VAT inclusive then VAT unayopaswa kulipa itatokana na tofauti ya bei ya kuuzia na kununulia ambayo ni 18% ya 20,000 VAT ni Value Added Tax, kwahiyo kutokana na biashara yako, umeongeza...
  5. K

    Ajira Kwanza Vs Elimu Kwanza!

    Kigwangala sema yakwako bila kumtaja mgombea mwenzako! Ongea utatufanyia nini na hizo sera au maono uliyonayo. Hapa utasababisha mjadala uwe wa Lowasa badala ya kuwa wa sera zako! Jiongelee wewe na sera zako
  6. K

    Anna Makinda umepewa ticket ya kugombea Urais

    Madame Speaker tangaza nia! Umeweka mark kwenye siasa za Tanzania!
  7. K

    Anna Makinda umepewa ticket ya kugombea Urais

    Kwanza alishasema hata gombea tena ubunge, kilichobaki no Urais! Awabwage mafisadi apate credit kwa wananchi for the rest of her life na kama ata aspire kugombea Urais ataweka changamoto mpya kwenye kinyang'anyiro cha urais
  8. K

    Anna Makinda umepewa ticket ya kugombea Urais

    Siasa ni upepo wa uelekeo wa watu kwa kipindi cha uchaguzi! Uchaguzi umekaribia, Anna Makinda amepata fursa ya kupigania the highest office in the country, kwa uamuzi wake wa kesho! As a politician namshauri a take chances...
  9. K

    Anna Makinda umepewa ticket ya kugombea Urais

    Kutokana na vuguvugu la IPTL linaloendelea bungeni na mahakamani, fursa ya pekee imejitokeza kwa Madame Speaker, Anna Makinda kujipatia tiketi rahisi ya kuingia kwenye kinyang'anyiro cha Urais akiwa na support kubwa sana ya wananchi. Shutuma zote alizonazo za kushindwa kuliongoza Bunge kwa...
  10. K

    The vatican changing tone on homesexuality?!

    Vatican imeruhusu mazungumzo ya kujadili ushoga! Hilo suala lilikuwa haliongelewi! Na sio kwamba wamekubali ushoga! Papa ameruhusu huo mjadala, na sio kwamba wanaongelea ushoga pekee, ameruhusu majadiliano yahusuyo talaka, na changamoto za familia ya sasa kwa ujumla wake
  11. K

    Chaguo la Serikali mbili mbele kuna Giza nene

    Mkuu Mkandara umeliongelea vizuri sana hili suala la serikali ngapi! Kwamba tuna undugu wa damu na Wazanzibari, ambapo kuuvunja Muungano sio hoja kwa wajumbe takribani wote. Ila wanatafuta muundo mzuri wa serikali. Serikali mbili haiwezekan kwasasa kutokana na uwepo wa Katiba ya Zanzibar...
  12. K

    Chaguo la Serikali mbili mbele kuna Giza nene

    Candid Scope, kwa mantiki hiyo wajumbe wa Zanzibar wanataka kuunga mkono serikali mbili?! Uwepo wa serikali mbili unaturudisha tulipotoka, hasa kama katiba ya Zanzibar haitafanyiwa mabadiliko. Kwasasa sidhani kama kuidai Tanganyika kunaepukika, hasa kama Zanzibari hawataki kusurrender nchi...
  13. K

    Chaguo la Serikali mbili mbele kuna Giza nene

    Nguruvi3 Asante kwa kuweka record sawasawa! Serikali mbili itaua Muungano, kama nia ni kuboresha Muungano, then tunapaswa kuwa na serikali 3 au 1 Nauona mwisho wa CCM katika siasa za Tanzania unakaribia...
  14. K

    Chaguo la Serikali mbili mbele kuna Giza nene

    Nimekuwa kimya nikisikiliza kila wadau wanapotoa na kujenga hoja zao za ama serikali mbili au serikali tatu; binafsi nakosa mantiki ya nini hasa wanachokitaka kutokana na hizo serikali; ila kama wote tunalenga kuuimarisha Muungano na kuijenga Tanzania iliyo bora zaidi na yenye mshikamano...
  15. K

    Chaguo la Serikali mbili mbele kuna Giza nene

    Nimekuwa kimya nikisikiliza kila wadau wanapotoa na kujenga hoja zao za ama serikali mbili au serikali tatu; binafsi nakosa mantiki ya nini hasa makundi haya yanachopigania; ila kama wote tunalenga kuuimarisha Muungano na kuijenga Tanzania iliyo bora zaidi na yenye mshikamano, nadhani sote tuko...
  16. K

    TERRORISM in East Africa: The Tanzanian Experience by Mohamed Said

    Mohamed Said, kwa jinsi nilivyokuelewa ingawa hujalisemea; hivi vita vipo kwenye media zaidi kuliko uhalisia, na lengo inawezekana ni ku-brainwash mind za watu kuamini kwamba Uislam ni ugaidi. Na waislaim mna react kwa kupigana physically, kujitoa mhanga na kutengezea vikundi vya kijeshi katika...
  17. K

    Ufisadi wa kutisha jiji la Mwanza,mbunge wa CHADEMA ndiye hatari zaidi

    Huu mradi umesema ulikuwa chini ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza. Maana yake ni mradi wa serikali na fedha zinatoka serikalini kwenda kwa Engineers wanaohusika na mradi. Ungesema waliohusika ni Mkurugenzi wa Halmashauri, Meya wa Jiji la Mwanza, Mhasibu wa Halmashauri, Madiwani wa Jiji la...
  18. K

    NYUMBA yenye eneo NAUZA

    Nyumba yako imekwepa bomoa bomoa itakayokuja maeneo hayo! Isije kuwa umeshalipwa fidia halafu unataka kuiuza
  19. K

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Kilimo kwa ujumla yake kinalipa sana, hii ikiwa ni pamoja na ufuta. Ila the good thing about kilimo ni kwamba utakuwa mtaalamu zaidi jinsi unavyozidi kulima, na unavyozidi kulima ndivyo utakavyojifunza jinsi gani ya kubana matumizi na kumaximize profit. Ufuta unalimwa sehemu mbali mbali ndani ya...
  20. K

    Nyumba inauzwa.........kitunda,kivule

    Mbona huweki picha?!
Back
Top Bottom